Uyo Nae ni limbukeni wa elimuNina ndugu yangu yeye mwalimu ana hali ngumu sana ila anafyatua watoto kama ana kiwanda cha kufyatua matofali..ana watoto 5 na mtoto wa kwanza ana miaka 9 anamsomesha shule ada 1.2M kwa mwaka primary na mtoto kilaza vibaya...nimemshauri sana kuhusu hela anazotupa ila nagundua ni limbukeni basi namuacha tu.
WA adopt basi hao watoto wewe maana una uchungu kuliko wazazi wao
Punguza munkari wewe dereva wa school bus, kibarua chako hakipo hatarini.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wee na ushaanza kua bazazi[emoji1787]
Ndiyo Ukweli WenyeweJamiii ya kimasikini inaishi kwa shida sana..
Haya yote ni matokeo ya umasikini na ujinga.
Tunapata viongozi wajinga na mfumo wa kijinga matokeo yake nikuzalisha jamii ya kijinga.
Suala mtambuka
NNdiyo Ukweli WenyeweKizazi cha sasa ni shida, kuanzia wazazi hadi watoto.
Mm nilikua nawaamsha saa 10 au kumi na nusu usikuImekaaje hii?
Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni. Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,
Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.
- Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?
- Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?
- Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?
HAIINGII AKILINI KABISA
Mfumo mbaya wa elimu unaharibu watoto,,, mkuu ukipata pesa mpeleke mtoto international school tena za mtaala wa international Baccalaureate
Mwanza ipo shule inaitwa Isamilo International inafundisha huo mtaalaHapa Tz ni shule ngapi zenye huo mtaala wa IB?
Mikoa ya kanda ya ziwa na kusini ipo shule yoyote inayotoa elimu kupitia mtaala wa IB au wewe unazungumzia Dar es salaam peke yake?