Saa ishirini na nne za Nusrat Hanje kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

Hayo mbona Biswalo Mganga hakuyasema , umeyatoa wapi ?
 
Kwa katiba hii siku tukipata Rais chizi...tutatembea bila nguo kwa amri yake.

Maana kwa sasa katiba ni makaratasi tu, katiba halisi ipo ndsni ya vinywa vya watu 2 ama 3 hivi.
 
Asante sana mzee Baba kwa kututoa gizani
 
wewe kweli mhhh. Removal order hutolewa mshitakiwa akiwa ameletwa mahakamani na Hakimu ndio anatoa hiyo order baada ya DPP Kuomba kuwa hawana haja ya kuendelea na kesi. Sasa imetolewa mapema kivipi. Yaani DPP kamfuata hakimu nyumbani kwake?
 
Shida teuzi za siku hizi hazifati vigezo na masharti..
 
Siku hizi katiba na sheria zimewekwa uvunguni.

Tunaendeshwa na kichwa cha magufuli kutoka ikulu ya chamwino- Dodoma.

Ni mwendo wa kuropoka na kutoa amri za hapa na pale.

Wakati mwingine unashindwa kuelewa kama kweli hii ni Jamuhuri yenye sheria ama ni kampuni ya chato inayoendeshwa kama genge la nyanya?

Last i checked, hata kampuni nazo zinaongozwa kwa sheria!!

Sasa hii Danganyika Republic ya akina Biswalo inakuwaje?
 
Dogo huwa unakosea sana. Ni wajibu wa serikali kukusanya kodi,je zikikusanywa na kuliwa?

Kuifananisha Tanzania na SA ya makuburu ni kukosa busara. Tumia akili wakati unajitetea.
Mkuu Mchungaji/Padri/Shehe akiwahubiria waumini kwenye nyumba ya ibada hadi wakabadilika na kuwa watu safi lkn yeye huku mtaani akawa anatafuna mke wa mtu au mwanamke asiye wake huyo ni mchafu tu, hadi atakapotubu na yeye hata kama kuna lile zuri analifanya kwenye nyumba ya ibada.

Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
 
Matusi haya!

Huko Tanganyika DPP ana mamlaka ya kuifokea mahakama?

Anaiamrisha pia? Alooh?
 
We Bwege kweli. Nani kakudanganya DPP ana nguvu kuliko Muhimili wa Mahakama?
 
Hivi DPP naye amepewa kinga ya kutoshitakiwa?
 
tindo sisi ambao tuko huku mikoani ndio tunajua uadilifu wa huyu mkuu wa nchi. Leo hii kila kona kuna barabara za lami. Hapa nilipo ni porini lakini kuna jengo la halmashauri linasimama. Miaka ya nyuma ilikuwa ni ulaji tu.
Uadilifu wa uongozi huanzia kwenye kulinda uhai wa raia. Vinginevyo maendeleo mengine ni bure.
 

Yesu rudi uililie Tanzania kama ulivyoililia Yerusalamu!!!!!!!!!!!
 
Akili yako mbilikimo inakutuma kuwa barabara za lami ndyo uadilifu kwel Chakubanga anasajili misukule
tindo sisi ambao tuko huku mikoani ndio tunajua uadilifu wa huyu mkuu wa nchi. Leo hii kila kona kuna barabara za lami. Hapa nilipo ni porini lakini kuna jengo la halmashauri linasimama. Miaka ya nyuma ilikuwa ni ulaji tu.
 
Kuna watu wanasema serikali hii inaongozwa na mtu muadilifu, jambo hilo huwa ninalikataa wazi wazi na mifano hai iko mingi sana.
Muadilifu!? Hebu jaribu kumuuliza Salva Rweyemamu kuhusu ule mchakato wa kugawana majumba ya serikali alivyojinufaisha.
 
Hii awamu haina haja ya Katiba wala sheria... anyway tutaonana madhara yake huko mbeleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…