Ruble ya Urusi inazidi kuchanja mbuga kwa kuongezeka thamani

Angalia hii bichwa marekani anazalisha mbolea ndyo hakunankitu hakizalishwi pale Ila uhitaji ni mkubwa ndyo maana anaagiza bado kutoka Rusia na sababu ya huu mgogoro kaanza kuagiza mbolea kutoka Nigeria kwenye kiwanda kipya cha dangote naona unaruka ruka Tu bila kutoa hoja za masingi
 
Rusia anafanya biashara na nchi zote zenye ukwasi na hakuwekeza Africa sababu ya anguko lake lakin taratibu anaanza kurudi kuanzia Nigeria anajenga kinu kikubwa cha kuzalisha umeme kWA kutumia nguvu za nyuklia Rusia uwekezaji wao upo tofauti wao ni kwenye mafuta madini na maeneo ya gesi sababu wamezoea uwekezaji uwoo kwenye nchi yao na yote ni vile tamaduni zao zilivyoo na matajiri waoo biashara wanazozifanya
 
Kwa elimu gani tuliyonayo watu wanahisi kuwa uwekezaji WA viwanda kwenye nchi unakuja sababu watu wa kufanya kazi wapo watu wakifungua kiwanda cha kuunda chuma wakahitaji watu wenye elimu ya chuma ata 2000 watapatikana au ndyo Hadi tuagize wahindi kutoka nje waje
 
Sahihi kabisa ushaidi tosha ni huu👇
 
Ata Mimi nikasema hapo china hawana cheap unskilled labor Bali china ni taifa pekee duniani linaloongoza kuwa well cheap skilled labor wenye degrees in science and technology. Tofauti na watu wanavyodhani kuwa china Ina watu wengi ndio wanozalisha😄 Elimu yetu je unaweza kuzalisha well cheap skilled labor na sio kuzalisha poor unskilled labor
 
Putin: People in Africa want to be as wealthy as people in Sweden.

How can it be done? By making them use solar? Has anyone explained the cost?

Go explain to them that they must live in poverty for 30 more years.

We cannot but support renewables.

We just need to be realistic. https://t.co/h2so8nxJDm
 
Saivi na ngano pia[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kwa kawaida watu huwa hatupendi vikwazo na matatizo. Lakini vikwazo na matatizo husaidia kuleta ubunifu wa kupambana ili kusonga mbele!! Ndivyo ilivyotokea kwa Urusi.

Baada ya kuwekewa vikwazo vya kuzuiwa kufanya miamala kwa kutumia dola na Euro, nchi za magharibi zilijua hilo ndio litakuwa anguko la Urusi kiuchumi. Maana walitaka waendelee kununua bidhaa Urusi kwa kutumia dola na Euro tena kwenye akaunti za urusi ambazo zimeshafungiwa! (ambazo hana jinsi ya kuzitumia).

Kati ya maamuzi ambayo urusi iliyafanya ambayo haikuwahi kufikiria ni:

1. Kupiga marufuku wanunuzi wa gesi kutoka nchi korofi kununua gesi kwa ruble.

2. kuanza kushawishi nchi zingine zikubali kufanya nayo biashara kwa pesa zao za ndani zikiwemo nchi za china na India. Nchi hizo ziliitikia vizuri na biasharab hiyo ikaanza.

Mpaka sasa biashara kati ya Urusi na China kwa kutumia ruble na yuan imeongezeka sana kwa asilimia 1000%. Nchi nyingi zikiiga mfano huu, hilo ndilo litakuwa anguko la jumla la dola ya marekani!

Ruble-yuan trade soars over 1,000%​

Russia and China are ditching the US dollar in favor of national currencies


Russia and China are continuing to eliminate the US dollar from mutual trade as monthly volumes on the ruble-yuan pair have reportedly soared 1,067% to nearly $4 billion over the past three months.

According to Bloomberg calculations, some 25.91 billion yuan, or $3.9 billion, have been exchanged for rubles on the Moscow spot market so far in May, marking a twelvefold surge versus the volumes recorded in February, when Russia launched its military operation in Ukraine. The spike coincides with a rally in the ruble to a five-year high against the yuan and the US dollar.

Nina Uhakika Marekani itaishia kujilaumu sana!!
 
Wachina na wahindi wakichukua rubble watazipeleka wapi?
Hvi hujui kama kuna biashara kubwa sana kati ya urusi, china na India kwa sasa? Hapo zinatumia pesa zao za ndani!

Ruble-yuan trade soars over 1,000%​

Russia and China are ditching the US dollar in favor of national currencies

© Sputnik / Alexandr Demyanchuk
Russia and China are continuing to eliminate the US dollar from mutual trade as monthly volumes on the ruble-yuan pair have reportedly soared 1,067% to nearly $4 billion over the past three months.
According to Bloomberg calculations, some 25.91 billion yuan, or $3.9 billion, have been exchanged for rubles on the Moscow spot market so far in May, marking a twelvefold surge versus the volumes recorded in February, when Russia launched its military operation in Ukraine. The spike coincides with a rally in the ruble to a five-year high against the yuan and the US dollar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…