Sababu za kiroho kwanini lazima ufunge Ramadhani hata kama sio muislamu

Kuna mtu kathibitisha Mungu yupo? Au longo longo tu bado?
 
Nitaelewa lini? Nitajie tarehe turudi kuhakiki hapa. Vinginevyo acha uzushi.

Hoja zangu ni invalid kwa sababu gani? Unajua kusoma kwa ufahamu? Au unahitaji mazoezi ya vitabu vya kiada?
Things don't need to make Sense with you before they happen.

Don't be selfish bro. Unataka kile unacho kiamini wewe ndio kiwe sahihi. Wanacho kiamini watu wengine sio sahihi.

Mungu yupo whether it make sense with you or it doesn't
 
Kuna mtu kathibitisha Mungu yupo? Au longo longo tu bado?
Kuthibitisha ni sayansi ujue. Na Mungu hawezi kuthibitika kisayansi. Sayansi bado haijafikia viwango vya kuwa na uwezo wa kuthibitisha kuhusu uwepo wa Mungu. Kama ulikuwa hujui "science is nothing but a shadow of divine knowledge"

Anyways let me go down to ur level of thinking. Nikusaidie kuthibitisha juu ya uwepo wa Mungu kwa kutumia sayansi. But before I can do that I need to ask u one question. Unataka nithibitishe juu ya uwepo wa Mungu kwa kutumia standard ipi of proof? Unajua kuthibitisha Kuna standards zake.." standard of proof" .

How many standards of proof do u know? Na unataka nitumie standard ipi ku prove kuhusu uwepo wa Mungu?
 
Things don't need to make Sense with you before they happen.

Don't be selfish bro. Unataka kile unacho kiamini wewe ndio kiwe sahihi. Wanacho kiamini watu wengine sio sahihi.

Mungu yupo whether it make sense with you or it doesn't
Why is this about me and not logical consistency?

Nikisema haiwezekani binti wa miaka mitano kuwa mama mzazi wa mzee wa miaka sabini leo, hapo nimekuwa selfish nakataa kitu ambacho haki make sense kwangu?
 
Wewe unachekesha sana.

Unaanza kusema Mungu hathibitishiki kisayansi, halafu hapo hapo unataka kumthibitisha Mungu kisayansi.

Unajua hata unachotaka kufanya ni nini?
 
Why is this about me and not logical consistency?

Nikisema haiwezekani binti wa miaka mitano kuwa mama mzazi wa mzee wa miaka sabini leo, hapo nimekuwa selfish nakataa kitu ambacho haki make sense kwangu?
That's why it is so easy for you to be surprised kwa sababu umeufunga ufahamu wako kwenye vitu unavyo kubaliana navyo tu.

But as for me, I can never be surprised by anything because I know everything is possible under the sun
 
That's why it is so easy for you to be surprised kwa sababu umeufunga ufahamu wako kwenye vitu unavyo kubaliana navyo tu.

But as for me, I can never be surprised by anything because I know everything is possible under the sun
Mungu anaweza kuthibitishika kisayansi au hawezi kuthibitishika kisayansi?

Hujanijibu.
 
Wewe unachekesha sana.

Unaanza kusema Mungu hathibitishiki kisayansi, halafu hapo hapo unataka kumthibitisha Mungu kisayansi.

Unajua hata unachotaka kufanya ni nini?
Instead of answering the question , ur just talking about the question. Nimekuuliza how many standards of proof do you know so far? na unataka nikuthibitishie kuhusu uwepo wa Mungu kwa kutumia standard ipi?
 
Mungu anaweza kuthibitishika kisayansi au hawezi kuthibitishika kisayansi?

Hujanijibu.
Nimeshakujibu kwamba kwa ajili ya watu Kama wewe ambao ur minds have stuck in science Mimi ninaweza kukusaidia kuthibitisha kuhusu uwepo wa Mungu kwa kutumia sayansi Ila nimekuuliza unataka nithibitishe juu ya uwepo wa Mungu kwa kutumia which standard of proof..?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naanza kufunga kesho asubuhi , hivi itakuwa chungu cha ngapi ?
 
Sikatai lkn yawezekana mitume walipewa uwezo na mungu ...wa kufunua na kunena maneno kwa niaba ya mungu........anyway ugenius ulitoka wapi wakati hatuna historia yake ya kusoma popote na kuandika......
Seriously,???[emoji52][emoji52]
 
Ndio, suala la kuthibitisha ni la watu wanaosadikisha uwepo wa Mola. Mkiwa mnabishanaa na mke wako kwamba amechepuka na yeye anakana, wewe ndiye utatakiwa uthibitishe madai yako sio yeye athibitishe hajachepuka. Grow up man.
 
Tuko pamoja kaka, ila sina jipya zaidi ya kusoma vitabu vya wakubwa wetu walio kosoa namna ya kitoto ya ufikiriaji wa hawa watu na hapa nawasilisha baadhi ya yale yaliyomo katika vitabu hivyo,huyu Kiranga ni kifaranga tu katika hii kadhia,ndiyo maana huwa hajibu maswali ana kimbia,huwa napata ukakasi sana juu ya ufikiriaji wake yaani anafikiri kitoto sana. Matokeo yake huwa anabisha na kupotezea watu muda.
 
Ndio, suala la kuthibitisha ni la watu wanaosadikisha uwepo wa Mola. Mkiwa mnabisha na mke wako kwamba amechepuka na yeye anakana wewe ndiye utatakiwa uthibitishe madai yake sio yeye athibitishe hajachepuka. Grow up man.
Naona umekosea njia kijana,tunajadili mambo ya kielimu,uwe una tafakari kabla ya kuandika.
 
Kwanza jibu swali nililo kuuliza.

