Tujue mshahara wake na marupurupu.Ni ujinga kiongozi wa nchi masikini tena anayelipwa mshahara kwa kodi za masikini kuvaa saa ya milioni 111 wakati wale unaowaongoza hawana uhakika wa milo motatu kwa siku! Kuna tofauti ya kiongozi na 'boss' Rais anapaswa kuwa kiongozi na sio boss.
Sawa mkuuAkili yako ndogo kuweza kuona
Marais wengine hawakuwa na wenza? Sheria hairuhusu mtumishi wa umma kupokea zawadi kiholelaMimi sitaki kuingilia mambo ya familia za watu, hio imekaa kifamilia zaidi sasa unapoanza kuhoji as if yeye hana mume unakua hueleweki
Kwakua unadhani nafasi yake ktk nchi ni kama akina mwijaku, watu wa kufrahi kununuliwa vituShida iko wapi? Unajua aliemnunulia saa?
Madarasa 10 ya namna gani hayo?Hiyo hapo mkuu View attachment 2911567
Huyo sio mke wa mtu huyo ni kiongozi wa nchi masikini, una akili timamu kweli wewe?Tafuta hela na wewe ununue sio kutwa kujadili wake za watu, je kama amenunuliwa na mme wake?
Hadhi yake? Kiongozi wa nchi masikini? Huyo sio boss bali ni kiongozi! Ni aibu kwa wale anaowaongozaWacha avae..Kuvaa ni kawaida kwa hadhi yake..
Mama vaa upendavyo, ila kazi uliyonayo ndio muhimu...
KAZI YA UONGOZI..
Mshahara anaolipwa kwa kodi za watu masikini? Huyo sio kiongozi ni boss. Kiongozi lazima aonyeshe uchungu na aishi maisha ya wale anaowaongozaKama kanunua na mshahara wake ni poa tu
Milioni mia+ sio kitu cha kutisha yeye kuvaa mkuu...tusikuze mambo kisiasa.Hadhi yake? Kiongozi wa nchi masikini? Huyo sio boss bali ni kiongozi! Ni aibu kwa wale anaowaongoza
Viongozi wengine hawakuwa na wenza? Acha ujingaMke wa mtu huyo wajameni, pamoja ya kwamba ni Rais wa nchi...
Mara nyingi tu viongozi wa nchi wafadhili wa Tanzania wanatumia magari madogo sana na wengine wanatumia hata public transport ikiwa ni pamoja na aliyekuwa chancellor wa Ujerumani na wengine. Mnapenda kuona misafara ya magari 100 mnafikiri hizo gharama zinatoka wapi? Ni kodi yako na gharama hizo zinakula kwako in terms of maendeleo hafifu, umeme, sukari, miundombinu mibovu n.k. Muwe mnajielewa watanzania!Una uhakika gari la waziri mkuu wa Tanzania ni la kifahari kuliko la waziri mkuu wa UK au Japan,?
Umasikini ni zaidi ya uchawi!! Ndio maana kwenye umaskini mkubwa ndipo kwenye uchawi sana!! Sasa hiyo saa na kipato chake mbona ni ardhi na mbingu, hiyo si perdiem yake ya siku kadhaa tuAnalipwa shilingi ngapi kwa mwezi?
Elimu ipi bora ilitoa? Kanda nzima kuwa na shule 1 ya sekondari ndio elimu bora?Lakini serikali hiyo hiyo ya Nyerere enzi hizo ilikuwa inaweza kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi maskini ikiwemo elimu, matibabu, maji nk.
Fikiria maelfu ya wanafunzi ndoto zao za kielimu zimekufa kwa kunyimwa ufadhili wa serikali, halafu eti nikanunue saa ya milioni mia.....hiiii bhagosha!
Ni mke wa mtu na kiongozi...Huyo sio mke wa mtu huyo ni kiongozi wa nchi masikini, una akili timamu kweli wewe?
Viongozi wengine hawakuwa na wenza? Acha ujinga
Ko asinunue saa kwa mshahara ambao ni halali yake, kisa uchungu kwenu masikini?Mshahara anaolipwa kwa kodi za watu masikini? Huyo sio kiongozi ni boss. Kiongozi lazima aonyeshe uchungu na aishi maisha ya wale anaowaongoza
Ujinga, unapokuwa kiongozi unapaswa kuishi katika namna jamii ikuone kama kiongozi aio boss. Haiwezekani wale unaowaongoza hawana uhakika wa milo mitatu alafu wewe unavaa saa ya milioni miaMshahara wake ni sh ngapi? kiasi kwamba ashindwe kununua hio saa
Rais ni kiongozi sio boss, acha ujinga. Tena kiongozi wa nchi masikiniMuacheni mama wa watu apendeze
Mavazi yote ya Rais si anavalishwa bure,Rais ni wadhifa mkubwa sana.
Hadhi ya nani? Kiongozi wa nchi masikini? Watu unaowaongoza hawana uhakika wa milo mitatu alafu unavaa saa ya milioni 100? Utakuwa hauna akiliKwa hadhi yake ni Sawa Tu.
Ajabu ni kimtu Chenye Kula ya hapa na pale lakin kinajinyima mwaka mzima ili kiweze kumilik macho matatu.