Umeusoma uzi? Nini ulichokielewa?

Ukitaka kuiongelea CCM funguwa uzi wake.
lugha za kijiweni ziache huko, huwezi kuonyesha una imani kali wakati umejawa na ushetani moyoni mwako, always try kusoma to understood sio kuuliza maswali, mimi kufungua uzi wa ccm ndio siku nitakufa hapa duniani, 60yrs ya utawala wa CCM hadi leo lingusenguse haina maji salama na safi, ni royal families tu.....Nani owner wa UDA, please rise your hand up!
 
Wakati nipo field 2016 kuna DHRO mmoja alimsimamisha kazi WEO na akaanza kumlipa nusu mshahara, MUNGU siyo Athuman yeye mwenyewe akasimamishwa 2017, DED akasema alipwe nusu mshahara akaanza kusema sahivi sheria inaruhusu mtu akisimamishwa alipwe full, kwa hiyo tunaposhabikia huu uovu tuwe makini sheria mbovu hizihizi zinaweza kukugeuka kama siyo wewe inaweza kuwa kwa ndugu yako.
 
Sasa hapa JF ni nini zaidi ya kijiwe cha kimtandao tu. Teknolojia ya mawasiliano inaufanya ulimwengu uwe kiganjani.

Sasa kama hata hilo halijakuingia akilini utaukwepa upunguani kweli?
 
Reactions: Tui
Umesema kweli mfumo mbovu wa CCM ndiyo umetufikisha hapa, yaani ni aibu tupu
 
Rais Samia anasumbua bara anajua siyo nchi yake akimaliza kuuza atarudi Unguja kula maisha
 
ewe umeisoma habari au umekurupuka tu?

Inahusiana nini na CCM?

Wacha kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.
Katika hili ninakubaliana na kukamatwa kwake, wasiwasi wangu bado upo kwa serikali na jeshi la polisi kukandamiza watu wanaotaka kufanya maandamano ya amani, kwanini serikali kupitia jeshi la polisi inakataza watu kutumia haki Yao ya kikatiba?.

Serikali yetu imeendelea kuwa kandamizi bila sababu za msingi, Mugufuli aliminya uhuru wa raia na watu wengi Sana waliumizwa katika utawala wake, japo kidogo mambo yamebadilika, lakini kwa kiasi kikubwa vyombo vya Dolla havijabadilika.

Kukamatwa kwa Mbowe na kuwekwa ndani kwa zaidi ya miezi 8, kukamatwa kwa Mdude huko Mbeya, Serikali kupuuza kufuatilia na kuchunguza tukio la kupigwa risasi kwa Tundu Lisu hata baada ya yeye kurudi nchini, ukizingatia kwamba serikali ilikataza watu kufanya mikutano ya kumchangia alipokua amelazwa hospital huko Nairobi, ni dalili za wazi kwamba serikali inahusika na matukio yote hayo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mtuhumiwa no 1 ni hii serikali yetu
 
Madeleke amekuwa taffic police tena?
 
jana wazee wa Afrika huko Arusha, wamekemea sana Afrika kuiga mambo ya uvunjifu wa amani kwa jina la maandamano.

N nashukuru Polisi ya Tanzania wameliona hilo na wameisoma dunia na kuona madhara ya maandamano ya kijinga. Wamewapiga marufuku hata uvCCM.

Wamefanya la maana sana.

Hata mimi sikubaliani na maandamno ya kijinga, tena mwendazake alifika mbali mpka kupiga marufuku hata mikutano ya kisiasa, waste of time for nothing.
 
Tuandamane ili mfanye mauaji huku mkijua sheria imebadilishwa ili hata mkifanya hayo muwe na kinga.....

Endelea kuoa maandamano. Mafuriko yanakuja bila kelele, maji yakishakuzingira ndo utafurahia kiburi ulicho nacho
Wanajiona wapo salama sn lakini siyo kweli, umma ukiamua kama wanavyofanya pale Kenya hakuna namna utaua wangapi?
 
Hayo mawazo chanya ayapeleke wapi ili yasikilizwe, kama hata ule mkataba wa hovyo wa bandari licha ya kutaka wananchi watoe mawazo yao lakini hawakupewa hiyo nafasi?

Kuthibitisha ulivyo mjinga na usiyejitambua, unaandika una imani na yule aliyewanyima wengine kutoa mawazo yao kama wewe unavyotaka, wewe ni dude fulani lisilojielewa, wala lisilojua linachotaka.
 
We mjinga unajiona upo salama lakini umma ukiamua hamtaweza kitu, maandamano ni haki ya msingi na siyo hisani yenu, wewe unanufaika na huu mfumo mbovu lakini itafika mwisho, angalia Kenya watu wakichoka wanakuwa wapo tayari kufa na hapo mtakuwa mmechelewa sn. Nchi siyo mali yenu ni mali ya watanganyika, kaeni kwenu Zanzibar muuze vitu vyenu.
 
Mkuu, punguza Sana tabia ya kupenda kutumia maoni badala yake ujenge hoja, Sasa kukamatwa mahakamani, au ofisini kwake. au chumbani kwake kunaleta tofauti gani katika huu mjadala?.

Wewe maoni yako ulitaka akamatwe ofisini badala ya hapo alipokamatwa, onyesha Kama Kuna sheria ya nchi iliyovunjwa kwa kukamatwa hapo alipokamatwa, usiingize maoni yako katika sheria za nchi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli hata kama ni mharifu wa kiwango gani kama unaitetea ccm wewe ni mtakatifu.
 
Tena kuna bomu linafukuta haswa
 
Eti wazee wa Africa hayo matapeli ndiyo wazee wa Africa, yameibia nchi na kujilimbikizia mali za umma hovyo eti unaita wazee wa Africa. Jinga kabisa
 
Huu ni upumbavu wa hali ya juu, elewa ni mahakama pekee yenye uwezo wa kuhukumu, tukiambiwa tunaishi in a shit hole country usichukie maana kwako watawala ni nusu Mungu, umelelewa kwenye family ya kikatili, jifunze kuwaambia wenzao kuwa I love you
Anajiona yupo salama lakini ajue siyo salama kama anavyozani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…