Ruhusa ya mikutano ya kisiasa ni pigo kwa vyama uchwara


Wamseme Magufuli kwani yupo?. Watawasema waliopo?
 
Ninamaana kuenzi mazuriyake sababu nimengi kuliko mabaya.

We fuata mazuri achana na mabaya sababu mabaya hatawewe unayo ya kukutosha tu.

Rais was wasiojulikana na muasisi wa machawa, kwa kweli ilibidi aondoke.
 
Kama wasipozingatia nilicho andika hapo hata uwepowao utakuwa kama ACT tu.

Achana na CHADEMA huijui. Unadhani CCM ni wajinga mpaka kukaa kwa maridhiano. Magufuli alijaribu Moto wa CHADEMA akaungua, mpaka akajifia akaiacha CHADEMA.
 
Wetulia tu kwenye uchaguzi watapiga V-turn, sio U- turn sababu wataona wanachelewa.

Watalazimika kwenda na falsafa za Magufuli kulingana na upepo ulivyo kwa kupenda ama vyovyote.

CHADEMA ilikuwepo kabla ya Magufuli. Magufuli kajitahidi kuiua kafa yeye kaiacha.
 
Kuenzi [emoji849]?kazi zipi hizo?

Kikubwa mikutano imeruhusiwa pazuri, nikipindi ambacho Kuna ukata mkubwa, Bei ya vyakula Iko juu, umeme Bado niwa mgao, hii yote inampa mwanasiasa yeyote msingi wakushawishi wanainchi , kuikataa CCM.
Bei ya umeme au chakula ipo juu ikicompare na wakati gani au awamu gani yaani JPM haepukiki mkuu whether you love him or not.
 
Alimuuwa nani mkuu, hata mimi naweza kukuita wewe ni muuwaji, lakini kama sina ushahidi nakuwa sawasawa na debe tupu.

Yule alikuwa sio binadamu. Na alianza kupata shida Lissu aliporudi, maana kashindwa kumuua, kaharibu uchaguzi ili atawale akafa Rais mwingine kaja.
 
Bei ya umeme au chakula ipo juu ikicompare na wakati gani au awamu gani yaani JPM haepukiki mkuu whether you love him or not.

Watu wanaongelea current issues wewe unaleta mambo ya marehemu
 
ACT na wenzake wameshapotea.

Chadema wata ng'aa kama wataheshimu na kuenzi kazi za hayati Magufuli.

Kinyume na hapo watapotea infinity.

Zingatia maneno yangu.
Chadema ni chama cha walamba asali 2015 ndio walianza safari yao na sasa
wamekuwa mateja wa asali ndio maana dj haiishi wiki kaenda magogoni kunyoosha
mikono amiminiwe kidogo na chief Hangaya.
lisu na Lema hawana visingizio tena vya kubaki ughaibuni sema asali ya ughaibuni na ya magogoni
wanaitaka japo magogoni nadhani hawana chao DJ atakimaliza kibuyu cha asali sio kwa uraibu huo.
Heche anasema hawana wafuasi hiyo mikutano watamhutubia nani!?
 
Walichoweza CCM ni kuanzisha vyama vyao vingine vya siasa na vikaonekana ni vya upinzani. Karibu vyama vyote ni matawi yao, vinakwenda kwa mujibu wa mipango ya CCM
 
Ni mambo mawili tu ndiyo yalimfanya Magu ajione si kitu hapa duniani hata uwezo wake wa kukariri idadi ya dagaa wa Victoria (Krilion trillio 700) bado aliuona si chochote na alikosa kabisa usingizi, mambo hayo ni:
1. CHADEMA
2. TUNDU LISSU

Kweli kabisa. Kawafungia kufanya siasa, kanunua wabunge, kaengua wabunge, lakini wapi? Ikabidi azime internet kwa wiki mbili wakati wa kupiga kura 2020 lakin wapi. Lissu kamkimbiza kana kwamba hakufanya kitu ikabidi afe tu.
 
Hskuna current issue bila past issue hasa kwenye ulingo wa siasa.

Kwa hivyo tuanze kuongelea yaliyopita tuache ya Sasa?. Msilazimishe watu Cha kusema. Tukianza kuongea yaliyopita itakuwa shida, maana makandokando ni mengi.
 
Walichoweza CCM ni kuanzisha vyama vyao vingine vya siasa na vikaonekana ni vya upinzani. Karibu vyama vyote ni matawi yao, vinakwenda kwa mujibu wa mipango ya CCM

Na ndio maana CCM ikaviogopa na kufuta mikutano ya siasa. Msiipe ccm ukubwa usiokuwa wake.
 
Kwa hivyo tuanze kuongelea yaliyopita tuache ya Sasa?. Msilazimishe watu Cha kusema. Tukianza kuongea yaliyopita itakuwa shida, maana makandokando ni mengi.
Uhalisia mtaona kwenye hiyo mikutano wala hakuna anayewalazimisha kusema ya nyuma sababu wananchi wanayajua, hivyo watakuwa wanawazoom tu waone kama mtakuja na mkeka mpya ambao huko nyuma haukupatiwa majibu.
 

Mtasema yote mpaka mnyamaze. CHADEMA ilikuwepo na itaendelea kuwepo daima.
 
ACT na wenzake wameshapotea.

Chadema wata ng'aa kama wataheshimu na kuenzi kazi za hayati Magufuli.

Kinyume na hapo watapotea infinity.

Zingatia maneno yangu.
Ilo ndiyo pigo la chadema kubwa sana sijui watafanyaje kulikukuza jina la jpm walie mkashifu na kumtukana usiku na mchana kwa kifupi chadema inategemea kitu kimoja tu nacho ni chuki ya watz kwa ccm ya sa100 ...hivyo wanaweza wakakikubali chadema kwa kukosa mbadala
 
Hilo zuio liliihusu CHADEMA ndio maana mengine yote yaliyofanyika bila CHADEMA kushiriki hayakuwa na impact yoyote!
Unapoizungumzia CHADEMA unazungumzia upinzani Tanzania kinyume chake the rest ni porojo tu za vigenge vya wachumia tumbo
 
Uhalisia mtaona kwenye hiyo mikutano wala hakuna anayewalazimisha kusema ya nyuma sababu wananchi wanayajua, hivyo watakuwa wanawazoom tu waone kama mtakuja na mkeka mpya ambao huko nyuma haukupatiwa majibu.

Mawazo yako usilazimishe kwa wananchi. Wawazoom CHADEMA halafu CCM ya mafisadi ndio waikubali. Wajzoom CHADEMA wakati bunge limejaa CCM ?. Punguza speculations.
 
Huyo dictator aliyekufa atasemwa tu, hiyo defensive mechanism mnayokuja nayo ili mauozo yake yasisemwe imegonga mwamba.
Kaa kwa kutulia uone atakavyochambuliwa pamoja na matokeo yake then urudi hapa usome tena hilo bandiko lako.
 
Kuna vyama mandonga hata hawana ubavu wa kufanya mikutano ila walijifunika wenyewe kwenye zuio la kufanya mikutano!
Wanaombea zuio liendelee...
Hata chadema yenyewe imeanza kuweweseka baada ya zuio maana sasa ni lazima waende front kupigana na marehemu jpm ...samia kawatega baada ya kugundua kuwa hata yeye amwezi marehemu na ukicheza na marehemu unaweza kuumbuka vibaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…