Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zenye watoto wa miaka 4

Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zenye watoto wa miaka 4

Sky Eclat njoo utoe neno hapa
pamoja na mama D

Ova

Wazazi tumepata pesa ya kuwatesa watoto badala ya kuwatunza watoto. Mtoto anakua kwenye school saa11 alfajiri ameamka saa ngapi?

Halafu unampeleka mtoto mdogo miaka 3,4 shule saa 11 alfajiri ili iweje? Anaenda kukuletea pesa au mshahara.

Watoto kusoma katika umri mdogo ni sawa lakini sio kumuamsha alfajiri. Mtoto alale usingizi wake uishe, akue vizuri, apate muda wa kucheza, kulala na kusoma

Binafsi naprefer homeschooling kwa watoto wangu hadi 6yrs, na baada ya hapo sipeleki mtoto shule ya kumuamsha saa11.

Watasoma shule ya karibu na nyumbani au mimi nitahamia karibu na shule watakayosoma

Mtoto miaka2, 3, 4 aamke saa 11 mimi niamke saa11, HAPANA
 
Hakuna mateso mabaya kama haya mzazi unaamka saa 10 na wewe unajiandaa kumpeleka mtoto kituoni akasubiri basi.

Ndio ukute basi limeondoka utajuta maana madereva wengi wa basi za wanafunzi wajeuri sana.

Unakuta vimelaliana kwenye gari. Huu ni zaidi ya ukatili ni vyema tuboreshe shule zetu za kata.
 
Sasa Kama mtu mzima Ni kipengele, inakuaje kwa mwanafunz Tena mtoto wa miaka 4.

Kwanza nafikiria hata huu umri wa watoto kuanza kwenda shule nao urejerewe upya.

Naachoona sikuhz watu wanajipelekea TU watoto shule, Hakuna usimamizi wala Nini.

Tofauti na miaka ya zamani
Unataka wamemalize wakiwa vbabu au vbibi

Mkuu kumuanzisha Shule mtoto akiwa bado mdogo Kuna faida zake hususani mtoto wa kike
 
Twende mbele turudi nyuma jamani!

Hivi mtoto wako wa miaka mitatu/minne (chekechea )unashindwa kumfundisha mwenyewe nyumbani?!

Mimi nilifundishwa nyumbani na mama tena huko kijijini nilipoanza la kwanza na waliosoma chekechea nikaongozea mbona?!!

Ujinga ni wa wazazi wa leo, acha waliwe mipesa na kutesa watoto wao kwa pesa zao wenyewe☹️
 
Imekaaje hii[emoji848]

Saa 11:20 alfajiri Unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni.

Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,

-Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?[emoji848]

Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.

HAIINGII AKILINI KABISA[emoji3525]
🙄Escape from Sobibor
 
Watanzania hatuna maZoea ya kulala saa 12 jioni, labda jela kwa Lazima.

Kwenye hizi familia zetu Ni nadra sana hizo kitu, KWANZA Ni wazazi wachache Sana MDA huo unawakuta nyumbani[emoji4]
Wa kulala saa 18:00 jioni ni hao watoto wa maika 3-5 maana kiafya wanatakiwa wapate masaa 10-13 ya kulala usiku na wakapata walau nusu saa mchana inakuwa bora zaidi.

Ili sasa magari yanapokuja saa 11:00 asubuhi kusiwe na tatizo kwa mtoto.
Lakini Kama wazazi watakubaliana muda wa kulala kwa hao watoto uwe saa 20:00-2100 usiku basi magari yaje kwanzia saa 07:00-09:00.

Hili jambo wala sio lakusumbua akili, ni makubaliano tu maana hayo magari hayaji bure(transportation fee).

Kwa wastani muda wa kusoma kwa kindergarten (baby class, middle class, upper class) ni masaa matatu tu, huo muda mwingine ni mapumziko, kula na michezo ambao unaweza kuwa masaa matatu nayo hivyo jumla ya muda wa shuleni kuwa masaa sita.
 
Twende mbele turudi nyuma jamani!

Hivi mtoto wako wa miaka mitatu/minne (chekechea )unashindwa kumfundisha mwenyewe nyumbani?!

