Sadat & Hussein Mumbarak-Egypt na Clinton wanafichua kuwa Amani kati ya Israel na Wapalestina inakwamishwa na chuki ya Wapalestina

joex

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
1,598
Reaction score
1,294
Video ya Hayati Anwar Sadat anasema Siwezi kamwe kuhatarisha hatima ya Egypt kwa sababu ya tabia yao ya kitoto. Anawalaumu viongozi wa Palestina kwa kukutaaa makubaliano ya Camp David. Anasema makubaliano hayo yalilenga Wapalestina wawe na Serikali yao baada ya Miaka 5 ya utekelezaji wake. Anasema Makubaliano ya Camp David hayakuwa kwa ajili ya kuwashambulia wapalestina katika Mji wa Tel Al Zaatar. Na wala makubaliano hayo hayakuwa kwa ajili ya kuwatenganisha Waarabu. Kwa miaka sita tumekuwa tukiwaonya (Viongozi wa Palestine) kama tulivyofanya May 1, 1976 kule Suez kwa lengo la kuiokoa Lebanon na kutunza heshima yetu Waarabu. HAPA ALIKUWA AKIREJEREA VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE KULE LEBANON AMBAYO CHANZO CHAKE KILIKUWA WAKIMBIZI WA KIPALESTINA AMBAO WALIFUKUZWA KULE JORDAN.

Video ya pili Ni Rais Hussein Mbarak ambaye pia anawalaumu wapalestina: anasema mgogoro wa Palestina na Israel umekuwa complicated. Anasema lazima viongozi wa Palestina waachane na tabia yao ya kusema NO kwa kila kitu. Anasema kwa miaka 50 iliyopita wamekuwa wakisema NO na kujikosesha fursa ya kuwa na Taifa lao. Anasema mwaka wa 1948 wapalestina walikataa Mpango wa Umoja wa Mataifa wa kuunda mataifa mawili (yaani Taifa la Jewish Palestine & Arab Palestine). Na mwaka 1967 Israel ilikubali kuachia maeneo inayokalia ili mradi Wapalestina Watambue kuwepo kwa Taifa la Israel, Wapalestina wakasema NO. Kwamba kilichochulikwa kwa Nguvu lazima kirudishwe kwa nguvu. Anaendelea kusema Wapalestina walikataa pia Camp David Agreement.

Video ya tatu anasema mnajigamba manataka kuiangamiza Israel, kweli? Mtaiangamiza kwa kutumia nini?

Video ya tatu anasema Israel hawakuwa na shida kujadili na kufikia muafaka katika masuala yaliyokwamisha majadiliano. Wapalestina walitakiwa waige mfano wetu (Egypt) tuliofanya majadiliano ya amani na Israel na hatimaye kukarudishiwa maeneo yetu Yote.

Video ya Bill Clinton akiwa kwenye kampeni za Kamala Harris za kugombea Urais.
Akaamua kuwatolea Uvivu Waislamu wa Michigan (Jimbo hilo Ndilo lenye waislamu wengi kule Amerika) na kusema ukweli. Anasema kama mngekuwa mliishi kule Kibutzi Israel ambako kwa kulinganisha maeneo mengi ya Israel, Watu wa Kibutzi ndiyo ambao huunga Mkono kuundwa kwa Taifa la Wapalestina linalojitawala, Halafu hiyo October 7 hao hao wapalestina mnaowapigania ndiyo wanakuja kuwachinja kinyama na kuwa choma moto na kuwabaka wanawake wenu, ni lazima ushangazwe sana na Afya ya akili ya hawa watu. Anasema Yassier Arafat alitudanganya. Alijifanya kukubali makubaliano ya Oslo ambayo yangewapa 96% ya west bank Pamoja na East Jerusalem wakiwaachia Israel only 4%. Mwenzetu akaenda kukaa na wenzie na kukataa makubaliano hayo. Sababu kubwa ni Agenda yao ya kuhakikisha Taifa la israel na Wayahudi wanafutiliwa Mbali. Clinton halafu anawambia kuwa Mjue kuwa WAYAHUDI WALIKUWEPO KATIKA HIYO ARDHI MIAKA MINGI KABLA YA NYINYI NA DINI YENU KUVAMIA HAPO.
 
