Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ukishalala na mwanamke mgawa uroda ovyo hata mara moja tu mapepo yanaingia kama yote. Dawa ya kuyaondoa ni kuwaendea waombezi akina Mwamposa na mzee wa upako wayaondoe.Swali linakuja hapo.
Ukihawarishwa na mwanamke na baadaye ukagundua unaandamwa na mikosi tajwa hapo juu, je ukimkwepa mikosi itaendelea au itakoma na kurudia hali yako uliyokuwa nayo kabla yake na kama itaendelea, itaendelea kwa muda gani?
Mkuu sio hivyo; ukigegeda mwanamke maarufu asuyegawa uroda ovyo, nyota yako inang'aa. Ndio maana nimetoa mfano wa Diamond na Christina Shusho.Sasa mbona contradiction! Umesema mtu wa kawaida akisex na mtu maarufu anapanda juu lakini mtu maarufu akisex na mtu wa kawaida anaporomoka umaarufu; na umeshauri wanaume wasisex na watu wa kawaida sasa huoni hapo kama kila mtu akitaka asex tu na aliyemzidi maana yake sex haitafanyika kwa sababu yule unayemwona wewe yuko juu yako kwa umaarufu na yeye atakuona wewe uko chini yake kiumaarufu hivyo atakukataa.
Lazima acheze mechi nyingi apate visenti vya kumudu michezoUseme Vikoba ndiyo vimechangia pakubwa
Unakuta binti anacheza michezo 10 halafu yote inataka achangie elfu 10 kumi Kwa Siku unadhani hapo atafanyaje zaidi ya kuwa mgawaji 🙌
Ndio maana yake 😀Hivi Mapepo ndio yanayoishi Peponi?
Hapana. Nadhani hizi ndizo mada hasa zinazompendeza Mwafrika. Nina mhubiri mmoja yeye kila siku anahubiri kuhusu kurudisha nyota zilizoibwa kipepo. Mara kurudisha uzao, uchumi na ndoa zilizozuiliwa na hata kuharibiwa kipepo. Kuondoa mitego ya kipepo na mambo kama hayo. Jamaa anapiga hela hatari na wateja wake wengi ni akina mama na mabinti.Hizi ndio mada ambazo watu hawapendi kusikia
😂😂😂Iv jogoo anapo sex na mtetea fulani na yeye anapata nini?
Vikoba upatu na wahaa wakopesh vyombo taasis mchwal za mikopo zimefany wanawak weng kutoa mchezo ili wakalipe mchezo na maden mengnKusema kweli hiyo michezo/Vikoba vimechangia sana Wanawake kuwa wagawaji
Ndiyo maana Siku hizi imekuwa nadra sana kupata Wanawake waaminifu Kwa viapo vyao
Tena wengine unakuta ni wake za watu kabisa, nao unakuta Wanacheza huo mchezo kimya kimya bila Waume zao kujua.Vikoba upatu na wahaa wakopesh vyombo taasis mchwal za mikopo zimefany wanawak weng kutoa mchezo ili wakalipe mchezo na maden mengn
Waache watu wale mbususu.Vitisho viiingi hadi ngono inapoteza ladha kwa kujawa hofu, acheni mambo hizo.
Sahihi kabisa, ndiyo hao mabinti ambao unaweza kukuta najibana kumuhudumia kifedha na kimwili (kukidhi haja zake za kimwili) lakini still unakuta amekupanga foleni 😜Lazima acheze mechi nyingi apate visenti vya kumudu michezo
Mbona umeishia katikati kwaiyo kama ushawavaa hao mapepo unajitoaje?Niliposoma Vitabu Kadhaa Vinavyoelezea MAPEPO (Demons) Kikiwemo Kile Cha Dag Hewald Mills Kinachoitwa "Demons And How To Deal With Them" Nilijifunza Kuwa Kumbe Mapepo Yamegawanyika Kulingana na Kazi ya Mapepo Husika (Demons Are Categorized According To Task They Perfom)
Kuna Mapepo ya UHARIBIFU (Destructive Demons) Ambayo Kazi yake ni Kufanya Uharibifu Katika Msisha ya Mtu Ambaye Yatamuingia. Na kwa sababu tayari nilikuwa nimeshawahi sikiliza speech za watumishi kadhaa hilo nilikuwa nalifahamu.
Shida yangu kubwa ilikuwa kutaka kufahamu ni njia ipi ambayo mapepo hayo huweza kumuingia mtu (How They are Transmitted). Ndipo nilipofahamu kwamba, kwa kizazi tulichonacho njia kuu ambayo mapepo humuingia mtu ni kupitia NGONO (Sex) na ndio maana Nikayaita "Sexual Transmitted Demons" (Mapepo Yanayoambukizwa Kupitia Ngono)
Ndio maana Hivi Sasa SEX inapatikana KIRAHISI MNO (Sex Has now Become the Cheapest Product). Ni rahisi kabisa mwanaume akamtongoza mwanamke leo na akamla kesho, tena wakati mwingine mwanaume anaweza kutumia gharama kubwa sana ili tu apate sex.
