Rwanda yafunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki

Funga funga hao wanafiki wa injili.

Paul anajitafutia laana
 
Kuna sheikh ana degree kule Rwanda kweli? Maanake kigezo kilikua ndio hicho; huna ANAFUNGA na jamaa hanaga gear ya reverse kama JPM
Kagame yeye sio mnafiki.....alishaamua kuwa ibilisi hachanganyi Na wala hataki kuwa vugu vugu ndio maana anaishi.

Wale wanaochanganya hawadumu.
 
Mwamba!
 
Riwanda ni nchi Smart sana kwa Africa wanaweza kuongoza kwa idadi kubwa ya watu wanaojitambua. Kaz iendelee ni kama China tu fagia majumba yote ya kukusanyia Chenchi na upotoshaji.
Mimi ningeyachoma moto ama kuyafanya mabwalo ya wafungwa na wanafunzi
 
nadhani kanisa katoliki limeanza tena kuwaamsha waliolala, pk anachukua tahadhari mapema.

itawezekanaaaaa????
He is going to fail. May be he is digging his own Burial pit.

Watawala huwa hawapendi Kanisa aua kukindi cha aina yoyote kinachowaamsha wananchi kujitambua.

Ukiona hivyo mwisho wa Paul unaelekea kuanza.
 
Kagame yeye sio mnafiki.....alishaamua kuwa ibilisi hachanganyi Na wala hataki kuwa vugu vugu ndio maana anaishi.

Wale wanaochanganya hawadumu.
Nadharia ya kuishi na kufa is too complicated, ulicho kisema ni too theoretical. Binafsi siamini kama kuna rais wa nchi yeyote hapa duniani eti anaweza kua MCHA Mungu; hakuna. Wanaweza kua na dini zao lakini kuhusu ucha Mungu, hapana. Hakuna kiongozi wa namna hiyo
 
Mimi ningeyachoma moto ama kuyafanya mabwalo ya wafungwa na wanafunzi
Walishakuako watu kama wewe toka enzi. Akina Nebkadreza waliobomoa mahekalu ila hawakuweza kukomesha.
Sasa unapojifunza kufanya jambo lolotr kwanza jitahid kupitia historia ili usiwe mjinga wa kurudia kitu walichofanya wengine waka fail.

Atlrast uje na namna mpya ya tofauti.

JUU YA MWAMBA HUU, NITALIJENGA KANISA LANGU AMBALO MILANGO YA KUZIMA HAITALISHINDA.

hayo si maneno ya mtu mwingine yeyote. Ni Christ mwenyewe mwenye kanisa lake
 
Jpm huwezi kumfananisha na Kagame au M7.
 
True.....analinda mamlaka yake tu. Na hii ni one of the threatening strategy for his opposers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…