Sababu za kiroho kwanini ndoa za kanisani (kikristu) na msikitini (kiislamu) huwa hazidumu

Narudia tena hakuna " Ndoa" Inayo haribika.. Hicho mnacho kifanya kanisani ni uhuni usiite ndoa. Sifa ya kwanza ya ndoa ya kwanza ya mwanamke ni lazima awe bikira.. Wewe mwanamke sio bikira halafu unaita ndoa, uliwahi ona wapi ndoa ya hvyo?
Huko kijijini kwenu au kwenye ukoo wenu, dada zako wote na binti zenu wote wameolewa wakiwa bikira? Mbona wengi walishazaa kabla ya ndoa na bado wazee wenu wa kimila walipokea mahari na wakawabariki? Unataka kuaminisha watu uongo hapa JF wakati hata huko vijijini kwenu ndoa za kimila za wanawake ambao si bikira zipo maelfu na zina amani!

Una upeo mdogo sana wa kuelewa mila na sheria. Kwenye Sheria ya Ndoa ya Kitanzania na hata kwenye Sheria za Kimila hakuna kipengele kinachosema ubikira ni sifa ya ndoa halali, hata kibaolojia, binti anaweza kupoteza ubikira kwa michezo au ajali bila hata kukutana na mwanaume. Sasa kwa akili yako fupi binti wa namna hiyo akiolewa kimila utamuita ni uhuni?
 
Mimi ndoa yangu nimefunga kwa taratibu za kimila ila kanisa limeibariki baadaye
 
Umefanya wapi utafiti huo kugundua wanawake vijijini kwenye ndoa za kimila wana olewa wakiwa hawana bikra?
Una upeo mdogo sana wa kuelewa mila na sheria. Kwenye Sheria ya Ndoa ya Kitanzania


na hata kwenye Sheria za Kimila hakuna kipengele kinachosema ubikira ni sifa ya ndoa halali
Sheria ya mila ipi hiyo? Sheria namba ngapi na ya mwaka gani? 🤣🤣🤣
, hata kibaolojia, binti anaweza kupoteza ubikira kwa michezo au ajali bila hata kukutana na mwanaume. Sasa kwa akili yako fupi binti wa namna hiyo akiolewa kimila utamuita ni uhuni?
Tutajie jina la binti alie poteza bikira yake kwa ajali au michezo ili tujue you are not talking about a ghost?
 
Tatizo la watu kuachana si la kanisa au nyumba za ibada, na la wahusika

Kabla hawajaenda kwenye nyumba za ibada walikubaliana nini? Uhalisia wa kuish pamoja walishaujaribu?

Kusinginzia nyumba za ibada ni excuse
Kama ni hivyo, kwenye nyumba za ibada wanaenda kufanya nini? Na hicho kiapo wanachokula kwenye nyumba za ibada humaanisha nini?
 
Nimeamini kweli wewe ni mjinga na upo kubishana kwa sababu unacopy sehemu tu wala hutumii akili yako ndio maana unakuwa kichwa ngumu kuelewa. Yani unalazimisha maneno ya Kilatini ya sheria kwenye vitu hata usivyovijua.

Sawa mimi mjinga but sija copy sehemu yoyote kama unavyo dai. Ila ninacho jua. The maxim " Exi turpi causa non oritor actio" = You cannot claim a right out of an illegal transaction. Kwa mtu ambae hajakariri kama wewe anajua kuwa hiyo maxim inaweza kufit mahali popote, more especially kwenye suala la ndoa kwa sababu hiyo ni transaction pia. Unless otherwise uwe hujui kama hiyo ndoa yako ya kanisani ni transaction but illegal one kwa sababu Ina lack ingredients za kuofanya kuwa legal.. Kwa hiyo ni kichaa tu ndio anaweza kutarajia kuheshimika/kuheshimiwa kwenye jambo ambalo halijafanyika kwa kufuata misingi ya heshima.
Nme The law of marriage act, cap 29, hakuna kipengele hata kimoja cha Sheria ya Ndoa, au sheria za kimila kinachosema ndoa ni batili kwa sababu mwanamke si bikira!

Unajua wewe jamaa ni kilaza usie jijua... Ni wapi nimeizungumzia hiyo Law of Marriage Act? Au nilivyo tumia hiyo maxim exi turpi causa non oritor actio ndio imekuchanganya sio? Yani umeshindwa kabisa ku connect Kati hoja yangu na hiyo maxim? Seriously? Okay I understand ur a very slow individual, so let me break it down to you as follows: 👇👇👇👇


Nimesema hivi kwa taratibu na Mila na desturi za kiafrika, ndoa ni tambiko linalo husu kuunganisha familia/koo mbili. Kila tambiko lina vigezo vyake.. Kigezo namba Moja cha tambiko la ndoa ya kimila ni kwamba mwanamke lazima awe bikira. Hiki ni kigezo cha lazima ambacho hakina compromise.. Kama mwanamke sio bikira, tambiko hilo haliwezi kufanyika kwa sababu litakosa uhalali wanna kuitwa tambiko juu ya mwanamke anae olewa kukosa kigezo cha kushiriki kwenye tambiko Hilo.

