RUSHWA: Kijana aliyekuwa akiwalaghai na kuwatapeli Maofisa wa Jeshi la Polisi kwa ahadi za ajira akamatwa

RUSHWA: Kijana aliyekuwa akiwalaghai na kuwatapeli Maofisa wa Jeshi la Polisi kwa ahadi za ajira akamatwa

Siro aliacha jeshi la polisi likawa kama klabu ya ulanzi. Nidhamu hakuna kabisa. Ndio maana wengine wana tamani kuwa IGP wakati aliepo haja staafu.
Amelifaidi sana anajengewa na kupelekewa hadi mahindi ya bure kwenye viwanda vyake vya kusagia na hawahawa maafisa.

Kwa hiyo hawa kutoa rushwa sio habari
 
Uthibisho ya kuwa hata tapeli anaweza tapeliwa
 
Huyo jamaa lazima atakuwa na conection na mtu wa ndani,si bure!
Aminywe kende sawasawa,atasema yote
Sizan kama ni rahis hvyo maana kama ana connection ndan ya system bas jua hio connection itakuwa ni kutoka kwa mtu mkubwa ambaye sio rahis kuguswa na hiz mamlaka zetu za zilivyo
 
Hii ndiyo ile soma utakavyosoma uwe na CV ya kupendeza kiasi gani kama connection kwenye system huna wewe wako mtaa tu!

Sometimes hao waombewa ajira ni form four failure ila kwa sababu wana watu wakuwashika mkono ajira wangepata,inasikitisha sana vijana kupokwa haki zao kisa hawana watu hii siyo haki.
Naked truth.
 
Kama maafisa mnatapeliwa hivi mimi ni nani mpaka nipinge kutapeliwa, wakuu kesho napata m4 mwenye uwezo wa kunipanga aje tu hela ipo
Nitumie laki moja nikuunge kwenye grup tunashare sure odds za mechi zote
 
Hao waliotapeliwa nao wachukuliwe Hatua..

Maana walitoa Rushwa ili kufanikisha matarajio yao ya kuhama na wengine kupandishwa Vyeo..
 
Back
Top Bottom