Ruhusa ya mikutano ya kisiasa ni pigo kwa vyama uchwara

Ukiona mtu hapa Tanzania anaita Chadema chama uchwala ujue hana ajualo kuhusu siasa za nchi hii, lakini kama huyu mtu ni mwanasiasa basi ujue huyo ni TAPELI MSAKA TONGE.
Chama uchwala kinaweza kumdrive mkuu wa nchi hadi akalazimika kufuata mawazo yao na akapingana na chama chake kinavyotaka?
Pascal usitake nawe tukuite Tapeli msaka tonge bure!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kuna vyama mandonga hata hawana ubavu wa kufanya mikutano ila walijifunika wenyewe kwenye zuio la kufanya mikutano!
Wanaombea zuio liendelee...
 
Kile cha Nzee ya Buguruni, na kilichokuwa cha mzee wa kirwa vunjo.
 
P anasaka kwa maslahi yake,ila anajificha kwa maslahi ya taifa.
 
Kumbe hujui punda bila bakora haendi??
Mikutano ni kioo cha Watawala
 
Kumbe hujui punda bila bakora haendi??
Mikutano ni kioo cha Watawala
Ndo maana kuna kipindi cha kampeni. Jiandae ukifika wakati wa kampeni tembeza bakora zako. Kama kuna la maana basi iwe ni kuongeza muda wa kampeni kutoka miezi mitatu tuliyozoea iwe hata karibia mwaka mmoja. Yaani ule mwaka wa uchaguzi kampeni ziruhusiwe kuanzia mwezi Januari, badala ya sasa hivi ambapo huwa zinaanza mwezi Julai.
 
ACT na wenzake wameshapotea.

Chadema wata ng'aa kama wataheshimu na kuenzi kazi za hayati Magufuli.

Kinyume na hapo watapotea infinity.

Zingatia maneno yangu.
Kuenzi dictatorship, extortion na kauli za kuudhi za "mimi sijaleta tetemeko"? au kuenzi kitu gani?
 
Kwani wanaccm walichaguliwa na wananchi au na Neck na policcm?
 
Sgang group bado hamkomi tu.
 

Kwani CCM wamechaguliwa na nani boss?
 

CCM sio chama cha siasa boss, bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa.
 
Magufilification. Kweli akili alizikwa nazo Marehemu.
 
Achana na Huyo anazeeka na matumaini ya teuzi.
 

CCM haikuwa na sera, bali kwenye ilani yao waliorodhesha kila hitaji la mwanadamu, ili ikitokea wamefanikiwa kufanya jambo fulani waseme wametekeleza ilani yao. Lakini kiukweli list ya mahitaji ya binadamu kwenye ilani yao hawajatekeleza hata 30% ya orodha yao.

Nijuavyo mimi ilani unaweka mambo kadhaa kisha unatekeleza kwa nguvu. Wanachofanya CCM hata waliongia madarakani kwa kupindua nchi hufanya.

Halafu inaonekana hujui sera ni nini, ndio maana unachanganya kati ya sera na ilani. Hili sio tatizo lako tu, bali ni la watu wengi ikiwemo viongozi tena wa ngazi za juu. Jitahidi upate kamusi ya kiswahili ujue sera ni nini, na ilani ni nini kisha uje tuendelee na mjadala.
 
Hakuna mwanafalsafa mwenye mawazo na akili ndogo kama zakwako.
 
Nini pesa za Asili !! Bata system ? Tatizo sio deni ! Tatizo ni pesa zinazokopwa zinatumikaje ? Hilo ndio tatizo kuu Mkuu !! Na watu wana macho wanaona !!
 
Wauzaji wakuu wa Tanzanite duniani ni India, Afrika ya Kusini na Kenya. Hawawezi kutoa somo kwa Tanzania?
 
Lowassa kuondoka CHADEMA ni aibu kubwa sana kwa CHADEMA. Yaani amewafanya kama kademu ka kukojolea tu. Kaja kawalambisha matapishi yenu halafu huyo akasepa.

Aibu gani?. Mnamwita mtu fisadi halafu mnampokea CCM na kumpa mtoto wake ubunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…