Lakini hao hao chadema wakaanza kukataa tena jinsi magufuli anavyowabana barick na washirika wake wakasema tutashitakiwa na miga.
Ndo maana kuna kipindi cha kampeni. Jiandae ukifika wakati wa kampeni tembeza bakora zako. Kama kuna la maana basi iwe ni kuongeza muda wa kampeni kutoka miezi mitatu tuliyozoea iwe hata karibia mwaka mmoja. Yaani ule mwaka wa uchaguzi kampeni ziruhusiwe kuanzia mwezi Januari, badala ya sasa hivi ambapo huwa zinaanza mwezi Julai.
Magufilification. Kweli akili alizikwa nazo Marehemu.
Umeelewa lakini. Kuzuia kampeni zisizoisha haimaanishi kuwa ndo kuengua wagombea wa upinzani. Huyo alikuwa ni Magufuli. Lakini kampeni zinaweza zikawekewa ukomo na ukifika wakati wa kampeni wapinzani wakashiriki kikamilifu.Hapana. Tulijaribu hivyo 2015-2020 , matokeo yake ulipofika uchaguzi wa 2014 kabla ya kampeni wagombea wote wa upinzani wakaenguliwa na kupelekea CCM kushinda bila kampeni. Halafu mwaka 2020 ndio ilikuwa shida, ilifika kipindi wagombea nusu wa CHADEMA wakaenguliwa ili kuipa nafasi CCM kushinda.
Sasa unazuia wapinzani wasifanye mikutano kwa miaka mitano, ikifika miaka mitano mnawaengua kwenye kugombea nafasi za kisiasa na kuzima mtandao siku ya internet siku ya kupiga kura.
Sio uchwala ni uchwara. Unajifanya kuidharau CHADEMA lakini ndio chama kilichoshambuliwa na mahakama, bunge na serikali. Katafute sababu za Mikutano kuzuiliwa ndio ulete dharau zako hapa. Wewe uwezo wa kukonvince wajumbe huna unaambulia kura moja, ila dharau zimekujaa.
Vingekuwa vyama uchwara mikutano isingepigwa marufuku. Hiyo CCM unayoiabudu Ina lipi la maaana. Mfumuko wa Bei, Hali ngumu ya kiuchumi, rushwa, Deni la njee kuongezeka, nk. Punguza dharau
Sio aliwaogopa CHADEMA bali CHADEMA walikuwa na upuuzi mwingi ambao Magufuli hakuwa na muda wa kujibizana nao, lakini alikuwa anajua kuwa akiwaacha waendelee na upuuzi wao watayumbisha nchi, maana kutakuwa na sauti nyingi zinaongea halafu hakuna cha maana haswa wanachoongea zaidi ya kusambaza nongwa tu dhidi ya serikali.Shida ya Magufuli aliiogopa Sana CHADEMA sijui kwa Nini?. Mara azuie mikutano ya siasa, Mara anunue wabunge wa CHADEMA, mara azime mitanda siku ya kupiga kura, Mara amwambie ndugai awashughulikie CHADEMA kipindi wakiwa ndani ya bunge na yeye atawashughulikie wakiwa nje ya Bunge. Ila siku amefariki ni CHADEMA walipiga kelele serikali itoe taarifa, na kutishia kutoa press kutangaza kifo chake ndio usiku wa manane Mama Samiah akatangaza msiba.
Chadema ilisimama na itasimama yenyewe kwa miguu yake na wala hakuna jina linalozidi chadema huyo mungu wako nenda kazikwe karibu nae moyo wako usuuzike.ACT na wenzake wameshapotea.
Chadema wata ng'aa kama wataheshimu na kuenzi kazi za hayati Magufuli.
Kinyume na hapo watapotea infinity.
Zingatia maneno yangu.
