Saa ya Rais Samia yadaiwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 111,601,22/=

Pesa hizo ni madarasa 12 ya Shule hapa Tanzania nchi maskini ila yenye rasilimali za kutosha
Labda alipewa Zawadi huko. Safarini yaani hakununua kwa pesa zake ingawa kama Rais wetu ana uwezo wa kununua!!!

Si ni nyingi Mlisema mnachukia umaskini!!? Mnaonyeshwa mfano wa kuichukia umaskini. Halafu mnashangaza. Mliwahi kuambiwa kuwa sisi ni donor country, mkaja juu!!!! Mnaonyeshwa kuwa we are donar kantri kiukweli Sasa!!!

Ha ha haaaa! Kama mazuri vile.
 
MaCHADEMA ndio unyumbu huo. Kwani hana haki kuvaa vitu vizuri?!
Akili za hovyo kabisa. Rais anapewa zawadi na watu wengi ikiwemo familia yake akatae?!
MaCHADEMA mmezoea uzinzi na wizi hamna akili. Kazurureni Barabarani
 
Well defended...
Ila mi nisaidie tu
.. what's wrong with 'serpenti'!?
Ni symbol ya nyoka, ilianzia kwa Mama yetu Eva/Hawa alidanganywa na serpenti, japo kwenye Bible wameandika nyoka lakini ukweli ni kuwa serpent baada ya kuingia bustanini alijigeuza mtu kijana HB shababi, sio tuu alimrubuni Eva kwa kuonyesha tunda linavyomegwa, bali alimfanyia practical ya kumegwa tunda kwa kummega.

Malkia Cleopatra baada ya kulazimishwa kuolewa na mfalme, na huku ana mpenzi wake, akaamua kuliko kuolewa na mtu asiempenda, akamchukua nyoka cobra, huku amemficha kwenye bra, mpenzi wake ile anampiga busu, cobra akamgonga, na kumngata kwenye titi, wakafa wote wawili huku wamekumbatiana kwenye game!.

Wanawake wengi wasio na waume, wanaosemekana kuwa na jini mahaba, linalowaingilia usiku kwenye ndoto, jini hili ni serpent, ukivaa pete, chain, shanga, bangi;i , saa ya serpent, unakuwa possessed, na serpent bila wewe kujijua, unajikuta huna hamu ya mwenza, kila usiku unaota unakula raha, ukiamka umechafuka, kumbe ni serpent anajilia!, kwa boss ladies wengi ili asishtukiwe, anakuwa na mume zuga tuu ambaye hapati kitu mambo yoteni serpenti!
P
 
Kuna uhakika gani kama ndio yenyewe jamani? Labda mama is faking till she makes it je?

Ila mimi sijui hizo saa watu huwa wanazipendea nini? Niache kuvaa apple smart nivae mshale dunia hii ya sasa? Na uwezo upo?
We Nifa... wanaovaa fake ni masikini, rais wetu avae fake?!. why?!.
ndio yenyewe ila sio lazima amenunua yeye labda ni atakuwa ni kazawadiwa!.
P
 
Kama kazawadiwa asivae kwa kuogopa watu watamuonaje?.
P
 
Kunywa maji upunguze stress mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…