Sababu za wanawake kugawa tendo ovyo hizi hapa; wanaume chukua tahadhari

Swali linakuja hapo.

Ukihawarishwa na mwanamke na baadaye ukagundua unaandamwa na mikosi tajwa hapo juu, je ukimkwepa mikosi itaendelea au itakoma na kurudia hali yako uliyokuwa nayo kabla yake na kama itaendelea, itaendelea kwa muda gani?
Mkuu ukishalala na mwanamke mgawa uroda ovyo hata mara moja tu mapepo yanaingia kama yote. Dawa ya kuyaondoa ni kuwaendea waombezi akina Mwamposa na mzee wa upako wayaondoe.
 
Mkuu sio hivyo; ukigegeda mwanamke maarufu asuyegawa uroda ovyo, nyota yako inang'aa. Ndio maana nimetoa mfano wa Diamond na Christina Shusho.
 
Hizi ndio mada ambazo watu hawapendi kusikia
Hapana. Nadhani hizi ndizo mada hasa zinazompendeza Mwafrika. Nina mhubiri mmoja yeye kila siku anahubiri kuhusu kurudisha nyota zilizoibwa kipepo. Mara kurudisha uzao, uchumi na ndoa zilizozuiliwa na hata kuharibiwa kipepo. Kuondoa mitego ya kipepo na mambo kama hayo. Jamaa anapiga hela hatari na wateja wake wengi ni akina mama na mabinti.

Mahubiri kama haya huwezi kuyakuta kwa wazungu; na jamaa wanapeta tu na mapepo yao. Waafrika, nadhani, tunasumbuliwa sana na mapepo aisee!
 
Vikoba upatu na wahaa wakopesh vyombo taasis mchwal za mikopo zimefany wanawak weng kutoa mchezo ili wakalipe mchezo na maden mengn
Tena wengine unakuta ni wake za watu kabisa, nao unakuta Wanacheza huo mchezo kimya kimya bila Waume zao kujua.

Mwisho wa Siku wanashindwa kulipa hivyo kulazimika kuanza kuwa wagawaji (Malaya) ili kupata hela za kulipa hiyo michezo yao 🙌
 
Lazima acheze mechi nyingi apate visenti vya kumudu michezo
Sahihi kabisa, ndiyo hao mabinti ambao unaweza kukuta najibana kumuhudumia kifedha na kimwili (kukidhi haja zake za kimwili) lakini still unakuta amekupanga foleni 😜

Na ukijidai fundi wa kusafiri kwenda hapo uvinza, sio muda utaanza kulamba manii za Wanaume wenzako 🙌

Hapo UTI/gonorrhea na maradhi mengine inakuwa ni kugusa tu unapata
 
Ngono na ulevi vumekuea downfall ya watu wengi sana, multiple partners wanamaliza uchumi wa watu sana. Tukiweza kujiepusha na ngono zisizo rasmi, tukawa watu wa kiasi kwenye unywaji hata maendeleo binafsi tutayaona.
 
Mbona umeishia katikati kwaiyo kama ushawavaa hao mapepo unajitoaje?
 
Ulipoanza tu hapo kwenye issues za Diamond na Harmonize kuja chini basi uzi ukaanza kupoteza ladha. Tunashukuru lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…