Amelifaidi sana anajengewa na kupelekewa hadi mahindi ya bure kwenye viwanda vyake vya kusagia na hawahawa maafisa.Siro aliacha jeshi la polisi likawa kama klabu ya ulanzi. Nidhamu hakuna kabisa. Ndio maana wengine wana tamani kuwa IGP wakati aliepo haja staafu.
Maana huo uozo wote unaofanywa na waandamizi wake ni wazi wana muiga yeye IGPBoss wake anaogopa kumtoa
Mkuu nilimaanisha uhamisho [emoji28][emoji28][emoji28]Tangu lini kuna maombi ya mtu kupandishwa cheo ???
Hawa wakuu wa polisi wametoa rushwa tusipepese maneno.
Alafu hili faili limekufikiaje wewe wkt hizi ni habari za ndani.
Sizan kama ni rahis hvyo maana kama ana connection ndan ya system bas jua hio connection itakuwa ni kutoka kwa mtu mkubwa ambaye sio rahis kuguswa na hiz mamlaka zetu za zilivyoHuyo jamaa lazima atakuwa na conection na mtu wa ndani,si bure!
Aminywe kende sawasawa,atasema yote
Ni karibu na huduma za babu'waganga'.Mbna hao watu wengi wanataka kupelekwa Bagamoyo, kuna nn huko? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naked truth.Hii ndiyo ile soma utakavyosoma uwe na CV ya kupendeza kiasi gani kama connection kwenye system huna wewe wako mtaa tu!
Sometimes hao waombewa ajira ni form four failure ila kwa sababu wana watu wakuwashika mkono ajira wangepata,inasikitisha sana vijana kupokwa haki zao kisa hawana watu hii siyo haki.
Mkuu Pascal Mayalla atakua na majibu ya swali hii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi RPC kwa cheo chake hawezi fanya namna mwanae akae TISS bila rushwa? kweli dunia ni duara. Lol
Nitumie laki moja nikuunge kwenye grup tunashare sure odds za mechi zoteKama maafisa mnatapeliwa hivi mimi ni nani mpaka nipinge kutapeliwa, wakuu kesho napata m4 mwenye uwezo wa kunipanga aje tu hela ipo
Tuliambiwa magufuli alilimaliza kabisa tatizo la rushwa humu nchini ! Nini tena hikiHii nchi ngumu sana
Askari wa cheo cha juu (ofisa) anatoa rushwa ili mwanae apate kazi Idara ya Usalama wa Taifa duuh.