Huu upuuzi unao endelea nchini, ni kiashiria tosha hii serikali imeshakataliwa duniani na mbinguni. Na siku zake za kujifia kifo cha mende, zinahesabika.
Wanahaha kutunga sheria za hovyo hovyo kujilimbikizia madaraka wakiamini watajilinda.

Mungu ameshaikataa CCM. Watafurukuta na kutafuta manabii wa giza kutengeneza maigizo lakini anguko lipo palepale
 
andamaneni atolewe sasa, si mlikuwa mnamshangilia
 
Haws ndugu wameishiwa hata akili.

Wapo kama marobot yaani wamesetiwa kutetea, kukandamiza, kuua, kutishia na kudanganya

Siku zinahesabika kwa sababu mwisho umeshaanza
Huu mwisho mnaousema sijui utafika lini maana ni miaka 31 sasa bado mnausubiri mwisho[emoji28]
 
Wanahaha kutunga sheria za hovyo hovyo kujilimbikizia madaraka wakiamini watajilinda.

Mungu ameshaikataa CCM. Watafurukuta na kutafuta manabii wa giza kutengeneza maigizo lakini anguko lipo palepale
Kwani hao unaowaamini kama watakupa kile unachokitaka wewe mpaka sasa wamefanya nini kama sio kujilimbikizia madaraka na Mali huku wakijificha kwenye kivuli cha kupinga kila jambo na kujisahaulisha kauli za Jana yao
 
Hakuna nchi ya kipumbavu na yenye watu wenye dhamana ya kitaasis hasa katika vyombo vya serikali kama Tanzania. Hii nchi imejaa taasisi za ajabu, Kikwete aliwaambiwa hoja hazijibiwi Kwa nyundo. Polisi ni taasisi ya kipumbavu sana, ni aibu wananuka vinyesi
 
Huu mwisho mnaousema sijui utafika lini maana ni miaka 31 sasa bado mnausubiri mwisho[emoji28]
Hakuna utawala wenye nguvu uliwahi kutokea hapa dunia kama utawala wa dola ya Kirumi (Roman Empire)! Ulidumu kwa karne nyingi! Lakini muda wake wa kufa ulipofika, ulikufa pasipo kutarajiwa na mtu yeyote yule.

Sasa kama unafikiri ccm itatawala milele, basi utakuwa unajidanganya. Anguko lake liko pale pale. Ni sula tu la muda.
 
Its not over until is over.


Usidhani Mungu atashusha jeshi la farasi na kuwagharikisha.

Fuata mfano wa MTINI haukukauka palepale.....
Shida yenu mnawaamini wasioaminika.

Hebu tumpeni muda Mama na tumshauri yaliyomema pamoja na kumpa pongezi pale anapofanya jambo zuri
 
Kwa kutegemea vile vyama vya PS?[emoji56]
 
Eeh. Ndio iko hivi ? Kweli dunia duara
 
Kwani hao unaowaamini kama watakupa kile unachokitaka wewe mpaka sasa wamefanya nini kama sio kujilimbikizia madaraka na Mali huku wakijificha kwenye kivuli cha kupinga kila jambo na kujisahaulisha kauli za Jana yao
Hujui hata unachokiongea.

Kajipange, rudi shule
 
Pale mlipomualika kwenye maadhimisho ya siku ya mwanamke duniani na akapokelewa kwa mikono yote na vifijo mlimuona kama shujaa sio ila akifanya msiyoyapenda hata ni mazuri anaonekana hafai..bulshit

Tuache ubinafsi!
 
Shida yenu

Shida yetu na nani.


Kumbuka CCM imejifungisha ndoa na shetani., na unachopambania ni sisi kuamini shetani ana nia njema
Hayo ni mawazo ya kufikirika tu ila Rais anapambania watu wake kwa kuweka maslahi mapana ya kitaifa mbele sio nyie ambao mnawaza kupitia mawazo ya wengine hata kama macho mnayo na akili zenu pia ila kwakuwa fulani anapinga kila kitu basi nawe unaunga foleni[emoji28]

Kwa mlivyokosa instinct za kiongozi mnafika hadi kudharau kazi za wananchi wenu...halafu mnatamani kesho tumpe nchi..Hilo sahau kabisa
 
Huyo Madeleka ni mpumbavu km alivyo siku zote, sasa akanyee ndoo anajifanya mjuaji sana na kuisumbua mahakama, inaonekana haziko vizuri kichwani
Huu ni upumbavu wa hali ya juu, elewa ni mahakama pekee yenye uwezo wa kuhukumu, tukiambiwa tunaishi in a shit hole country usichukie maana kwako watawala ni nusu Mungu, umelelewa kwenye family ya kikatili, jifunze kuwaambia wenzao kuwa I love you
 
Hujui hata unachokiongea.

Kajipange, rudi shule
Wewe uliyeenda shule umeleta mawazo gani chanya kwa maslahi mapana ya taifa lako kama sio kusubiri wale mabwana zenu wapinge au wasifie nanyi mjumuike nao.

Kuna watu wapuuzi sana katika hii nchi
samia hasani suluhu tuna imani kubwa na wewe kulifikisha hili taifa pahala salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…