Mimi nilifundishwa nyumbani na mama tena huko kijijini nilipoanza la kwanza na waliosoma chekechea nikaongozea mbona?!!

Ujinga ni wa wazazi wa leo, acha waliwe mipesa na kutesa watoto wao kwa pesa zao wenyewe☹️
Hii mada sio husika kwa mazingira ya vijijini, usikurupuke.
 
Imekaaje hii[emoji848]

Saa 11:20 alfajiri Unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni.

Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,

-Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?[emoji848]

Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.

HAIINGII AKILINI KABISA[emoji3525]
Salam ziwaendee Wazazi,mzazi ndo kila kitu katka hili
 
Mfano wa ratiba ya kindergarten

8:35-9:00 – arrival, breakfast, morning work

Our morning work consists of unpacking, signing in, fine motor tasks, and play.

9:15-9:30 – number corner, calendar

I recently made the switch to number corner and calendar in the morning and I LOVE it – I really feel like for my class and preferences, this flows better in the morning vs. later in the day during math.

9:30-11:00 – literacy (science/ss integration)

Our literacy block focuses on mini lessons, writing time, a LOT of reading and read alouds, and free-flowing centers, where students are moving through their choices and I am meeting with small groups.

11:00-11:45 – lunch/recess

11:50-12:10 – rest/story

We don’t sleep or take naps, but we do spend some time with the lights out just taking it easy with a story/regrouping. These kids are very young and the day is busy!

12:15-1:00 – classroom play/centers (kitchen, sensory, blocks, etc.)

This is when my kids make their plan to play in our classroom. We have a kitchen area, blocks, cars, LEGOS, puzzles, and tons more.

Our room is set up so that our work areas are actually integrated into play areas. You won’t find toys on the outskirts of the room, rather the centers are all throughout and in well defined spaces.

Kids decide on a plan, but are allowed to change their plan and move freely between areas. During this time I support the development of social-emotional skills, as well as work on academics in authentic ways as they come up naturally through play.

For instance, if I have a student who isn’t able to count with one-to-one correspondence, I may build a LEGO tower with him and count the blocks. If a student cannot read CVC words, we may do word puzzles together or read books.

This is a time that they are continually learning and it is SO important for their development. I can’t imagine our day without it!

Keep in mind they are allowed to free play, and I do not interrupt their play. Rather, if they are interested in playing and learning with me, I may approach them, but I never interrupt them.

For instance, if a child was already immersed in building legos, I would never go over there and make them count them. It’s only if we have started building together or they show an interest.

1:00-1:50 – math

Math is a similar structure to literacy. Routine is VERY important at this age and they thrive when they have similar systems in place throughout the day.

We have mini lessons, number talks, and free-flowing math centers (similar to literacy) where students are freely moving through their choices and I am meeting with small groups.

1:50-2:05 – recess

2:05-2:20 – snack

2:30 – dismissal

Note – early in the year we dedicate WAY more time to dismissal and pack up – it takes us a while to get it down to ten minutes. 😉
 
Mie naona hawa watu wa haki za binadamu hawafanyi kazi yao. Wamekalia ushoga baadala ya kuwatetea wototo. Sasa mtoto wa miaka minne saa kumi na moja anaenda shule kufanya nini? Kuwatesa tuu watoto.
Tatizo la wale nao njaa tu wanatumikia agenda za Wazungu badala ya agenda za maisha halisi ya Mtanzania
 
Daycare sawa, hata saa kumi na moja waje wamchukue mtoto niwahi kazini au nam drop center nikiwa nawahi foleni. Huko wana vitanda na hulala, huogeshwa, kulishwa, kucheza na kusoma kidogo maana mtoto wa miaka mi3 bado hata haelewi shule ni nini. Jioni nikimpitia au wakimleta nikiwa home tayari hatakama ni saa moja usiku. Mnaopinga Daycare mna house maids wazuri au mmeamua kujitoa muhanga, au mnawatu wa kuwaachia watoto nyumbani au bado hamna watoto au tayari ni wakubwa. Ila zinasaidia sana
 
Hata mimi sitasuka watoto wangu mpaka wamalize secondary, maana sioni sababu ya msingi ya wao kusukwa zaidi ya kushikwa shikwa vichwa hovyo na wasusi, mwisho wapate na mapepo huko.

