ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Nahusika humu na mtoto wangu haamshwi saa10 hata siku moja, ni ujuha kumuamsha mtoto mda huo kisa aende shule, maeneo ya karibu hakuna shule yenye viwango vya kumpleka mtoto?Hivi wewe na Mimi tunao comment kwenye huu Uzi si ni wahusika wa kuamsha watoto usiku?
Ambaye hahusiki ujue mtoto wake Yuko boarding au St Kayumba.
Unaishi Mbezi mwisho unampeleka dogo Mikocheni, are you for real? Hiki kizazi wazazi hatuna busara kabisa.