Sabaya na wenzake washinda Rufaa dhidi ya Serikali kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

exactly!
 
The expected! Mahakama za kishenzi. Kama walitoa hukumu kuwa Wakurugenzi kusimamia kura haina shida kwa vile wameapa kutenda haki, basi ujue hakuna mahakama ni takataka tu mbona wanajeshi wanapindua serikali ingawa wamaapa? chini ya viapo vyao?
Kwa hiyo unasemaje?
 
Mambo yanaendelea kuwa mazuri kwa mataga
 
Nachojua mimi. Hata mahakama imsafishe kwa kiwango gani, Sabaya ni mhalifu aliyejipatia pesa kwa kutumia cheo chake. Hili lipo wazi kama ya mbuzi.
 
Nilijuwa tu Sabaya atapangua kesi zote. Mfumo ukikutuma unajuwa pia namna ya kukuchomoa kutoka kwenye moto.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Sasa hapa pia tutasema Mahakama ya Tanzania inapendelea (inaiogopa) serikali?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
The expected! Mahakama za kishenzi. Kama walitoa hukumu kuwa Wakurugenzi kusimamia kura haina shida kwa vile wameapa kutenda haki, basi ujue hakuna mahakama ni takataka tu mbona wanajeshi wanapindua serikali ingawa wamaapa? chini ya viapo vyao?
Objectivity katika masuala haya inatakiwa sana. Vinginevyo, utazua magonjwa yasiyoyalazima ya msongo wa mawazo.
 
Naililia nchi yangu.
Ifikie mahali tukatae utawala wa vyama vya siasa.
Kila MTU(watu)au kikundi cha watu wawe huru kuunda serikali.
This is more than rubbish.
 
Pole sana. Ugua pole, utapona.
 
Wanamsafisha ila wampe teuzi aendelee kula kodi zetu kwa raha lkn ajue ccm inayomlida haiwez kutawala milele anawez akarudi lupango atumie muda huu kuwaomba msamaha aliyowaumiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…