kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
kanisa katolic wapunguze ujasusi wao...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Funga funga hao wanafiki wa injili.Serikali ya Rwanda imezifunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki kwa madai ya kukiuka kanuni na sheria za nchi hiyo.
Kwa mujibu wa ripoti ambayo imetolewa na Maaskofu wa Kanisa Katoliki, inasema kuwa suala la uhuru wa kuabudu limekuwa changamoto kubwa nchini Rwanda.
Ripoti hiyo inasema kuwa kati ya Parokia 231 zilizopo nchini humo, 47 tu ndizo ambazo zimefungwa kutoka katika Dayosisi tisa.
Hadi kufikia mwanzano mwa mwezi wa Septemba mwaka huu, Serikali ya Rais Paul Kagame ilikuwa imeyafunga Madhehebu na Misikiti takribani 10,000 kwa kile ilichokiita kukiuka sheria za nchi hiyo
Kagame yeye sio mnafiki.....alishaamua kuwa ibilisi hachanganyi Na wala hataki kuwa vugu vugu ndio maana anaishi.Kuna sheikh ana degree kule Rwanda kweli? Maanake kigezo kilikua ndio hicho; huna ANAFUNGA na jamaa hanaga gear ya reverse kama JPM
Wana ujasusi na wamefungiwa?kanisa katolic wapunguze ujasusi wao...
Mwamba!Serikali ya Rwanda imezifunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki kwa madai ya kukiuka kanuni na sheria za nchi hiyo.
Kwa mujibu wa ripoti ambayo imetolewa na Maaskofu wa Kanisa Katoliki, inasema kuwa suala la uhuru wa kuabudu limekuwa changamoto kubwa nchini Rwanda.
Ripoti hiyo inasema kuwa kati ya Parokia 231 zilizopo nchini humo, 47 tu ndizo ambazo zimefungwa kutoka katika Dayosisi tisa.
Hadi kufikia mwanzano mwa mwezi wa Septemba mwaka huu, Serikali ya Rais Paul Kagame ilikuwa imeyafunga Madhehebu na Misikiti takribani 10,000 kwa kile ilichokiita kukiuka sheria za nchi hiyo
Mimi ningeyachoma moto ama kuyafanya mabwalo ya wafungwa na wanafunziRiwanda ni nchi Smart sana kwa Africa wanaweza kuongoza kwa idadi kubwa ya watu wanaojitambua. Kaz iendelee ni kama China tu fagia majumba yote ya kukusanyia Chenchi na upotoshaji.
He is going to fail. May be he is digging his own Burial pit.nadhani kanisa katoliki limeanza tena kuwaamsha waliolala, pk anachukua tahadhari mapema.
itawezekanaaaaa????
Angalau wewe umefikiri nje ya box tofaut na weng humu kama sio karibia wotenadhani kanisa katoliki limeanza tena kuwaamsha waliolala, pk anachukua tahadhari mapema.
itawezekanaaaaa????
Scape Goat.....Labda kuna namna ashanusa harufu ya mapinduzi yakiratibiwa huk makanisani maana hata kwenye mauaji ya halaiki hili kanisa lilitajwa kuhusika
I agreeAngalau wewe umefikiri nje ya box tofaut na weng humu kama sio karibia wote
Nadharia ya kuishi na kufa is too complicated, ulicho kisema ni too theoretical. Binafsi siamini kama kuna rais wa nchi yeyote hapa duniani eti anaweza kua MCHA Mungu; hakuna. Wanaweza kua na dini zao lakini kuhusu ucha Mungu, hapana. Hakuna kiongozi wa namna hiyoKagame yeye sio mnafiki.....alishaamua kuwa ibilisi hachanganyi Na wala hataki kuwa vugu vugu ndio maana anaishi.
Wale wanaochanganya hawadumu.
Walishakuako watu kama wewe toka enzi. Akina Nebkadreza waliobomoa mahekalu ila hawakuweza kukomesha.Mimi ningeyachoma moto ama kuyafanya mabwalo ya wafungwa na wanafunzi
Ukutane na mjinga km wewe, ngeta tuKagame msabato. Wasabato na wakatoliki ni maji na mafuta
Niliona picha fulani Wanaume wanakunywa maziwa BarRwanda ndo nchi pekee duniani inayoongoza ukienda bar unaagiza maziwa!
Watu wanafeli hapa, ukiona mtu (hasa watawala) ana hit target A, try to look beyond the target kupata the real ttue intention ya nini analenga kupambana nacho.I agree
Jpm huwezi kumfananisha na Kagame au M7.Nadharia ya kuishi na kufa is too complicated, ulicho kisema ni too theoretical. Binafsi siamini kama kuna rais wa nchi yeyote hapa duniani eti anaweza kua MCHA Mungu; hakuna. Wanaweza kua dini zao lakini kuhusu ucha Mungu, hapana. Hakuna kiongozi wa namna hiyo
True.....analinda mamlaka yake tu. Na hii ni one of the threatening strategy for his opposers.Watu wanafeli hapa, ukiona mtu (hasa watawala) ana hit target A, try to look beyond the target kupata the real ttue intention ya nini analenga kupambana nacho.
Wala si dini Pk anapambana nayo, maana kama ni dini, hataweza kupambana na RC wala dini yoyote ole maadam ni dini aidha ukristo au uislam
Kuhusu ucha Mungu?Jpm huwezi kumfananisha na Kagame au M7.
YeahKuhusu ucha Mungu?
Hivi nchi ya Rwanda ilivyo ndogo inawezaje kuwa na makanisa 10,000