Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuache wivu kwani kunashida gani mtu kuvaa saa inayogharimu hiyo hela! Kama hela anayo, watu waache kutumia mishahara Yao wawe wanawaza madarasa tuu muda wote?! Kuna shule zaidi 175 zimejengwa kwa mwaka 2023 na January hii watoto wapo, shule Moja million mia Tano plus . Raisi wetu tumjie moyo Tanzania itajengwa siku Moja ikafafana marekani.Hii hapa saa ya mama yetu mama wa mfano ,
Pesa hizo ni madarasa 12 ya Shule hapa Tanzania nchi maskini ila yenye rasilimali za kutosha
Mama anaupiga mwingiView attachment 2911553
View attachment 2911572
Nyerere amekuwa rais miaka mingapi, nakuapia hakuwa na hela ya kununua saa hiyo.....yule mzee was a genious, hawezi kufanya uharamia huo kwa sababu aliwapenda wananchi maskini.Ameanza kuwa mtumishi wa serikali siku nyingi
Unadhani hana hela?
Mkuu nimefanya kazi zaidi ya miaka 40 hapa mikono yangu imepokea za halali tupuUmetisha Mkuu !
Ila kama unatumia za Umma kaa chonjo !
🙏🙏
Kwa hio ukiwa raisi inabidi uishi kimaskini hadi kero zote za wananchi ziishe ?Sio sawa kwa rais wa nchi ambayo akina mama wanakosa maji salama au kujifungulia chini ya miti kuvaa saa ya mamia ya mamilioni!!!
Una uhakika gari la waziri mkuu wa Tanzania ni la kifahari kuliko la waziri mkuu wa UK au Japan,?Usifikiri kuwa ufahari katika nchi maskini zinazoomba omba kila ukicha ni sawa lazima tuwe na ufahamu mzuri wakati mwingine tunachekwa na wafadhili wetu. Hivi kweli hiyo misafara mirefu ya magari 50 unaona sawa tu?! Hatuna mambo ya msingi lazima tuwenayo kwanza ufahari baadaye. Viongozi wetu wanatembelea magari ya kifahari kuliko viongozi wa Uingereza au Japan yanapotengenezwa magari hayo, na ni nchi wafadhili wetu, sawa kweli?
Nyerere alikuwa na mwonekano gani zaidi ya marais wenzake, unadhani huyu anaheshimika sana kimataifa zaidi ya Nyerere, acha kushabikia uzuzu.Duuuuu hiii kali mtu kazi yake anakutana na watu wazito wa mataifa makubwa,kati na masikini.
Alafu asivae kuendana na hadhi ya kazi yake,kumbuka muonekano ndio ujasiri wa mtu.
Moyo wa ukipata kitumie ukikosa kijutie ndio moyo wa samia. Ndio maana urais wake uishie kua wa urithi tu. Nchi hii inahitaji kiongozi asiye mbinafsi na mbadhirifu kuweza kuendelea kiuchumi watu wake.Hii hapa saa ya mama yetu mama wa mfano ,
Pesa hizo ni madarasa 12 ya Shule hapa Tanzania nchi maskini ila yenye rasilimali za kutosha
Mama anaupiga mwingiView attachment 2911553
View attachment 2911572
Spika mstaafu Anna Makinda alituomba Wananchi tuwahurumie Wabunge maana wanaishi maisha magumu sana !!Kwa hiyo saa yake ina thamani sawa na saa ya Floyd Mayweather? hapo ndo utaona tofauti ya Nyerere na hawa waliomfuatia, hivi hata kama umepewa zawadi kuna jambo utawakatalia kuhusu rasilimali za nchi?
Hawana hata ile hisia watanzania wengi wanaowaongoza wamejaa umaskini kiasi kwamba kupata tu yale mahitaji muhimu kama chakula, matibabu ni mtihani.....
Kwanza wanatakiwa wajiulize ameipata vp, mfano kuna watu wa kawaida tu ila kwenye birthday zao wanapewa zawadi za thamani zikiwemo magari nk, unafikiri Rais akipewa zawadi siku muhimu kama hiyo atapewa mitandio tu na perfumes, kwa connection alizonazo.Kwa hio ukiwa raisi inabidi uishi kimaskini hadi kero zote za wananchi ziishe ?
Yan mfano niwe mimi raisi ninavyopenda viatu hivi nivae viatu vya karume kisa majority ndio mnavaa?
Acheni akili za kijamaa hizo,
Kama ana hela avae hata ya Billion
Kazi kweli kweli ! 🙏🙏Mkuu nimefanya kazi zaidi ya miaka 40 hapa mikono yangu imepokea za halali tupu
Ni mshahara na biashara zangu tu
Umeiona hiyo imekunjwa kama nyoka bei £43100 yaani tsh 130m
Ila siwezi kununua hiyo mkuu
Nchi za kimasikini zinapigwa haswa ila sisi tunatoka jasho na msoto acha tule za halali tu
Safi,mahitaji ya binadamu yanaendana na kipato'Mansislow"theory .ndivyo ilivyo hulka ya mwanadamuHatununuliki kirahisi hivyo
Tumnange kwenye ishu za kimsingi, sasa huo mshahara wake anautumiaje kama tunaanza kumkagua mpaka mavao yake?
Akili ya punguani ndo inaweza kuwaza hivi, kwa mtu ambaye ni kiongozi kutoka moyoni mfano wa Nyerere nafsi lazima ikusute kutokana na ugumu wa maisha wa wananchi unaowaongoza, unakuwaje confident kuongoza nchi iliyo gizani kwa kukosa umeme na bado ukaendelea kutupia vitu vya gaharama!?Kwa hio ukiwa raisi inabidi uishi kimaskini hadi kero zote za wananchi ziishe ?
Yan mfano niwe mimi raisi ninavyopenda viatu hivi nivae viatu vya karume kisa majority ndio mnavaa?
Acheni akili za kijamaa hizo,
Kama ana hela avae hata ya Billion
Hizi ndio moments zinazoanza kunipa mashaka na akili za CHADEMA kama tukiwapa nchiHata Joe Biden hana huo uwezo wa kuinunua hiyo saa, maza anauza mali za wajinga bila huruma
Wewe akili yako inakuambia amekuibia???Nyerere amekuwa rais miaka mingapi, nakuapia hakuwa na hela ya kununua saa hiyo.....yule mzee was a genious, hawezi kufanya uharamia huo kwa sababu aliwapenda wananchi maskini.
Punguza mihemko, title imebadirishwa hiyo.Wamesema madarasa wewe unaongeza vya kwako, ongeza basi na sare za wanafunzi.
Elewa kauli "darasa"
Hawajui hiyo ni namna ya kupunguza stress tu !Wabongo tupunguze ushamba, unataka Raisi avae saa za kariakoo kama unazovaa wewe.?
Si ajabu ungelikuwa ni ww ungevaa ya mil 200 kabisaa.