Sasa ndo mwandiko gani huu si utulie? Mtu upo chooni unakurupukia kuandika si unye umalize?chadema inasumbuliwa na polisi na mahakama kwa kufanya fujo na kutenda kosa kinyume na sheria wanajiona wao wana haki kuliko vyama vingine ndio maana walikuwa wanasumbuliwa na kuwekwa ndani . ccm haijafanya maisha yapande ,ccm haijaleta maisha magumu kwa mtanzania ,ccm ni chama bora sana tanzania ,ccm ni chama kama chama, kinachoiharibia ccm ni mtu au kundi la watu na hao ndio wanapaswa kulaumiwa sio chama, ccm wapo wanachama wengi sana na wazuri sana, wakichaguliwa na kuongoza nchi njaa na ugumu wa maisha utaisha, angalialia ccm hiyohiyo wakati wa nyerere,na wakati wa mwinyi ,na wakati wa mkapa ,na wakati wa kikwete ,na wakati wa jpm ,na wakati wa mama samia,utaona kila rais anayekuja chama kina badilika na nchi inabadika tabia.ccm ya nyerere na makufuli ndio ilikuwa ccm na maisha yalienda vizuri, ni kiongozi tu katika chama ndio wakuangaliwa sana je ana weledi rudi kasikilize hutuba ya nyerere ya kuchagua viongozi ni yupi bora. ila ccm itaendelea kutawa nchi hii miaka mingi sana, chadema katika uchaguzi wa kila miaka mitano mtakuwa nyuma, kama ligi ya mpira timu zinazokaa kwenye ligi hazishuki daraja ila nia yao wawepo kwenye ligi ila hawategemei kuwa klabu bingwa
Katawaze kwanza ndo uje kuandika vizuriSio aliwaogopa CHADEMA bali CHADEMA walikuwa na upuuzi mwingi ambao Magufuli hakuwa na muda wa kujibizana nao, lakini alikuwa anajua kuwa akiwaacha waendelee na upuuzi wao watayumbisha nchi, maana kutakuwa na sauti nyingi zinaongea halafu hakuna cha maana haswa wanachoongea zaidi ya kusambaza nongwa tu dhidi ya serikali.
Kumbuka CHADEMA ndo enzi za uhuru wao wa kupiga domo wakati wowote walikuwa na orodha ya mafisadi ambayo Lowassa alikuwemo, halafu baada wakaja kutuambia kuwa Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania.
Sasa hao kama sio wapuuzi ni nani?
Alimuuwa nani mkuu, hata mimi naweza kukuita wewe ni muuwaji, lakini kama sina ushahidi nakuwa sawasawa na debe tupu.Magufuli huguhuyu muuaji
Wetulia tu kwenye uchaguzi watapiga V-turn, sio U- turn sababu wataona wanachelewa.Lakini ngumu kumeza hiyo ila kupotea?! Mmhh ! Nakumbuka pale mwanzoni mwa utawala wa marehemu Magufuli Chadema walisema Magufuli anafuata sera za Chadema !
Kama wasipozingatia nilicho andika hapo hata uwepowao utakuwa kama ACT tu.Chadema ilikuwepo kabla ya jiwe hajawa jiwe, Ipo, na Itakuwepo...
Ben saanane tena alimchapa lisasi ikuluAlimuuwa nani mkuu, hata mimi naweza kukuita wewe ni muuwaji, lakini kama sina ushahidi nakuwa sawasawa na debe tupu.
Jiwe mwenyewe asingetoboa bila kuiba kura!!!Chadema wata ng'aa kama wataheshimu na kuenzi kazi za hayati Magufuli.
Ninamaana kuenzi mazuriyake sababu nimengi kuliko mabaya.Kuenzi dictatorship, extortion na kauli za kuudhi za "mimi sijaleta tetemeko"? au kuenzi kitu gani?
Nonsense!.Chadema ilisimama na itasimama yenyewe kwa miguu yake na wala hakuna jina linalozidi chadema huyo mungu wako nenda kazikwe karibu nae moyo wako usuuzike.
CCM haikuwa na sera, bali kwenye ilani yao waliorodhesha kila hitaji la mwanadamu, ili ikitokea wamefanikiwa kufanya jambo fulani waseme wametekeleza ilani yao. Lakini kiukweli list ya mahitaji ya binadamu kwenye ilani yao hawajatekeleza hata 30% ya orodha yao.
Nijuavyo mimi ilani unaweka mambo kadhaa kisha unatekeleza kwa nguvu. Wanachofanya CCM hata waliongia madarakani kwa kupindua nchi hufanya.
Halafu inaonekana hujui sera ni nini, ndio maana unachanganya kati ya sera na ilani. Hili sio tatizo lako tu, bali ni la watu wengi ikiwemo viongozi tena wa ngazi za juu. Jitahidi upate kamusi ya kiswahili ujue sera ni nini, na ilani ni nini kisha uje tuendelee na mjadala.
Usitutajie hilo zimwi kabisaACT na wenzake wameshapotea.
Chadema wata ng'aa kama wataheshimu na kuenzi kazi za hayati Magufuli.
Kinyume na hapo watapotea infinity.
Zingatia maneno yangu.