Uchaguzi 2020 Sababu 27 za kwanini Magufuli hafai kupewa miaka mingine 5 ya kuwa Rais

28. Kuwanyima pensheni wastaafu wa EAC.
 
Ninachokiona kwako ni kuishi kwa kukariri, kuishi kwa mazoea. Acha nikwambie ndugu, usichojua ni kuwa Kuna magufuli na CCM. Pia usichojua ni kuwa nyakati zinabadirika.

Mawazo yako alikuwa nayo Omari Al Bashir Ila nyakati zilimfundisha

Mawazo yako alikuwa nayo Robert Mugabe Ila nyakati zilimfundisha

Mawazo yako alikuwa nayo Col Gadafi ila nyakati zilimfundisha.

Maana halisi za nyakati ni kuwa akili za watu za mwaka 1977 au 1995 sio akili za watu wa mwaka 2020.

Kama ni mgumu kuelewa naomba nikujibu kuwa wewe na magufuli somo la nyakati litawafundisha vizuri mwaka huu 2020
 
Mzalendo yuko wapi ?!
 
Wote uliowataja misingi na historia ya mataifa yao huwezi kuifananisha na Tanzania.

Ni yale yale ya kuombea tajiri kama Bakhresa dua mbaya, unatwanga maji ndani ya kinu.
 
Hata wazungu hawakuelewa kwanini Nyerere alitaka tuwe huru. Kwasababu walijenga reli, barbara, shule, haspitali, nk.
Na huyu nae ni kama wakoloni.
 
Are you serious with your post? Sbb 27 maana yake na waliomchagua mara ya kwanza hawafai. Ingekuwa sbb 2 au 3 zingekuwa za msingi na za kueleweka. Hizo zote itakuwa wivu. Chuki, majungu, roho mbaya na ubinafsi. Ambazo at alerge haziwezi kuwa matatizo ya Watanzania.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Maovu yaliyotendwa na uongozi wa CUF,Chadema na mjomba wao NCCR Mageuzi.
 
Hayuko sawa kichwani.... Mkurupukaji
 
Kwahiyo hata waliokosa ajira nao walikuwa wanafuika wa mfumo uliopita?

Hebu tumia kichwa kifikir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…