Rome wasn't built in a single day. Just be patience utafika wakati binadamu atakuwa na uwezo wa kutatua matatizo yote.Kwa kukusaidia tu.
Swali linauliza kabla ya kuwapo mtu na ulimwengu,Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya, hauwezi kuwa na mabaya.
Sasa, kwa nini aliumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana na yataumiza wengi sana, viumbe ambao anawapenda, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Jibu lako la kutupa akili lingekuwa na maana kama tungekuwa na uwezo wa kutatua mabaya yote, kitu ambacho hatuna.
Hivyo jibu lako ni la uongo, leo hii hatuwezi kuzuia tetemeko la ardhi wala kimbunga kinachokuja Dar.
Jibu lako ni la uongo.
Hujatoa jibu la kweli.
Huo ndio ukweli kaka bila uwepo wa uchungu kusingekuwa na furaha.That's just some cheap gibberish.
Ingekuwa hivyo tusingeweza ku experience time, kwa sababu inaenda mbele tu hairudi nyuma.
MUHAMMAD AMSILIMISHA SHETANI
Kitabu Asili ya Majini Ukurasa wa 20 INASEMA: Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanya jitihada za kumwezesha Shetani na wanawe kuomba Msamaha kwa Mwenyezi Mungu, NI MTUME MUHAMMAD TU NDIE ALIYE MSILIMISHA SHETANI AKAWA MUISLAMU.
Haya sio maajabu, maana kwenye Quran Surat Al Anaam Shetani anakaa kwenye NJIA ILIYO NYOOKA YA ALLAH. Na Njia iliyo nyooka ni UISLAMU Quran 6 aya ya 126 Na hii Dini ya Uislam, ndiyo Njia ya Mola wako Mlezi Iliyo nyooka.
Mtume alianza kufundishwa kusima kwanza.. Sasa aliwezaje kuingi mikataba na watu mbali mbali.. Soma sura ya iqra usipoelewa nicheki nikufafanulieYule alikuwa Genius. Alipoingia kwenye sinagogi, alipewa The Holy Bible ('Isaya) asome.
Mwanafunzi mzuri ni yule anayejua kusoma na kuandika maana anaelewa kilichoandikwa
Vitu vingine vyepesi tu hebu jaribu kula usiku kucha kama utaweza, halafu kesho yake ufunge mchana kutwa, unaweza kupata jibu sahihi.MKUU WAISILAMU WAKIKUJIBU NAOMBA UNI TAG.
HAWANA AKILI YA KUJIBIA HILI ZAIDI YA MTUSI.
Funga ni zaidi ya kula..KAMA KUBADILISHA RATIBA YA KULA NDIO KUFUNGA.
BASI MIMI NAWEZA NIKAFUNGA MIAKA 10.
NAKULA USIKU KAMA WAISILAMU ALAFU NAJIDANGANYA NIMEFUNGA.
HII DINI YA HOVYO SANA
[emoji23][emoji23]Pyeeeeeeee.....!
View attachment 1758597
Jibu maswali nikiyo kuuliza,maana naona unapoteza muda na kurudia rudia jambo ambalo nimeshaliweka wazi tayari.Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya, majanga ya asili, njaa, vita, magonjwa, vifo vya mafungu, mioto, mafuriko na mengine mengi kama hayo yanawezekana, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao hata moja kati ya hayo hayajulikani wala kuwezekana?
Hujajibu swali hili.
Pia, hujathibitisha kwamba Mungu yupo kweli na habari za kuwapo kwake si hadithi za watu tu.
Twende nao taratibu wataelewa tu, hawajui kuwa dini pia imekataza kula kupita kiasi.. [emoji17]Zamani tulipokuwa wadogo wakati ndio tunaanza kujifunza kufunga. Wakati wa mchana kila unachokiona unakitamani, lkn kwa vile umefunga unasema wacha niweke nitakila maghrib wakati wa kuftari.
Nazi ikipasuliwa unapeleka kikombe uwekewe maji ya nazi mpk maghrib utakunywa, ndizi mbivu ikikatwa ikitolewa moyo unasema uwekewe utakuja kula maghrib. Ukiona wtt waliokuwa hawajafunga labda wanagaiwa biscuits na wewe unachkua ya kwako unaweka kuja kula maghrib. Lkn wallah ikifika maghrib kuisha kunywa gilasi lako moja la maji na chakula kdg tu basi tayari unajiskia kuvimbiwa. Hata vile ulivoviweka vyote unakuwa Huna habari navyo tena.
Haifai kwa muumin kufakamia mavyakula ukavimbiwa mpk hata pumzi ya kufanya ibada inakuwa haipo.
Kufunga katika dini ni pamoja na kuongeza imaani yako muumin. Kupata feelings za how it feels kukaa bila ya kula for hours, kwani kuna baadhi ya watu ni maskini hawana chakula cha kutosha cha kila siku. (kujishusha hata kama chakula unacho unakaa na njaa kwa ajili ya Allah)
Swali gani hajakujibu nimtag?Huyu muoga anakimbia maswali.