Kwa misingi ya mantiki huwa mnahitimisha vipi kuhusu Mbwa kwa mfano.

Kwahiyo mbwa si mnyama ? Wale wakubwa zako walio hitimisha hawakujua,hivi hakuna ufanano kati ya ng'ombe na mbwa au mbuzi au kondoo au mbweha ? Huwa naona hii logic huwa huielewi kabisa.

Hakuna anaye amini Mola akasema hajui kiumbe kilicho umba dunia. Sisi tinathibitisha uwepo wa Mola kwa njia nyingi na nimeshakutajia takribani njia tano. Yaani katika dini hakuna mambo ya logic,yaani kwenye dini ni ukweli ulio wazi kabisa. Ndiyo maana katika Qur'aan Allah anawauliza wale wanao mkana,kwa kuwaambia "Hivi wanadhani ya kuwa huu ulimwengu umetokea pasi na chochote au wenyewe ndiyo umejiumba ?" .Sasa logic yenu hapo haina nafasi sababu huo ni kweli.

Wewe tuambie tu imekuwaje mpaka hali ikawa iko hivi ilivyo ? Kwamba imetokana pasi na chochote au ulimwengu umejiumba wenyewe ? Kisha utuelezee mchakato ulikuwaje na kama hujui,sasa kwanini una kanusha juu ya uwepo wa Mola.

Swali la mwisho,hivi wakubwa zenu waliwaambia msiwe mnajibi maswali mkiulizwa ?
 
Ndio, suala la kuthibitisha ni la watu wanaosadikisha uwepo wa Mola. Mkiwa mnabisha na mke wako kwamba amechepuka na yeye anakana wewe ndiye utatakiwa uthibitishe madai yake sio yeye athibitishe hajachepuka. Grow up man.
Mtu ambaye anasema Mungu hayupo kudaiwa uthibitisho kwamba Mungu hayupo ni sawa na kumwambia mtu ambaye anasema nyumbani kwake hajaingia mwizi, athibitishe kwamba nyumbani kwake hajaingia mwizi.

Nikiwahi kusema Mungu hayupo kuthibitishika kwamba hayupo. Uthibitisho mara nyingibunatolewa kwa kike kikichopo, kisichopo kukithibitisha ni vigumu jwa sababu hakipo ili kithibitishwe kwamba hakipo. Tunaweza kuthibitisha jwa contradiction kwenye logic huko.

Kama mwizi kaingia kwako, unaweza kuthibitisha mwizi kaingia.

Unaweza kumshika huyu mwizi kaingia.

Unaweza kupata alama zake za vidole.

Unaweza kupata video zilizomrekodi.

Unaweza kupatq DNA yake.

Unaweza kupata ushahidi jirani wamemuona kaingia.

Sasa ukiambiwa uthibitishe mwizi hayupo na hajaingia kwako unathibitishaje?

Utatoa alama za vidole za mwizi ambaye hayupo?

Utatoa video ya kuonesha mwizi ambaye hayupo na hajaingia kwako?

Utatoa ushahidi wa jirani kuonesha mwizi ambaye hayupo hajaingia kwako?

Hapo kinachobaki ni abstract logic tu.

Ukiweza kuelewa sababu inayofanya kusiweze kuwepo binti wa miaka mitano mwenye mtoto wa kumzaa mwenyewe wa miaka sabini ndiyo hiyo hiyo inayofanya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ambaye kaumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya asiwepo.

Sababu inaitwa contradiction.

Ila watu wengi wamejaa kitu qmbacho kisaikolojia kinaitwa "cognitive dissonance" hawataki kukubali ukweli huu.

Wanakuwa ni kama mtu aliyeambiwa "huyu ni baba yako" kwa miaka hamsini, halafu siku moja aambiwe yule uliyeambiwa baba yako kwa miaka hamsini kwa kweli si baba yako, ukifichwa tu, baba yako ni mtu mwingine, tumepima DNA imeinesha hivyo.

Hapo lazima mtu abishie matokeo ya DNA.

Sasa hapa watu wanabishia matokeo ya DNA tu.

Ni coping mechanism.

We mtu maisha yaje yote kayajenga kwenye msingi wa kuamini Mungu, sababu zake za kufanya mema na mabaya kaziunganisha na Mungu, maswali yote asiyoweza kuyajibu kayasukumia kwa Mungu, hofu zake zite anazimaliza kwa kumtumaini Mungu.

Halafu wewe mtu baki ghafla bin vuu tu unamuonesha kwamba maisha yake yote kadanganywa, msingi wote wa maisha yake ni uongo.

Mara nyingi atakutungia sababu asikuelewe tu.

Hata akikuelewa atakuwa kwenye denial.

Ndicho kinachotokea hapa.

Hakuna mtu anayeweza kuthibitusha Mungu yupi, hakuna mtu anayeweza kuelezea na kutatua the problemnof evil, hakuna mtu anayeweza kuelezea na kutatua contradictiins za kwenye vitabu vinavyodaiwa kuwa vya huyo Mungu.

Lakini watu hawaachi kujishebedua tu kwamba Mungu yupo.

Mimi sina tatizo na wanaoamini na kusema ni imani tu, ni haki yao ya kikatiba kujidanganya. Hii haki hata kwenye Universal Declaration of ahuman Rights ipo.Mimi hata kama si muumini naitetea haki hii.

Lakini kuna watu wanataka kusema kama vile fact.

Hapo ndipo nawataka watoe uthibitisho usiopingika kwamba Mungu yupo kweli.
 
Hujathibitisha Mungubyupo kweli na si hadithi za kutungwa na watu tu.

Halafu umeshambulia logic kwa kutumia logical non sequitur na illogical reasoning.

Umerukia mambo ambayo huyajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…