Sahii,Shule nzuri huuza maeneo inayoizunguka, kwa mfano umejenga nyumba Tabata na shuke nzuri iko Kibaha. Kwa muda watoto wanaihitaji shule ya Kibaha tafuta nyumba Kibaha upangishe. Tabata unatafuta mpangaji na kodi ya Tabata inalipa nyumba Kibaha. Hofu zenu kuwa flexible.
Elimu Bora au Bora elimu.Wanataka watoto wao wapate Elimu bora. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akili inakua ishachoka + usingziMkuu,
Hawa watoto Sijui hata wakifika uko mashuleni akili zao zinakua sawa kupokea kile wanachofundishwa
Wazazi wa siku hizi hawana akiliImekaaje hii[emoji848]
Saa 11:20 alfajiri Unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni.
Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,
-Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?[emoji848]
Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.
HAIINGII AKILINI KABISA[emoji3525]
Naona wazaz wao hawana muda wa kuleaWanawatesa sana watoto mkuu
Watoto muda mwingi hawawezi hata kuwa na concentration darasaniWanawatesa sana watoto mkuu
Wazaz sahv wako kidigitali 😂Kwaiyo ndo wamewaachia walimwengu wawalelee?[emoji848]
yajua maisha wanaweza kupanga chumba Kibaha mpaka Ijumaa ndiyo anarudi kwake Tabata.Sahii,
sema wazazi wengine ving'ang'anizi Sana kupangisha Kisha na wao wakapange.
Ila kweli wanateseka aisee..wakifika nyumbani hakuna kucheza,ni kufanya homework na kula.Sasa wakicheza si watachoka sana jamaniWakifika nyumbani wanacheza saa ngap?
Wanafanya homework saa ngapi?
Wanakula saa ngapi chakula Cha usiku?
Wanalala saa ngapi?
Kisha wanaamshwa saa ngapi kesho yake[emoji848]
Sasa imagine kwa mtoto, ni matesoSahii kabisa,
Hata Mimi mwnyw TU, kuniamsha usiku wa manane Mara mbili Mara tatu akili yangu Lazima ichoke TU.
Na mchana ntasinzia sana+Ufanisi utapungua.