Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Watu wanaachana lkn namba hawafuti. Unajua ni kwann?

Kwasabb ni suala la muda tu ipo siku watatafutana.

Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura .
once X is always X.....
 
Kiporo ni kiporo tu!! Me kula vitu vilivyolala big nooooo!! Kwanza viporo vinaleta uvivu na kusinzia [emoji2961][emoji2961][emoji2961]

Babu achana na viporo
Bahati nzuri Babu yenu nimezeeka sasa, kwahiyo sina ubavu wa kuonja onja sana 🤪
 
Namba ya X ya nn? Nlishafuta na nimezisahau [emoji3].

Akipiga anakumbana na maswali lukuki.
 
Acha wazinzi waendelee na uzinzi,
Wana halalisha kwa visingizio,,

[emoji1787][emoji1787]
 
Watu wanaachana lkn namba hawafuti. Unajua ni kwann?

Kwasabb ni suala la muda tu ipo siku watatafutana.

Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura .
Inategemea mmetengana kwa style gani ndipo kunaweza KUPELEKEA usifute namba yake lkn kama mmeachana kwa ubaya unafuta tu
 
Namba ya X ya nn? Nlishafuta na nimezisahau [emoji3].

Akipiga anakumbana na maswali lukuki.
Kuna watu hawajui kuacha/kuachwa

Kuna Exy tuliachana miaka 15 iliyopita, juzi karudi Bongo akanitafuta

Ukiwa mjinga unaweza kwenda kupasha kiporo kumbe mwenzio alipokuwa huko Ulaya ukute alikuwa analiwa na Akina Mandoga

Mambo ya kupata stress za kuitwa Kibamia wa Uzeeni nani anataka 🤪
 
Hili linawaponza sana watoto wa kike maana mnacha mkiwa hampo ktk utayaari mnafanya kwenda kuanzisha mausiano mapya ili kutoa hasira ya jambo lako
 
Hili linawaponza sana watoto wa kike maana mnacha mkiwa hampo ktk utayaari mnafanya kwenda kuanzisha mausiano mapya ili kutoa hasira ya jambo lako
Sahihi kabisa, lakini jambo la kukumbuka ni kuwa wakisha uvaa huko nje atakutafuta exy wake akupe.

Nawe ukiwa mwepesi, ndiyo safari inaanzia hapo 🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…