Rwanda yafunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki

Rwanda yafunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki

Serikali ya Rwanda imezifunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki kwa madai ya kukiuka kanuni na sheria za nchi hiyo.

Kwa mujibu wa ripoti ambayo imetolewa na Maaskofu wa Kanisa Katoliki, inasema kuwa suala la uhuru wa kuabudu limekuwa changamoto kubwa nchini Rwanda.

Ripoti hiyo inasema kuwa kati ya Parokia 231 zilizopo nchini humo, 47 tu ndizo ambazo zimefungwa kutoka katika Dayosisi tisa.

Hadi kufikia mwanzano mwa mwezi wa Septemba mwaka huu, Serikali ya Rais Paul Kagame ilikuwa imeyafunga Madhehebu na Misikiti takribani 10,000 kwa kile ilichokiita kukiuka sheria za nchi hiyo
Funga funga hao wanafiki wa injili.

Paul anajitafutia laana
 
Kuna sheikh ana degree kule Rwanda kweli? Maanake kigezo kilikua ndio hicho; huna ANAFUNGA na jamaa hanaga gear ya reverse kama JPM
Kagame yeye sio mnafiki.....alishaamua kuwa ibilisi hachanganyi Na wala hataki kuwa vugu vugu ndio maana anaishi.

Wale wanaochanganya hawadumu.
 
Serikali ya Rwanda imezifunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki kwa madai ya kukiuka kanuni na sheria za nchi hiyo.

Kwa mujibu wa ripoti ambayo imetolewa na Maaskofu wa Kanisa Katoliki, inasema kuwa suala la uhuru wa kuabudu limekuwa changamoto kubwa nchini Rwanda.

Ripoti hiyo inasema kuwa kati ya Parokia 231 zilizopo nchini humo, 47 tu ndizo ambazo zimefungwa kutoka katika Dayosisi tisa.

Hadi kufikia mwanzano mwa mwezi wa Septemba mwaka huu, Serikali ya Rais Paul Kagame ilikuwa imeyafunga Madhehebu na Misikiti takribani 10,000 kwa kile ilichokiita kukiuka sheria za nchi hiyo
Mwamba!
 
Riwanda ni nchi Smart sana kwa Africa wanaweza kuongoza kwa idadi kubwa ya watu wanaojitambua. Kaz iendelee ni kama China tu fagia majumba yote ya kukusanyia Chenchi na upotoshaji.
Mimi ningeyachoma moto ama kuyafanya mabwalo ya wafungwa na wanafunzi
 
nadhani kanisa katoliki limeanza tena kuwaamsha waliolala, pk anachukua tahadhari mapema.

itawezekanaaaaa????
He is going to fail. May be he is digging his own Burial pit.

Watawala huwa hawapendi Kanisa aua kukindi cha aina yoyote kinachowaamsha wananchi kujitambua.

Ukiona hivyo mwisho wa Paul unaelekea kuanza.
 
Kagame yeye sio mnafiki.....alishaamua kuwa ibilisi hachanganyi Na wala hataki kuwa vugu vugu ndio maana anaishi.

Wale wanaochanganya hawadumu.
Nadharia ya kuishi na kufa is too complicated, ulicho kisema ni too theoretical. Binafsi siamini kama kuna rais wa nchi yeyote hapa duniani eti anaweza kua MCHA Mungu; hakuna. Wanaweza kua na dini zao lakini kuhusu ucha Mungu, hapana. Hakuna kiongozi wa namna hiyo
 
Mimi ningeyachoma moto ama kuyafanya mabwalo ya wafungwa na wanafunzi
Walishakuako watu kama wewe toka enzi. Akina Nebkadreza waliobomoa mahekalu ila hawakuweza kukomesha.
Sasa unapojifunza kufanya jambo lolotr kwanza jitahid kupitia historia ili usiwe mjinga wa kurudia kitu walichofanya wengine waka fail.

Atlrast uje na namna mpya ya tofauti.

JUU YA MWAMBA HUU, NITALIJENGA KANISA LANGU AMBALO MILANGO YA KUZIMA HAITALISHINDA.

hayo si maneno ya mtu mwingine yeyote. Ni Christ mwenyewe mwenye kanisa lake
 
Nadharia ya kuishi na kufa is too complicated, ulicho kisema ni too theoretical. Binafsi siamini kama kuna rais wa nchi yeyote hapa duniani eti anaweza kua MCHA Mungu; hakuna. Wanaweza kua dini zao lakini kuhusu ucha Mungu, hapana. Hakuna kiongozi wa namna hiyo
Jpm huwezi kumfananisha na Kagame au M7.
 
Watu wanafeli hapa, ukiona mtu (hasa watawala) ana hit target A, try to look beyond the target kupata the real ttue intention ya nini analenga kupambana nacho.
Wala si dini Pk anapambana nayo, maana kama ni dini, hataweza kupambana na RC wala dini yoyote ole maadam ni dini aidha ukristo au uislam
True.....analinda mamlaka yake tu. Na hii ni one of the threatening strategy for his opposers.
 
Back
Top Bottom