Ona manguli hawa wanavyotema madini! Wenye akili zao wanajua anayekwamisha amani kati ya Israel na wapalestina ni nani!

Ila mafilisti wana matatizo toka enzi na enzi; toka nyakati za kubwa jinga Goliath hawa jamaa ni vurugu! Unfortunately hazikuwahi kuwasaidia Ila hawakomi!
 
Video ya Hayati Anwar Sadat anasema Siwezi kamwe kuhatarisha hatima ya Egypt kwa sababu ya tabia yao ya kitoto. Anawalaumu viongozi wa Palestina kwa kukutaaa makubaliano ya Camp David. Anasema makubaliano hayo yalilenga Wapalestina wawe na Serikali yao baada ya Miaka 5 ya utekelezaji wake. Anasema Makubaliano ya Camp David hayakuwa kwa ajili ya kuwashambulia wapalestina katika Mji wa Tel Al Zaatar. Na wala makubaliano hayo hayakuwa kwa ajili ya kuwatenganisha Waarabu. Kwa miaka sita tumekuwa tukiwaonya (Viongozi wa Palestine) kama tulivyofanya May 1, 1976 kule Suez kwa lengo la kuiokoa Lebanon na kutunza heshima yetu Waarabu. HAPA ALIKUWA AKIREJEREA VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE KULE LEBANON AMBAYO CHANZO CHAKE KILIKUWA WAKIMBIZI WA KIPALESTINA AMBAO WALIFUKUZWA KULE JORDAN.
View attachment 3142031

Video ya pili Ni Rais Hussein Mbarak ambaye pia anawalaumu wapalestina: anasema mgogoro wa Palestina na Israel umekuwa complicated. Anasema lazima viongozi wa Palestina waachane na tabia yao ya kusema NO kwa kila kitu. Anasema kwa miaka 50 iliyopita wamekuwa wakisema NO na kujikosesha fursa ya kuwa na Taifa lao. Anasema mwaka wa 1948 wapalestina walikataa Mpango wa Umoja wa Mataifa wa kuunda mataifa mawili (yaani Taifa la Jewish Palestine & Arab Palestine). Na mwaka 1967 Israel ilikubali kuachia maeneo inayokalia ili mradi Wapalestina Watambue kuwepo kwa Taifa la Israel, Wapalestina wakasema NO. Kwamba kilichochulikwa kwa Nguvu lazima kirudishwe kwa nguvu. Anaendelea kusema Wapalestina walikataa pia Camp David Agreement.
View attachment 3142039
Video ya tatu anasema mnajigamba manataka kuiangamiza Israel, kweli? Mtaiangamiza kwa kutumia nini?
View attachment 3142040
Video ya tatu anasema Israel hawakuwa na shida kujadili na kufikia muafaka katika masuala yaliyokwamisha majadiliano. Wapalestina walitakiwa waige mfano wetu (Egypt) tuliofanya majadiliano ya amani na Israel na hatimaye kukarudishiwa maeneo yetu Yote.
View attachment 3142050
Video ya Bill Clinton akiwa kwenye kampeni za Kamala Harris za kugombea Urais.
Akaamua kuwatolea Uvivu Waislamu wa Michigan (Jimbo hilo Ndilo lenye waislamu wengi kule Amerika) na kusema ukweli. Anasema kama mngekuwa mliishi kule Kibutzi Israel ambako kwa kulinganisha maeneo mengi ya Israel, Watu wa Kibutzi ndiyo ambao huunga Mkono kuundwa kwa Taifa la Wapalestina linalojitawala, Halafu hiyo October 7 hao hao wapalestina mnaowapigania ndiyo wanakuja kuwachinja kinyama na kuwa choma moto na kuwabaka wanawake wenu, ni lazima ushangazwe sana na Afya ya akili ya hawa watu. Anasema Yassier Arafat alitudanganya. Alijifanya kukubali makubaliano ya Oslo ambayo yangewapa 96% ya west bank Pamoja na East Jerusalem wakiwaachia Israel only 4%. Mwenzetu akaenda kukaa na wenzie na kukataa makubaliano hayo. Sababu kubwa ni Agenda yao ya kuhakikisha Taifa la israel na Wayahudi wanafutiliwa Mbali. Clinton halafu anawambia kuwa Mjue kuwa WAYAHUDI WALIKUWEPO KATIKA HIYO ARDHI MIAKA MINGI KABLA YA NYINYI NA DINI YENU KUVAMIA HAPO.
View attachment 3142051
Unafahamu kwanini huyu jamaa aliuawa na Waisrael wenzake akiwa waziri mkuu? Yitzhak Rabin?
Ushawahi kusoma Bw. Nyau alikotokea na misimamo yake?
 
