Video ya Hayati Anwar Sadat anasema Siwezi kamwe kuhatarisha hatima ya Egypt kwa sababu ya tabia yao ya kitoto. Anawalaumu viongozi wa Palestina kwa kukutaaa makubaliano ya Camp David. Anasema makubaliano hayo yalilenga Wapalestina wawe na Serikali yao baada ya Miaka 5 ya utekelezaji wake. Anasema Makubaliano ya Camp David hayakuwa kwa ajili ya kuwashambulia wapalestina katika Mji wa Tel Al Zaatar. Na wala makubaliano hayo hayakuwa kwa ajili ya kuwatenganisha Waarabu. Kwa miaka sita tumekuwa tukiwaonya (Viongozi wa Palestine) kama tulivyofanya May 1, 1976 kule Suez kwa lengo la kuiokoa Lebanon na kutunza heshima yetu Waarabu. HAPA ALIKUWA AKIREJEREA VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE KULE LEBANON AMBAYO CHANZO CHAKE KILIKUWA WAKIMBIZI WA KIPALESTINA AMBAO WALIFUKUZWA KULE JORDAN.
Video ya pili Ni Rais Hussein Mbarak ambaye pia anawalaumu wapalestina: anasema mgogoro wa Palestina na Israel umekuwa complicated. Anasema lazima viongozi wa Palestina waachane na tabia yao ya kusema NO kwa kila kitu. Anasema kwa miaka 50 iliyopita wamekuwa wakisema NO na kujikosesha fursa ya kuwa na Taifa lao. Anasema mwaka wa 1948 wapalestina walikataa Mpango wa Umoja wa Mataifa wa kuunda mataifa mawili (yaani Taifa la Jewish Palestine & Arab Palestine). Na mwaka 1967 Israel ilikubali kuachia maeneo inayokalia ili mradi Wapalestina Watambue kuwepo kwa Taifa la Israel, Wapalestina wakasema NO. Kwamba kilichochulikwa kwa Nguvu lazima kirudishwe kwa nguvu. Anaendelea kusema Wapalestina walikataa pia Camp David Agreement.
Video ya tatu anasema mnajigamba manataka kuiangamiza Israel, kweli? Mtaiangamiza kwa kutumia nini?
Video ya tatu anasema Israel hawakuwa na shida kujadili na kufikia muafaka katika masuala yaliyokwamisha majadiliano. Wapalestina walitakiwa waige mfano wetu (Egypt) tuliofanya majadiliano ya amani na Israel na hatimaye kukarudishiwa maeneo yetu Yote.
Video ya Bill Clinton akiwa kwenye kampeni za Kamala Harris za kugombea Urais.
Akaamua kuwatolea Uvivu Waislamu wa Michigan (Jimbo hilo Ndilo lenye waislamu wengi kule Amerika) na kusema ukweli. Anasema kama mngekuwa mliishi kule Kibutzi Israel ambako kwa kulinganisha maeneo mengi ya Israel, Watu wa Kibutzi ndiyo ambao huunga Mkono kuundwa kwa Taifa la Wapalestina linalojitawala, Halafu hiyo October 7 hao hao wapalestina mnaowapigania ndiyo wanakuja kuwachinja kinyama na kuwa choma moto na kuwabaka wanawake wenu, ni lazima ushangazwe sana na Afya ya akili ya hawa watu. Anasema Yassier Arafat alitudanganya. Alijifanya kukubali makubaliano ya Oslo ambayo yangewapa 96% ya west bank Pamoja na East Jerusalem wakiwaachia Israel only 4%. Mwenzetu akaenda kukaa na wenzie na kukataa makubaliano hayo. Sababu kubwa ni Agenda yao ya kuhakikisha Taifa la israel na Wayahudi wanafutiliwa Mbali. Clinton halafu anawambia kuwa Mjue kuwa WAYAHUDI WALIKUWEPO KATIKA HIYO ARDHI MIAKA MINGI KABLA YA NYINYI NA DINI YENU KUVAMIA HAPO.