Uchaguzi 2020 Sababu 27 za kwanini Magufuli hafai kupewa miaka mingine 5 ya kuwa Rais

Mtamkataa humu jukwaani lakini huko kwa wapiga kura inabidi mjiandae kisaikolojia kwa miaka mingine mitano ya kuwa wapole.
Tuliokuwa humu jukwaani ndo tuliokuwa mijini na vijijini hapa Tanzania. Haya tunayoyasema humu ndo haya haya tunayowaelimisha watu wengine wote mijini na vijijini
 
28. Ukanda na ukabila
29. siasa za chuki visasi
30. Kijimwambafai kuliko pitiliza
 
Uzuri ni kwamba we mwenyewe unaongea lakini ukweli unaujua kuwa Lissu hawezi kuwa rais hata kidogo.

Labda ni ubishi tu ambao hauna maana yoyote na kukosa weledi wa kuyajua mambo
Kati ya wagombea wote walipitishwa na Tume ni Magufuli pekee aliyebebwa kwa mbeleko iliyo hai kwa hiyo Hafai kabisa na ameonyesha hivyo miaka mitano iliyopita na kabla ya hapo. Akachunge mbuzi!
 
Namba 22 na 27 hazitofautiani Sana ... anyway umejaribu vyema kujenga hoja.
 
Atajirekebisha.Kupotea njia ni wakati wa kwenda sio tena wakati wa kurudi!!
 
Kama kuua isingekuwa dhambi ningeanzisha operation ya kuwapunguza mbogamboga
 
Tuliokuwa humu jukwaani ndo tuliokuwa mijini na vijijini hapa Tanzania. Haya tunayoyasema humu ndo haya haya tunayowaelimisha watu wengine wote mijini na vijijini
Mnachosahau ni kuwa CCM ni taasisi kubwa. Haifanyi siasa kuelekea uchaguzi mkuu halafu ukimalizika eti na yenyewe iache siasa.

Mikutano ya matawi itaendelea kama kawaida mikutano ya mikoa itaendelea kama kawaida.

Huwezi kulinganisha na Chadema ambacho ni chama chenye udhaifu mwingi kwa ngazi za chini, chama chenye kukosa nidhamu ya kudumu ya uendeshaji.

Kuitoa CCM ni lazima chama kingine kiwe na muundo imara wa kitaasisi sio hizi blah blah za jamii forum.
 
Amewajaza hofu na kutokujiamini watumishi wa umma

Amepandikiza mbegu ya kuchukiana kwa misingi ya vyama na mimi naombea izidi kumea ili tupate mavuno mazuri.

Anakusanya kodi kibabe , lakini anatoa return ya kodi aliyoikusanya kwa ubaguzi
 
Amewajaza hofu na kutokujiamini watumishi wa umma

Amepandikiza mbegu ya kuchukiana kwa misingi ya vyama na mimi naombea izidi kumea ili tupate mavuno mazuri.

Anakusanya kodi kibabe , lakini anatoa return ya kodi aliyoikusanya kwa ubaguzi
 
Jf watu wangekuwa wanaonana, zingeshapigwa ngumi.

Mimi ningezipanga na yule mrembo anaitwa Bia yetu.
 

Hongera kwa kuorodhesha matokeo ya Tawala zilizolea:
• ufisadi;
• uzembe; na
• matumiza mabaya ya madaraka.

Hongera kuorodhesha maovu makuu hayo yaliyoshughulikiwa na Serikali ya Awamu ya Tano. Alithubutu akatekeleza. Anastahili kuongezewa muda asafishe kabisa ambao bado wana mawazo ya kuturudisha kwenye tawala za kulea uovu.
 
Ameishakuwa sasa, jinyongeni au hama nchi
 
Nyie siyo NEC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…