Eti wazee wa Africa hayo matapeli ndiyo wazee wa Africa, yameibia nchi na kujilimbikizia mali za umma hovyo eti unaita wazee wa Africa. Jinga kabisa
[emoji28][emoji28]usisahau na wale jamaa walioficha zile pesa za ruzuku
 
Kuuza nchi kwa wajomba zake.
 
Kwahiyo una maana bunge la Tanzania na rais wa Tanzania waliotunga sheria ya kuruhusu maandamano ni wajinga?, Kama hayana faida kwanini wasiyafute katika katiba ya nchi?.

Wajinga ni wale wenye kujipangia Sheria zao wenyewe Kisha wakazivunja wao wenyewe. Wajinga ni wale wanaonunua silaha kwa ajili ya kujilinda yeye na familia yake, Kisha akaitumia silaha hiyo hiyo kuwapiga risasi watoto wake, Kama alivyofanya Magufuli kwa Tundu Lisu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 

Mtu mpunbavu aliye kilaza mbobevu ndiye pekee anayeweza kusema/kuandika "tuna imani kubwa na wewe" ilhali hayo ni maoni/mawazo/imani yake binafsi mtu mmoja.
 
Umekaa kabisa ukaona hichi ndiyo kitu cha kuja kutuambia unatuona kama wanao wa darasa la nne
Kwamba wewe ndiyo mwenye akili
Eti msiseme kakamatwa kwa sababu ya dp
 
Madeleke amekuwa taffic police tena?
Sikulaumu mkuu tuna tatizo kubwa hasa kwenye education systems yetu, watu hawajui to read to understand!,wewe ni mmoja wao ila usichukie mpo wengi, mtaji wa ccm ni upumbavu wa middle class!,policeman A anatuhumiwa kwa kuua raia, then ni police ndio watakaochonguza tuhuma hizo!!,hapa tulitakiwa tuwe na IPID, hawa ni police wanaochunguza,arrest, prosecute women's &men's in uniforms wanaokiuka utendaji wao,upumbavu wako hili hulioni!,hii mada inapojadiliwa inapanuka zaidi mkuu,usitulie tu na heading yake
 
Mtu mpunbavu aliye kilaza mbobevu ndiye pekee anayeweza kusema/kuandika "tuna imani kubwa na wewe" ilhali hayo ni maoni/mawazo/imani yake binafsi mtu mmoja.
Endelea kujitekenya mkuu
 

Sawa, ni haki Kabisa. Let him pay the cost
 
.

Sasa utaratibu aliokubaliana nao ukifutwa anatafanywaje? Si anashikwa au? Uhuru wake aliununua, analalama, sasa wafanyaje? Kakosa hekima huyu, marufaa yote ya nini hayo?
 
Huyo wakili hio pesa laki 2 iliyobaki Sio kwamba kashindwa kulipa bali kwake kukamatwa ni strategies za biashara.
Ili wakili upate kazi za uwakili ni lazima uwe na jina mjini kutengeneza umaarufu.
Umaarufu unautengeneza vipi tengeneza mazingira ya kukamatwa ili iwe habari mjini.
Wakili na kesi au mahakamani ni sawa na fundi na garage.
Huwezi mtisha wakili na kesi maana kesi ndio chakula Chao kikuu.
Waendesha kesi wanakutana nao vijiweni jioni maana kesi bongo ni biashara na biashara ni lazima mkutane na watu myajenge.
Ishu ya DP ni imedondokea tu kwa mbele.
 
Wanafiki tu ni sababu ya mwanzo kupiga marufuku maandamano yoyote ya kisiasa hasa ya wapindani. Ilikuwa mbinu tu
 
Jamii inapotoshwa na kuaminishwa kuwa mshtakiwa ameshikwa kutokana na kutoa maoni yake juu ya Mkataba wa DP world na Serikali ya JMT jambo ambalo si sahihi.
Ndiyo sisi watanganyika tunaamini hivyo, leo kesho na hata milele hadi mtakapomuachia huru sababu kawaambia ukweli kuhudu DP world.
 
Usiwapangie Polisi namna ya kufanya kazi. Wangemkamata nyumbani kwake bado ungerudi kusema wamemdhalilisha mbele ya familia.

"Ukichamba sana utayavagaa mavi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…