Saa ya Rais Samia yadaiwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 111,601,22/=

Hata hivyo hizo suti bei ya kawaida sema ni dharau tu za baadhi ya wazungu
 
Kuna uhakika gani kama ndio yenyewe jamani? Labda mama is faking till she makes it je?

Ila mimi sijui hizo saa watu huwa wanazipendea nini? Niache kuvaa apple smart nivae mshale dunia hii ya sasa? Na uwezo upo?
Ungejua hizo smart watch ni za kishamba! Yani mtu aache kuvaa classic watch alavae ki smart watch kama mtoto
 
Wanawake wengi wanajipenda hasa kwenye mavazi, nywele n.k.

I had a girlfriend in past, yeye yupo radhi watoto wake wasile nyama lakini sio yeye kutovaa.

Mtindo gani wa nguo uingie Mjini yeye asivae.

Mikufu ya dhahabu kuanzia ya Mkononi hadi hereni.

Kwahiyo sio ajabu, namba Moja wetu naye akawa hivyo. Akajibana kwenye mishahara yake pamoja na Posho zake za safari ili kutimiza ndoto ya kuvaa saa ya dhahabu.

Hata hivyo sote tunajua Rais hana anacholipia Kwa mshahara wake, tangu ana amka hadi analala anagharamiwa na Serikali.

So possibly akatumia mshahara wake kufanya hayo
 
Hatununuliki kirahisi hivyo
Tumnange kwenye ishu za kimsingi, sasa huo mshahara wake anautumiaje kama tunaanza kumkagua mpaka mavao yake?
Kumbuka huyu TUMEMWAJIRI na tunapoona ana matumizi yanayotia wasiwasi ukilinganisha na mshahara tunaompa tuna haki ya kushituka na kuhoji.
 
Hii hapa saa ya mama yetu mama wa mfano ,

Pesa hizo ni madarasa 12 ya Shule hapa Tanzania nchi maskini ila yenye rasilimali za kutosha

Mama anaupiga mwingiView attachment 2911553
View attachment 2911572
madarasa ya nini? muacheni mama avae ainjoi maisha tu kwasababu huku nyuma watumishi wake wa umma wanatishiwa kutokulipwa mishahara kwasababu ya PEPMIS!;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…