Saa ya Rais Samia yadaiwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 111,601,22/=

Saa ya Rais Samia yadaiwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 111,601,22/=

Pesa hizo ni madarasa 12 ya Shule hapa Tanzania nchi maskini ila yenye rasilimali za kutosha
Labda alipewa Zawadi huko. Safarini yaani hakununua kwa pesa zake ingawa kama Rais wetu ana uwezo wa kununua!!!

Si ni nyingi Mlisema mnachukia umaskini!!? Mnaonyeshwa mfano wa kuichukia umaskini. Halafu mnashangaza. Mliwahi kuambiwa kuwa sisi ni donor country, mkaja juu!!!! Mnaonyeshwa kuwa we are donar kantri kiukweli Sasa!!!

Ha ha haaaa! Kama mazuri vile.
 
MaCHADEMA ndio unyumbu huo. Kwani hana haki kuvaa vitu vizuri?!
Akili za hovyo kabisa. Rais anapewa zawadi na watu wengi ikiwemo familia yake akatae?!
MaCHADEMA mmezoea uzinzi na wizi hamna akili. Kazurureni Barabarani
 
Well defended...
Ila mi nisaidie tu
.. what's wrong with 'serpenti'!?
Ni symbol ya nyoka, ilianzia kwa Mama yetu Eva/Hawa alidanganywa na serpenti, japo kwenye Bible wameandika nyoka lakini ukweli ni kuwa serpent baada ya kuingia bustanini alijigeuza mtu kijana HB shababi, sio tuu alimrubuni Eva kwa kuonyesha tunda linavyomegwa, bali alimfanyia practical ya kumegwa tunda kwa kummega.

Malkia Cleopatra baada ya kulazimishwa kuolewa na mfalme, na huku ana mpenzi wake, akaamua kuliko kuolewa na mtu asiempenda, akamchukua nyoka cobra, huku amemficha kwenye bra, mpenzi wake ile anampiga busu, cobra akamgonga, na kumngata kwenye titi, wakafa wote wawili huku wamekumbatiana kwenye game!.

Wanawake wengi wasio na waume, wanaosemekana kuwa na jini mahaba, linalowaingilia usiku kwenye ndoto, jini hili ni serpent, ukivaa pete, chain, shanga, bangi;i , saa ya serpent, unakuwa possessed, na serpent bila wewe kujijua, unajikuta huna hamu ya mwenza, kila usiku unaota unakula raha, ukiamka umechafuka, kumbe ni serpent anajilia!, kwa boss ladies wengi ili asishtukiwe, anakuwa na mume zuga tuu ambaye hapati kitu mambo yoteni serpenti!
P
 
Kuna uhakika gani kama ndio yenyewe jamani? Labda mama is faking till she makes it je?

Ila mimi sijui hizo saa watu huwa wanazipendea nini? Niache kuvaa apple smart nivae mshale dunia hii ya sasa? Na uwezo upo?
We Nifa... wanaovaa fake ni masikini, rais wetu avae fake?!. why?!.
ndio yenyewe ila sio lazima amenunua yeye labda ni atakuwa ni kazawadiwa!.
P
 
Ni kweli kwamba we deserve the best money can buy ila kwa nafasi ya Rais anapaswa kufanya mambo kulingana na hali ya wananchi wake ambao ndio mabosi wake.

Mfanyakazi huwezi ukawa unafanya anasa kuliko waliokuajiri.

Kila asubuhi napo katiza mitaani nakuta watu wamelala mitaroni na chini ya madaraja.

Sensa ya Taifa inasema more than 70% ya wakazi wa Dar sio home owners.

Tanzania ni nchi maskini na kwa sasa tunapitia changamoto za umeme , sukari na uhaba wa dola.

Huduma nyinginezo nazo hazina uhakika, afya, elimu na maji ni ya kubahatisha.

Halafu unaamka unakutana na habari kwamba kuna kiongozi anavaa saa ya milioni Mia.

Ukikaa na kutafakari mienendo yake ya safari za ulaya kila kukicha unaamini kuwa anaweza fanya hivyo kwa kuwa tayari tunaona ni mtu wa matumizi.

Nimshauri tu mkuu wetu kuwa anapofanya jambo aangalie anaongoza watu wa aina gani.

Rais ni mlezi na mfariji mkuu, kwa
Nafasi yake anatakiwa kuhakikisha wananchi anaowaongoza wanakua na imani nae, ila kwa matumizi ya aina hii wataanza kupata mashaka nae.

Ingekua ni celebrities kama kina Kajala na wengineo hakuna anayejali maana tambo za bei ndio zinawapaisha zaidi.
Kama kazawadiwa asivae kwa kuogopa watu watamuonaje?.

Kunywa maji upunguze stress mkuu
 
Back
Top Bottom