Mbona sasa nyie mnakula sana usiku?Twende nao taratibu wataelewa tu, hawajui kuwa dini pia imekataza kula kupita kiasi.. [emoji17]
Mtume anasema kula kupitiliza(mpaka kuvimbiwa) si tabia miongoni mwa tabia za waumini(muislam hasaa)
Huyu inaonesha hajawahi hata kufunga.Vitu vingine vyepesi tu hebu jaribu kula usiku kucha kama utaweza, halafu kesho yake ufunge mchana kutwa, unaweza kupata jibu sahihi.
Kwa hiyo unamlinganisha Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, anayeamua nini kiwepo na nini kisiwepo, na Baba ambaye hana ujuzi wote, uwezo wote wala upendo wote, na kaikuta dunia ina sheria zake za asili ambazo hawezi kuzibadilisha?Huo ndio ukweli kaka bila uwepo wa uchungu kusingekuwa na furaha.
In addition to that uchungu mwingine Ni necessary.
Mfano wake Ni pale baba unapo ruhusu mtoto wako mchanga achomwe sindano inayo uma Sana ili atibiwe Ugonjwa unao hatarisha maisha yake.
Sio kwamba unamchukia huyo mtoto au hauna uwezo wa kuzuia achomwe sindano.
Basi ndio vivyo hivyo hata kwa maswali yako
Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya, majanga ya asili, njaa, vita, magonjwa, vifo vya mafungu, mioto, mafuriko na mengine mengi kama hayo yanawezekana, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao hata moja kati ya hayo hayajulikani wala kuwezekana?Jibu maswali nikiyo kuuliza,maana naona unapoteza muda na kurudia rudia jambo ambalo nimeshaliweka wazi tayari.
Jambo lingine ukiona huna hoja au jibu unatakiwa ukiri ili usiendelee kuonyesha udhaifu wako kama unavyofanya sasa hivi.
Maswali mengi tu,angalia mtiririko wa majadiliano utaona.
Hili swali hapa nakujibu mara tatu sasa,na aya nilikupa katika Qur'aan,aya ya 155 katika sura ya pili.Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya, majanga ya asili, njaa, vita, magonjwa, vifo vya mafungu, mioto, mafuriko na mengine mengi kama hayo yanawezekana, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao hata moja kati ya hayo hayajulikani wala kuwezekana?
Hujajibu swali hili.
Pia, hujathibitisha kwamba Mungu yupo kweli na habari za kuwapo kwake si hadithi za watu tu.
Hili tutaanza moja baada ya lingine ila nikikuuliza maswali ujibu,maana haya usha ya paste mara kibao na ukawa unakimbia maswali yangu.Jurjani
Contradictions in the Qur’an - CARM
Muslim deny that any contradictions exist in the Qur'an, but they do exist and this article shows many of them. Muhammad was a false prophet.carm.org
Contradictions in the Qur’an
by Matt Slick | Dec 12, 2008 | Islam, World Religions
The Qur’an states that it is a perfect book preserved on tablets in heaven (Surah 85:21-22). If the Qur’an is a perfect book from Allah, then there shouldn’t be any contradictions in it. Of course, the Muslims will deny that any contradictions exist in the Qur’an, but they do. Some of the contradictions below could be debated, but some of them are clearly contradictions.
A contradiction occurs when one statement on a subject excludes the possibility of another. The first one here is a good example. In Surah 19:67, it states that man was created out of nothing. In 15:26, man is created from clay. Since clay is something, we have a contradiction since “nothing” excludes the possibility of “clay.” Both cannot be true.
All quotes from the Qur’an, unless otherwise specified, are from Yusuf Ali and can be found at the Qur’an online.
- What was man created from: blood, clay, dust, or nothing?
- “Created man, out of a (mere) clot of congealed blood,” (96:2).
- “We created man from sounding clay, from mud moulded into shape, (15:26).
- “The similitude of Jesus before Allah is as that of Adam; He created him from dust, then said to him: “Be”. And he was,” (3:59).
- “But does not man call to mind that We created him before out of nothing?” (19:67, Yusuf Ali). Also, 52:35).
- “He has created man from a sperm-drop; and behold this same (man) becomes an open disputer! (16:4).
- Is there or is there not compulsion in religion according to the Qur’an?
- “Let there be no compulsion in religion: Truth stands out clear from Error: whoever rejects evil and believes in Allah hath grasped the most trustworthy hand-hold, that never breaks. And Allah heareth and knoweth all things,” (2:256).
- “And an announcement from Allah and His Messenger, to the people (assembled) on the day of the Great Pilgrimage, – that Allah and His Messenger dissolve (treaty) obligations with the Pagans. If then, ye repent, it were best for you; but if ye turn away, know ye that ye cannot frustrate Allah. And proclaim a grievous penalty to those who reject Faith,” (9:3).
