Ruhusa ya mikutano ya kisiasa ni pigo kwa vyama uchwara


CHADEMA haijaanza kipindi Cha Samiah au Magufuli. Mmeanza kuijua siasa leo?. CHADEMA ipo tangu enzi za mwinyi, mkapa na kikwete. Viongozi wote watapita ila CHADEMA itabaki.
 
Hata chadema yenyewe imeanza kuweweseka baada ya zuio maana sasa ni lazima waende front kupigana na marehemu jpm ...samia kawatega baada ya kugundua kuwa hata yeye amwezi marehemu na ukicheza na marehemu unaweza kuumbuka vibaya sana

Mbona unalazimisha CHADEMA wapambane na Marehemu.
 
Mawazo yako usilazimishe kwa wananchi. Wawazoom CHADEMA halafu CCM ya mafisadi ndio waikubali. Wajzoom CHADEMA wakati bunge limejaa CCM ?. Punguza speculations.
Siasa ni watu na watu washapoteza imani nanyi pale mlipokuwa mnapinga juhudi za serikali kupambana na wezi, wazembe na mafisadi mkamwita dictotor sasa mwananchi gani anaweza waamin ninyi kuwa mtaweza kupambana na hayo mambo.
 
Watu wanahangaika sana na swala la mikutano ya siasa kurudi baada ya katiba kuvunjwa kwa kuisimamisha. CCM inangoza kwa kuvunja katiba.
Wanafurahia fadhila ambayo ni haki yao ya kikatiba
 

Lazima uelewe Magufuli aliambulia asilimia 58 ya kura zote 2015, hivyo CHADEMA walibakiza adilimia 8 tu waifikue CCM . Kwa kuogopa influence ya CHADEMA ikabidi azuie mikutano na kuanza kununua wabunge.

Angekuwa sio muoga angeacha CHADEMA waendelee na mikutano yeye afanye ya kwake. Mtu muoga mpaka anazima mtandao wa internet ili aibe kura vizuri na kuintimudate vyombo vya habari.
 
Mwandiko mbovu unaakisi uwezo wako mdogo kiakili, rudi shule kwanza ukajifunze namna ya kuandika kwa ufasaha labda baada ya hapo ndiyo utakuwa na uwezo wa kushikiri kwenye mijadala ambayo kwa sasa hauna uwezo nayo.
 
Chadema ilikuwepo ila sasa haipo, watanzania hawana imani na chadema washajua ni
vibaraka wa mabeberu na awamu hii na wao lao ni moja kulamba asali.

Mabeberu gani? Wanaoidai nchi Trilioni 92?. CCM mnakopa kwa mabeberu mpaka kero
 
Ninamaana kuenzi mazuriyake sababu nimengi kuliko mabaya.

We fuata mazuri achana na mabaya sababu mabaya hatawewe unayo ya kukutosha tu.
Kila kiongozi ana mazuri yake, wao ni bora wakajikita kwenye sera zao bila kukopi ya mtu yoyote.
 
Chadema ilikuwepo ila sasa haipo, watanzania hawana imani na chadema washajua ni
vibaraka wa mabeberu na awamu hii na wao lao ni moja kulamba asali.

Hivi serikali ya CCM inayodaiwa Trilioni 92 na mabeberu unaiongeleje?.
 
Hata chadema yenyewe imeanza kuweweseka baada ya zuio maana sasa ni lazima waende front kupigana na marehemu jpm ...samia kawatega baada ya kugundua kuwa hata yeye amwezi marehemu na ukicheza na marehemu unaweza kuumbuka vibaya sana
alipokuwa anapumua alishindwa kuiua kafa yeye! Unaleta
vichekesha
 
Kwa bahati mbaya pamoja na jitihada zenu zote na huyo JPM wenu bado havikufa akafa yeye. Unadhani kama alibaki peke yake na chama chake kama wasemaji na wa kusifiwa nchini wakashindwa kuviua hivyo ulivyovitaja kama vyama uchwala, kwa sasa kunajambo la kuvifanya vife. Mayala a.k.a Njaa, acha njaa zako brother unajidhalilisha , badala ya kutafuta kula kwa kujidhalikisha njoo huku shambani ulime tutakupa mashamba njaa yako itaisha na utabaki na heshima yako.
 
Kweli kabisa. Kawafungia kufanya siasa, kanunua wabunge, kaengua wabunge, lakini wapi? Ikabidi azime internet kwa wiki mbili wakati wa kupiga kura 2020 lakin wapi. Lissu kamkimbiza kana kwamba hakufanya kitu ikabidi afe tu.
Tena wale senior wa ccm ndiyo wanajua vizuri achana na hawa wanafumaniwa na kuuawa kama fungo kipindi cha kampeni 2020 magufuli alifumuliwa na Lissu hadi akaanza kuugua kuna watu walimdanganya kwamba Lissu hawezi kusimama lakini vibe is Lissu hata huko aliko bado analikumbuka maana ilipelekea msobemsobe ikabidi wakataze helicopter za chadema kuruka kuna vibe la Lissu kule TUNDUMA ikabidi urushaji drone za picha na video zisitishwe, mara mabango ya Lissu hayaruhusiwi lakini yale mengine yalibandikwa hadi kwa shetani mara mikutano ya chadema inasambaratishwa hakika 2020 ccm haitasahau ikabidi ifanye ujambazi lakini ukweli walitepeta
 
Hata chadema yenyewe imeanza kuweweseka baada ya zuio maana sasa ni lazima waende front kupigana na marehemu jpm ...samia kawatega baada ya kugundua kuwa hata yeye amwezi marehemu na ukicheza na marehemu unaweza kuumbuka vibaya sana
Wewe ni mpumbavu unaetishwa na marehemu na huo upumbavu uishie huko kweny ukoo wenu yaani mtu mzima halafu unaitwa baba unamsujudia na kumuogopa marehemu ni ukosefu wa uoga hata mbele za Mungu
 
Hiyo ni kazi ya msemaji wa chama. Wengine wafanye majukumu mengine

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…