Kichwa ni kitu sensitive sana, sasa ukiruhusu mtoto daily anavutwa vutwa kichwa hovyo ni mikono ya watu na wabaya humo humo inakua shida aiseee
mawazo ya kikoloni haya.
 
Imekaaje hii[emoji848]

Saa 11:20 alfajiri Unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni.

Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,

-Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?[emoji848]

Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.

HAIINGII AKILINI KABISA[emoji3525]
Ni ukatili mkubwa sana kwa watoto.
 
Hii ni mbaya sana, ni kumtesa mtoto na kuharibu akili yake kabisa, shule nyingi za watoto chini ya miaka mitano huwa school bus zao zinapita kuanzia saa moja na nusu unless huyo mtoto awe anasoma kwenye shule yenye combined nursery and primary school, na on the other side, school bus is an optional na sio mandatory, kwa hiyo nawalaumu wazazi ambao wanawatesa watoto kwa kuwaamsha saa kumi, kwa kuwa school bus ni optional wazazi wengi huwa wanawapeleka watoto mashuleni wenyewe ili kuepusha hayo mateso ingawa kuna wengine hata hawajali,

Ila pia utaratibu wa elimu ya watoto chini ya miaka mitano umeweka ratiba ya lisaa limoja hadi mawili ya hawa watoto kulala mchana baada ya mlo na shule nyingi wanafuatilia hii ratiba.

Wazazi tuache uvivu, hii mida ya school bus kupita ni mibaya na inawafanya watoto wananyanyasika, mimi school bus ilikua inapita saa 12 kamili asubuhi nikwaambia wasiwapitie tena wanangu nitakua nawapeleka mwenyewe maana kuwaamsha watoto saa 11 iki uwaandae waawahi school bus saa 12 ni mateso, huwa nawaamsha watoto saa moja nawaandaa, ikifika saa moja na nusu washamaliza breakfast tunaanza safari ya shule, cha kushangaza ile school bus inayopita mtaani kwangu saa 12, huwa naingia nayo getini, kwa maana hiyo watoto wangekua wanakaa barabarani masaa matatu au manne maana mimi huwa nafika geti la shule saa mbili kasoro.

Siwalaumu serikali wala shule, nawalaumu wazazi maana hakuna alielazimishwa kutumia school bus, hiyo hela ya school bus hata bajaji ambae ni mwaminifu unaweza kumlipa akaongozana na dada kila siku kuwashusha watoto shuleni au kama mzazi unaenda kazini asubuhi washushe watoto mwenyewe

Kuna wengine huwa wanajiorganize wazazi wanaotoka mtaa mmoja, wanakodi gari ambayo inapita muda ulio rafiki inawabeba watoto kika siku na wanachanga na kulipia kila mwezi kuna njia nyingi sema tu wazazi wana uvivu wa kufikiri au wanakwepa majukumu.
 
Imekaaje hii[emoji848]

Saa 11:20 alfajiri Unapishana na schoolbus zimebeba wanafunzi wadogo wa miaka 4-6 wakipelekwa mashuleni.

Unabaki unajiuliza maswali mengi sana kichwani,

-Hivi Hawa watoto wameamshwa saa ngapi?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wameandaliwa kwa MDA gani?[emoji848]
-Hivi Hawa watoto wamekaa vituoni kusubiria school bus kwa MDA gani?[emoji848]

Wazazi, waalimu,Serikali, jamii na wahusika wote wa Hizi DAYCARE na PRIMARY SCHOOLS mnaofanya hivi mjitafakari sana kwa hili.

HAIINGII AKILINI KABISA[emoji3525]
Tunatengeneza 'kizazi cha Wasafiri' badala ya wasomi. Matokeo yake yataonekana miongo miwili au mitatu ijayo.
 
Ni kweli.
Mie naona hawa watu wa haki za binadamu hawafanyi kazi yao. Wamekalia ushoga baadala ya kuwatetea wototo. Sasa mtoto wa miaka minne saa kumi na moja anaenda shule kufanya nini? Kuwatesa tuu watoto.
 
Back
Top Bottom