Ukiona kiongozi yeyeto anaejificha kwenye dini au uzalendo feki wa kuvaa maskafu ogopa sana huyo ni hatari sana.
Pamoja na kuwepo kwa Katiba hiyo mpya Kenya, lakini kiongozi kama ni mhuni haiwezi kumzuia kuisigina katiba hiyo.Bahati nzuri Ruto hana mamlaka na nguvu alizokuwa nazo Moi kutokana na KATIBA MPYA ya Kenya.
Kwani akiwa kama magufuli si ndio vizuri? Nyie madhulumati wa umma ndio mnaona ni ubaya kiongozi kua na msimamo kutetea umma badala ya wala rushwa na wafanyabiashara wakwepa kodi na wafanya magendo.Kenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania
Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.
Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala.
Ruto,Trump na Magufuli wana sifa moja ya kuwa watawala Kama ambavyo Kikwete, Uhuru na Obama walivyokuwa viongozi.
Umesema kweli Sana, wanajificha kwenye dini! Wanafiki hawa!Magufuli alikuwa anajifanya kusali sana na kumtaja Mungu sana, muogoipe mtu wa namna hivyo. magufuli alitufuna mengi sana ya unafiki wa dini
Moi alikuwa mpuuzi sana. Dr Ouko yuko wapi? Kila j2 wako kanisani, ujinga mtupu!Ila walitaka kumpindua bahati General Mahamud Haji Mahamed akaokoa jahazi na kumpigania mzee Moi
Huyu Makamu wake.ni kiboko; hapepesi jicho . Nimerudia hotuba yake mara 6.Hotuba ya makamu wake tu inaonyesha hawana sifa za uongozi. Wamejaa visasi na chuki zisizo na sababu. Muda utaongea ila Wakenya watajuta kuendekeza ukabila.
Magu alitusaidia? Yule mshamba?Huyu Jamaa atawasaidia sana Wakenya Kama alivyotusaidia sisi Mjomba Magu.
Kweli Sana!Ukiona kiongozi yeyeto anaejificha kwenye dini au uzalendo feki wa kuvaa maskafu ogopa sana huyo ni hatari sana.
Eti, Moi alikuwa dikteta mpuuzi sana!Mwalimu wake dikteta Moi SAsa unategemea atafundisha syllabus tofauti na aliyofundishwa?
Laila nini?Laila ni fungu la kukosa kama kwa Lisu na chama chake tu
Yaani Kikwete unamuweka kuwa kiongozi? Kumbuka si kila mwanasiasa anaweza kuwa kiongozi ila kila kiongozi anaweza kuwa mwanasiasaKenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania
Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.
Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala.
Ruto,Trump na Magufuli wana sifa moja ya kuwa watawala Kama ambavyo Kikwete, Uhuru na Obama walivyokuwa viongozi.
Huyu ni mpuuzi tu, anafikiri Kenya rais anaweka mifumo mfukoni kama yule kichaa alivyofanya na sisi watz tukakaa kimya km makondoo. Shenzi type! Tuliongozwa na mwehu!We jamaa naanza kuwa na wasiwasi na wewe, hivi unadhani Kenya ni Tanzania?
Wakenya wapo mbali kimifumo kutushinda sisi...
Kwa taarifa yako Wakenya wamempata Hichilema wao waliyekuwa wanamsubiri kwa hamu.
Kenya Rais hawezi kuiweka mihimili mingine ya serikali mfukoni mwake...
Mahakama ziko huru..... Wewe imagine mshindi wa urais ameamuliwa mahakamani kiuwazi kabisa.
Bunge liko huru, tena lina uwiano mzuri wa chama tawala na chama pinzani..
Baraza la Seneti, hili nalo lina uwiano mzuri wa chama tawala na ponzani...
Sasa mpaka hapo utasemaje Rais atakuwa dikteta? Kwa jinsi mifumo yao ilivyo thabiti ni ngumu sana.
Matz ni makondoo Sana!Kenya hawana ukondoo wa kijinga wa kitanzania
Wakikuyu ndio wengi so upande wanaochagua unapata almost 30% ya kura zote. So kama sio ukabila wa WAKIKUYU Raila angekua ikulu maana tukiwa wakweli tu hivi Rigathi na Ruto kwa ufisadi wote ule walifaa kuwa Viongozi?
Huu Uzi tutakuja kufukua December, watu watamlilia uhuru arudi!! Ruto ni failure kote alikopita.
Ulitaka aue wangapi Ili aitwe apate cheo hicho
Hakuna kitu hapo lbda mtawala ahamue tu kuwa mstaarabu tu.Kenya sio kama Tanzania.
Utawala wa sheria, Demokrasia,na separation of powers vipo juu sana.
Hangaya ni mtawala sio kiongoziHangaya yeye ni mtawala au kiongozi? tuanzie hapo kwanza kabla ya kwenda uelekeo wa jirani.