- “But when the forbidden months are past, then fight and slay the Pagans wherever ye find them, and seize them, beleaguer them, and lie in wait for them in every stratagem (of war); but if they repent, and establish regular prayers and practice regular charity, then open the way for them: for Allah is Oft-forgiving, Most Merciful,” (9:5).
- Fight those who believe not in Allah nor the Last Day, nor hold that forbidden which hath been forbidden by Allah and His Messenger, nor acknowledge the religion of Truth, (even if they are) of the People of the Book, until they pay the Jizya with willing submission, and feel themselves subdued,” (9:29).
- The first Muslim was Muhammad? Abraham? Jacob? Moses?
- “And I [Muhammad] am commanded to be the first of those who bow to Allah in Islam,” (39:12).
- “When Moses came to the place appointed by Us, and his Lord addressed him, He said: “O my Lord! show (Thyself) to me, that I may look upon thee.” Allah said: “By no means canst thou see Me (direct); But look upon the mount; if it abide in its place, then shalt thou see Me.” When his Lord manifested His glory on the Mount, He made it as dust. And Moses fell down in a swoon. When he recovered his senses he said: “Glory be to Thee! to Thee I turn in repentance, and I am the first to believe.” (7:143).
- “And this was the legacy that Abraham left to his sons, and so did Jacob; “Oh my sons! Allah hath chosen the Faith for you; then die not except in the Faith of Islam,” (2:132).
- Does Allah forgive or not forgive those who worship false gods?
- Allah forgiveth not that partners should be set up with Him; but He forgiveth anything else, to whom He pleaseth; to set up partners with Allah is to devise a sin Most heinous indeed,” (4:48). Also 4:116
- The people of the Book ask thee to cause a book to descend to them from heaven: Indeed they asked Moses for an even greater (miracle), for they said: “Show us Allah in public,” but they were dazed for their presumption, with thunder and lightning. Yet they worshipped the calf even after clear signs had come to them; even so we forgave them; and gave Moses manifest proofs of authority,” (4:153).
- Are Allah’s decrees changed or not?
- “Rejected were the messengers before thee: with patience and constancy they bore their rejection and their wrongs until Our aid did reach them: there is none that can alter the words (and decrees) of Allah. Already hast thou received some account of those messengers,” (6:34).
- “The word of thy Lord doth find its fulfillment in truth and in justice: None can change His words: for He is the one who heareth and knoweth all, (6:115).
- None of Our revelations do We abrogate or cause to be forgotten, but We substitute something better or similar: Knowest thou not that Allah Hath power over all things?” (2:106).
- When We substitute one revelation for another,- and Allah knows best what He reveals (in stages),- they say, “Thou art but a forger”: but most of them understand not,” (16:101).
- Was Pharaoh killed or not killed by drowning?
- “We took the Children of Israel across the sea: Pharaoh and his hosts followed them in insolence and spite. At length, when overwhelmed with the flood, he said: “I believe that there is no god except Him Whom the Children of Israel believe in: I am of those who submit (to Allah in Islam). (It was said to him): “Ah now!- But a little while before, wast thou in rebellion!- and thou didst mischief (and violence)! This day shall We save thee in the body, that thou mayest be a sign to those who come after thee! but verily, many among mankind are heedless of Our Signs!” (10:90-92).
- Moses said, “Thou knowest well that these things have been sent down by none but the Lord of the heavens and the earth as eye-opening evidence: and I consider thee indeed, O Pharaoh, to be one doomed to destruction!” So he resolved to remove them from the face of the earth: but We did drown him and all who were with him,” (17:102-103).
- Is wine consumption good or bad?
- O ye who believe! Intoxicants and gambling, (dedication of) stones, and (divination by) arrows, are an abomination,–of Satan’s handwork: eschew such (abomination), that ye may prosper,” (5:90).
- (Here is) a Parable of the Garden which the righteous are promised: in it are rivers of water incorruptible; rivers of milk of which the taste never changes; rivers of wine, a joy to those who drink; and rivers of honey pure and clear. In it there are for them all kinds of fruits; and Grace from their Lord. (Can those in such Bliss) be compared to such as shall dwell forever in the Fire, and be given, to drink, boiling water, so that it cuts up their bowels (to pieces)?” (47:15).
- Truly the Righteous will be in Bliss: On Thrones (of Dignity) will they command a sight (of all things): Thou wilt recognize in their faces the beaming brightness of Bliss. Their thirst will be slaked with Pure Wine sealed,” (83:22-25).
Naanza na hii,kwanza nimecheka kidogo. Kitendo cha kupaste haya yanaonyesha yafuatayo kutoka kwako na kwa yule ambaye ume copy kwake.Who Was the First Muslim? Muhammad [6:14, 163], Moses [7:143], some Egyptians [26:51], or Abraham [2:127-133, 3:67] or Adam, the first man who also received inspiration from Allah [2:37]?