Saa ya Rais Samia yadaiwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 111,601,22/=

Wewe akili yako inakuambia amekuibia???
Kuanza kumpangia mtu cha kuvaa kisa ni kiongozi wako huo ni ujinga
Tafuta hela stress ni ugonjwa wa wazungu
Wewe kinachokusumbua ni njaa,tamaa na wivuuu
Huna akili, kiongozi lazima uwe mfano halisi........unaishi vipi kifahari wakati asilimia kubwa ya unaowaongoza ni maskini wa kutupwa, hiyo milioni 112 haiwezi kununua jenereta tukawasha umeme hapa watoto wakapata mwanga wa kusomea? maisha ya kifahari waishi matajiri, siyo kiongozi wa umma tena kwenye nchi maskini.​
 
Kuna uhakika gani kama ndio yenyewe jamani? Labda mama is faking till she makes it je?

Ila mimi sijui hizo saa watu huwa wanazipendea nini? Niache kuvaa apple smart nivae mshale dunia hii ya sasa? Na uwezo upo?
Inaonekana bado hauzijui saa [emoji849]

Patek Philippe, rolex,Audemars Piguet, na Omega.
 
Nyerere mzungumzie kwenye ukombozi wa Africa, ila kwenye uchumi na kitu chochote kinachohusu pesa mtoe,
Mana alifeli vibaya sanaaaa
 
Wewe akili yako inakuambia amekuibia???
Kuanza kumpangia mtu cha kuvaa kisa ni kiongozi wako huo ni ujinga
Tafuta hela stress ni ugonjwa wa wazungu
Wewe kinachokusumbua ni njaa,tamaa na wivuuu
Stress ni ugonjwa wa Wazungu πŸ˜…πŸ˜… !
Kwakweli inawezekana hii !
Nimecheka sana Hahahaha ! Duh πŸ™„!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwamba raisi atoe kipato chake kusolve shida za taifa πŸ€”πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa akiili hizi Chadema hamtaongoza nchi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nyerere was a failure as president ndo mana akalazimika kujiuzulu, so usipende sana kumtumia kama mfano wa uongozi
 
Kuna uhakika gani kama ndio yenyewe jamani? Labda mama is faking till she makes it je?

Ila mimi sijui hizo saa watu huwa wanazipendea nini? Niache kuvaa apple smart nivae mshale dunia hii ya sasa? Na uwezo upo?
Kuna vitu vingine vinasimama kama alama ya ukwasi
Binafsi hata saa sivai maana naamini simu yangu inatosha , ila kuna saa za "patek philipe' kuna series huwa zinauzwa dola milioni kadhaa .na watu wananunua na kuvaa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwamba raisi atoe kipato chake kusolve shida za taifa πŸ€”πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa akiili hizi Chadema hamtaongoza nchi πŸ˜‚πŸ˜‚
Unajua maana ya kuwa kiongozi, hujielewi mzee.....kama kiongozi siwezi kununua saa hata ya milioni moja ikiwa kuna wananchi wangu wanajifungulia juu ya sakafu.
 
Huwa wanajaribu kupata furaha ya moyoni ambayo huwa ni ngumu sana kuipata katika maisha !
Hata ukiiba kura ujue adhabu ya kukosa furaha maisha yako yote inakuhusu πŸ˜…πŸ˜… !
Maana hiyo pia ni dhulma kama dhulma nyingine yeyote ile πŸ˜‚πŸ˜‚
Chonde chonde tuwe waadilifu ili tusikose furaha ya moyoni πŸ™πŸ™πŸ™
 
Nlimwambia mimi kuwa wanawake watakuvamia kwenye huu uzi mpaka uukimbie. Na leo mumchambe sana. Anataka msiwe mnapewa hata zawadi.
 
Ukitawaliwa na roho ya kishetani hauwezi ku-feel guilty consciousness, roho inakuwa ngumu haswaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…