U taratibu huu unawahusu waafrika wote toka enzi za mabibi na mababu. Uki " Muoa" Mwanamke ambae sio bikira tafsiri yake ni kwamba huyo sio mke wako halali. Kwa sababu mkeo halali ungepaswa kumuoa akiwa bikira.. Yes unaweza ukapewa vyeti vya kiserikali kuonyesha kwamba huyo ni mke wako, lakini katika ulimwengu wa kimila huyo si mkeo. Ulimwengu wa kiroho huyo si mkeo pia.. Ndoa yako ni haramu au kwa lugha nyingine hukufunga ndoa..

Hiyo sheria umejitungia chumbani kwako kwa kukariri maneno ya kilatini kwenye Google tu
Ni taratibu ya kimila. Ni taratibu ya kilimwengu. Kama umeoa mwanamke ambae sio bikira I am regretting to tell u she is not your wife. Mume wake ni Yule alie mtoa bikira

, Unajifanya unajua mila, mbona makabila mengi ya kiafrika yakioza binti ambaye si bikira mahari inapunguzwa tu kidogo lakini ndoa inafungwa na inatambulika?
Wanawaozesha kikanisa kanisa na sio kimila. Kimila na desturi za kiafrika ndoa haiwezi kuwa halali kama mwanamke halfway bikira wakati anaolewa

Kweli namuelewesha chizi hapa, yani maelezo yote hayo marefu umeandika kuhusu mke wangu as if unamfahamu kumbe hata humjui maskini , huoni kama unajidhihirisha ni jinsi gani ulivyo mjinga?

🤣🤣🤣 kwa hiyo unataka kusema ulimuoa mkeo akiwa bikira?
Uzuri hapa unabisha kijinga tu, asilimia kubwa ya watu humu ndani wanaujua ukweli,

Huo utafiti umeufanya wapi kupata hizo asilimia? 🤣🤣🤣
ndio maana naishia kukuita wewe ni mjinga na mila zako,

Umepanic 🤣🤣🤣🤣

Wewe jamaa upo very slow ujue..🤣🤣🤣🤣 kwa hiyo hapo wewe umeona ninatafuta huruma kwa Mungu wako? 🤣🤣🤣

Ni hivi wewe ni mkristu. Umefunga ndoa kanisani. Ukaja na hoja kwamba msingi wa ndoa yako na mkeo umejengwa kwa heshima, utiifu na uaminifu blah blah blah.

Na Mimi ndo nikakujibu sasa kwa kutumia mtazamo wa Imani yako kukuonyesha kwamba huyo mkeo hakuheshimu wala sio mtiifu na mwaminifu kwako..

Sababu zangu nikasema, mkeo umemoa akiwa sio bikira. So kama umemuoa akiwa sio bikira maana Yake :

1. Sio mtiifu kwa Mungu wake.

2. Sio muaminifu kwa Mungu wake.

3. Hamuheshimu Mungu wake.


Ndio maana alizini kabla hajaolewa licha ya Mungu wake kumkataza.

Kama hakumtii Mungu wake, hakumuheshimu Mungu wake, hakuwa loyal kwa Mungu wake. Atakuja kuwa loyal kwako? Dogo hebu Wacha ufala basi 🤣🤣🤣 Huna ndoa wewe.. Ndoa halisi mwanamke lazima umkute bikira.
Kama kawa umri tu ulio nao unaniuliza maswali ya kijinga kama ukomavu ni nini, unatagemea nione hapa najadili na mtu mwenye utimamu wa akili kweli?

🤣🤣🤣 Wacha kupanic.. Jibu swali ili nione kama unakijua unacho kiandika hapa.
Kama ndoa tu hujui ni nini, hiyo ukomavu ndio Utajua ni nini?

Buhahahahaha 🤣🤣🤣🤣 eti nahukumu wanawake... Kusema mwanamke lazima aolewe akiwa na bikira ndio kumuhukumu? We bwege nini?
 

Hoja yangu ilikuwa kwamba ni rahisi sana kupata taarifa (idadi) za ndoa za kidini zilizofungwa au kuvunjika nchini kwa sababu ya mfumo wake wa urasimishaji na utunzaji wa taarifa na kumbukumbu zake ambao haupo au kama upo sio lazima kuzingatiwa kwa ndoa za kimila.

Ndiyo maana nikasema kwamba huwezi kulinganisha maisha ya ndoa hizo mbili (kudumu au kuvunjika mapema) kwa sababu taarifa (data) za ndoa za kimila hazipo wazi kabisa.

