Wewe akili yako inakuambia amekuibia???
Kuanza kumpangia mtu cha kuvaa kisa ni kiongozi wako huo ni ujinga
Tafuta hela stress ni ugonjwa wa wazungu
Wewe kinachokusumbua ni njaa,tamaa na wivuuu
Huna akili, kiongozi lazima uwe mfano halisi........unaishi vipi kifahari wakati asilimia kubwa ya unaowaongoza ni maskini wa kutupwa, hiyo milioni 112 haiwezi kununua jenereta tukawasha umeme hapa watoto wakapata mwanga wa kusomea? maisha ya kifahari waishi matajiri, siyo kiongozi wa umma tena kwenye nchi maskini.