Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

watu wanaachana wakiwa salama hawana magonjwa ya kuambikizwa, wanaenda kuanzisha mahusiano na wengine wenye tabia tofauti kuhusu mahusiano ya kimapenzi wanaishia kuambukizwa maradhi na wapenzi wao wapya. Unakutana na ex halafu unataka upewe penzi ukidhani mwenzio ni salama tangu muachene kumbe mmoja tayari ana maambukizi
Na wiki iliyopita nilipita hospitali moja hapa Mbeya,mmmmh wachukua vidonge wamenona kinoma,ukikutana nao,maeneo ya Mwanjelwa,unaweza ukaomba namba,sasa awe ex wa mtu,wale wa kukumbushia,lazima walane kavukavu.
 
Na wiki iliyopita nilipita hospitali moja hapa Mbeya,mmmmh wachukua vidonge wamenona kinoma,ukikutana nao,maeneo ya Mwanjelwa,unaweza ukaomba namba,sasa awe ex wa mtu,wale wa kukumbushia,lazima walane kavukavu.
hatari sana! Unakutana na ex kajazia mwili mzima kanona unamtamani mkapashe kiporo ukijua huo unene ni wa lishe tu huko alikopata maisha mapya kumbe kaungua usipochukua kinga na tahadhari anakuambikiza gridi, inakuwa balaa tupu kuunganishwa kwenye gridi na ex wakati mliachana mkiwa wazima wa afya
 
Ni kweli huwezi kushindana na Mbususu kama unavyosema lakini Ukifanikiwa kumfikisha kileleni, kuna asilimia kadhaa huyo Mpenzi wako kutochepuka.

Mwanamke anachekupa kwasababu mbili ama tatu;
  • Kutofikishwa
  • Pesa
  • Muda wako
Jaribu kumpatia hivyo hutakaa uone anachepuka.
Kuchepuka ni siri ya mtu.Wewe ambaye uko nae kwenye mahusiano,maranyingi hamuwi watu wa kwanza kujua kua mtu wako anachepuka.
Nikukumbushe kitu,hakuna mwanaume ambaye ni full package,yaani ana kila kitu anachohitaji mwanamke.Sasa mwanamke hujikuta anahitaji kila kitu,ila hivyo anavyohitaji,yeye kadri anavyozidi kukua,huanza kuvipunguzapunguza,na mwishowe kutulia,kutokana na umri.
 
Siwezi kula ex hata ndotoni... Kwanza nikimuotaga nakuwaga na kinyaa humohumo ndotoni, Nafikiri ni bora ex wa kiume kwa mwanamke kuliko ex wa kike kwa mwanaume... inachefua
 
Back
Top Bottom