Kwa hiyo ni vigumu au ni kosa kuhitimisha (it's a biased conclusion) kwamba ndoa za kidini hazidumu ukilinganisha na za kimila kwa sababu hakuna taarifa za upande wa pili.
 
Mambo yameanza huku. Ndoa za kanisani hizi 👇👇👇👇👇👇


Mchezaji wa zamani Wa Klabu ya Yanga, Mukoko Tonombe anaripotiwa kupitia kipindi kigumu baada ya kutapeliwa nyumba na aliye kuwa mkewe anaye itwa Trisha.

Mukoko baada ya kuja kucheza Tanzania alimuoa Trisha, na hata baada ya kuondoka Yanga wali rudi wote Kongo, na baada ya kurudi Kongo ilibidi Mukoko awe anatuma pesa Kwa mama yake na mkewe Ili asimamie ujenzi, na nyumba ilivyo Kamilika waliweka mpangaji.

Sasa unaambiwa Kwa Sasa Mke wa Tonombe kasema hiyo nyumba ni yake haimhusu Mukoko Tonombe, na mpaka muda huu mwanamke huyo Yuko Afrika kusini na mwanaume mwingine.

Mukoko Anapitia Kipindi kigumu sana Mpaka Kaomba msaada kupitia MAI TV.

#fblifestyle
 

Wewe ni bwege tu ambaye hauna hoja yoyote ya msingi leta takwimu hapa zinazothibitisha madai yako mjinga mmoja wewe.
 
Wewe ni bwege tu ambaye hauna hoja yoyote ya msingi leta takwimu hapa zinazothibitisha madai yako mjinga mmoja wewe.
🤣🤣🤣🤣 umeishiwa hoja lazima utukane matusi..

Narudia tena huna ndoa wewe.. Hicho ulicho fanya ni uhuni tu.. Ndoa ni tambiko
Mkeo lazima awe bikira..

Wewe hujistukii? Wenzako wamemgeuza wamemtumia bure halafu wewe unaenda kumuoa unamfanya kuwa mke wako? Na mahali unatoa kabisa? 🤣🤣🤣🤣 Una akili timamu kweli wewe?
Wenzako walio fanya hivyo wamejificha huko hawataki kujulikana Ila wewe unajitokeza kabisa hadharani kutetea ubwege wako..

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ndoa ni tukio la kimila chini ya serikali...

Mwanzoni ndoa haikuwa ishu ya kidini wala kanisani,, kwenye karne ya 13 wakristo wachache walianza kwenda kubariki ndoa zao kanisani ( Roman Catholic ).. baada ya kanisa kuona wanaobariki wamekuwa wengi ikaifanya sakramenti katika karne ya 16 ( around 1950 )..
 
Bila takwimu halisi hapa, unatakiwa uelewe umeandika ujinga tu mdogo wangu, yani assumptions mtupu hakuna uhalisia wowote hapa, kijana mjinga.
Takwimu za ndoa za kanisani si nimekwambia nenda kasome kesi mahakamani?. Au tayari umesahau.

Siwezi kuwa mdogo wako in many manner whatsoever..
 
Marcostilone
 
Hakuna sehemu yoyote nimedai kuwa nimeoa mwanamke ambaye sikumkuta na bikira, unaandika maelezo marefu hivi kutolea ufafanuzi jambo ambalo haulifahamu kwa namna yoyote ile halafu unajiona upo timamu kweli?

Ni nani aliyeanza kumtukana mwenzake kwa kumuita bwege? Wewe sukari ilipanda muda sana kwa sababu nilicho kipinga ni sahihi, na nikakupa darasa, lakini kwa vile hautumii akili yako kufanya mjadala na mimi, lazima ukaze fuvu ili na wewe uonekane una hoja lakini, ni assumptions mtupu umeandika.

HAKUNA UKWELI WOWOTE UNAOENDANA NA UHALISIA WA MAISHA YA SASA KWENYE UZI WAKO.
 
Takwimu za ndoa za kanisani si nimekwambia nenda kasome kesi mahakamani?. Au tayari umesahau.

Siwezi kuwa mdogo wako in many manner whatsoever..
Nimeshakuambia, kasome The Law of Marriage Act 1971 ya Tanzania. Kwenye hizo kesi zote za talaka unazozisemea, hakuna hata moja iliyovunja ndoa kwa sababu unazoongelea wewe, haujui kusoma kwa ufahamu nini?

Hata kama una umri mkubwa, ila kifikra wewe ni mdogo wangu tu mbali sana, yani upeo wako wa kufikiri na kuchanganua mambo ni mdogo sana.
 
Karne ya 16 ni miaka ya 1500, Mwaka 1950 ni karne ya 20! Kasome vizuri kuhusu council of trent ya mwaka 1547. Halafu hata kama kanisa liliratibu ndoa kisheria baadae, hiyo inaondoa wapi ukweli kwamba tabia na akili ya mtu ndio inayolinda ndoa ya sasa?
 
typing error...ni 1500`S..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…