View attachment 2988841
Na sometimes mwanamke mwenyewe anajikuta tu ameshawishika kumpa jamaa na hii inaitwa "KUBLESIANA" (Yaani Kupeana Sex Kirafiki). Lakini pia ukifuatilia kiundani maisha ya vijana wengi sana yameharibika mara baada ya kukutana kimwili na watu fulani.
Wengi walianza kukutana na mikosi, misala, mabalaa na gundu,...wengine walipoteza mvuto, biashara zilikufa, walipata ajali, kushindwa kupiga hatua kimaisha....n.k. Na bahati mbaya sana ni kwamba, watu ambao wana haya mapepo wengi hawajui kama wanayo, ila wanatumikishwa nayo bila wao kujijua.
Haya mapepo yakimuingia mtu kazi yake kubwa ni KUFANYA UHARIBIFU, ndipo unakuta biashara inakufa, anapoteza morali ya kukimbiza ndoto na maono yake, na kila mahusiano atakayoanzisha hayadumu. Kwa mwanamke sometimes anaacha kabisa kutongozwa na kwa mwanaume akitongoza kila mwanamke anamkataa...inakua kama nyota imezima.
Wengine hupoteza vyeo, hupoteza fedha, hufukuzwa kazi na kila dili watakalogusa linabuma....yani maisha yameharibiwa.Unakuta mtu ni kijana mzuri kabisa, ana ndoto kubwa na ameshaanza kuifukuzia ghafla anapotea na kuacha kila kitu....anakuwa haeleweki tena.
Ukitrace back unagundua kuna mahali alichovya. Hivi sasa shetani amewekeza sana kwenye NGONO; mitego yake iko huko. Ndio maana ukiangalia movies zinachochezwa, nyimbo zinazoimbwa kwa sehemu kubwa sana zinahamasisha kudinyana...yoote ni kwa sababu kupitia kudinyana wengi wanaangushwa.
Na ngoja niuseme huu ukweli ambao wengi hawaujui. Sex can be a promotional way or downfalling staircase ....ngono inaweza ikawa njia ya kumuinua mtu au njia ya kumshusha. Najua wengi hawalijui hili, na wengine mtajiuliza "KIVIPI" na nitawapa mifano kadhaa hapa, msipoelewa basi.
Kuna level kila msanii wa kiume akifika atalazimika kuwa katika mahusiano na mwanamke mkubwa kiumri na mwenye USHAWISHI zaidi yake. Mfano, Kuna Level Diamond alifika akawa na Wema, baadae akawa na Zari. Harmonize kuna level alifika akawa na Wolper na baadae akawa na Kajala. Hiyo ni promotional techinique, yaani mbinu ya kumpaisha na kumuinua mtu ambayo inatenda kazi kwa jinsi ya rohoni mno!
Leo hii, Harmonize kuna mwanamke akisex nae tu jamaa anapoteza KILA KITU, akitoa ngoma inabuma na akiweka show watu hawatokei. Yoote yanatokana na "SEX". Amesex na nani, huyo mtu nyota yake ni DHAIFU au IMARA kiasi gani? Ndio maana unaweza kuta kila siku wanachukua watu wa levels zao hata kama sio wazuri.
Hata wanawake wengi wapo tayari wavue chupi kwa mtu ambaye ni mashuhuri katika eneo fulani wakiamini kuna kitu kitafanyika kwa jinsi ya rohoni. Ndio maana ukaibuka msemo unasema "Utajiri hauambukizwi kupitia ngono, wadada fanyeni kazi" Hiyo ilikuwa baada ya wadada wengi kuwabless watu mashuhuri.
Ila, ukweli usiopingika ni kwamba mtu ambaye ni wa kawaida, akisex na mtu mashuhuri kuna kitu kinaongezeka kwa huyo mtu wa kawaida. Lakini pia, mtu wa kawaida, akisex na mtu mashuhuri kuna kitu kinapungua kwa huyo mtu mashuhuri. Kwa mfano, sasa hivi Diamond anaposex na Christina Shusho, kuna kitu anakitafuta ili kupaisha label yake ya bishara ya muziki na biashara zake nyingine.
Conclusively, naomba wanaume tuwe makini na aina ya wanawake tunaosex nao. Ufanyie kazi ushauri wangu mtakuja kunishukuru baadaye.
Nawasilisha.
Habari ndio hiyo...!!heeeeee
Labda nirogwe, kwa hali ilivyo kwa sasa mbwembwe nyingine za kunogesha tendo ni hatari sana kwa afya.Na ukijidai fundi wa kusafiri kwenda hapo uvinza, sio muda utaanza kulamba manii za Wanaume wenzako
Ulipoanza tu hapo kwenye issues za Diamond na Harmonize kuja chini basi uzi ukaanza kupoteza ladha. Tunashukuru lakini.Niliposoma Vitabu Kadhaa Vinavyoelezea MAPEPO (Demons) Kikiwemo Kile Cha Dag Hewald Mills Kinachoitwa "Demons And How To Deal With Them" Nilijifunza Kuwa Kumbe Mapepo Yamegawanyika Kulingana na Kazi ya Mapepo Husika (Demons Are Categorized According To Task They Perfom)