Uzushi tu huu, wakatae mapatano ya camp david wakati yalikuwa ni mapatano ya nchi tatu?

Yasser arafat ni wa wapi kwenye mapatano ya camp david?
 
Huu ndo ujinga mnalishana misikitini. Mtaendelea kuangamizwa Kwa ujinga wenu
Huna akili hitler alikua anasali msikiti gani ndio maana mulivyo wapuuzi munaabudia sanamu hamuna tofauti na kuku au bora hata ya kuku na bata
 
Video ya Hayati Anwar Sadat anasema Siwezi kamwe kuhatarisha hatima ya Egypt kwa sababu ya tabia yao ya kitoto. Anawalaumu viongozi wa Palestina kwa kukutaaa makubaliano ya Camp David. Anasema makubaliano hayo yalilenga Wapalestina wawe na Serikali yao baada ya Miaka 5 ya utekelezaji wake. Anasema Makubaliano ya Camp David hayakuwa kwa ajili ya kuwashambulia wapalestina katika Mji wa Tel Al Zaatar. Na wala makubaliano hayo hayakuwa kwa ajili ya kuwatenganisha Waarabu. Kwa miaka sita tumekuwa tukiwaonya (Viongozi wa Palestine) kama tulivyofanya May 1, 1976 kule Suez kwa lengo la kuiokoa Lebanon na kutunza heshima yetu Waarabu. HAPA ALIKUWA AKIREJEREA VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE KULE LEBANON AMBAYO CHANZO CHAKE KILIKUWA WAKIMBIZI WA KIPALESTINA AMBAO WALIFUKUZWA KULE JORDAN.
View attachment 3142031

Video ya pili Ni Rais Hussein Mbarak ambaye pia anawalaumu wapalestina: anasema mgogoro wa Palestina na Israel umekuwa complicated. Anasema lazima viongozi wa Palestina waachane na tabia yao ya kusema NO kwa kila kitu. Anasema kwa miaka 50 iliyopita wamekuwa wakisema NO na kujikosesha fursa ya kuwa na Taifa lao. Anasema mwaka wa 1948 wapalestina walikataa Mpango wa Umoja wa Mataifa wa kuunda mataifa mawili (yaani Taifa la Jewish Palestine & Arab Palestine). Na mwaka 1967 Israel ilikubali kuachia maeneo inayokalia ili mradi Wapalestina Watambue kuwepo kwa Taifa la Israel, Wapalestina wakasema NO. Kwamba kilichochulikwa kwa Nguvu lazima kirudishwe kwa nguvu. Anaendelea kusema Wapalestina walikataa pia Camp David Agreement.
View attachment 3142039
Video ya tatu anasema mnajigamba manataka kuiangamiza Israel, kweli? Mtaiangamiza kwa kutumia nini?
View attachment 3142040
Video ya tatu anasema Israel hawakuwa na shida kujadili na kufikia muafaka katika masuala yaliyokwamisha majadiliano. Wapalestina walitakiwa waige mfano wetu (Egypt) tuliofanya majadiliano ya amani na Israel na hatimaye kukarudishiwa maeneo yetu Yote.
View attachment 3142050
Video ya Bill Clinton akiwa kwenye kampeni za Kamala Harris za kugombea Urais.
Akaamua kuwatolea Uvivu Waislamu wa Michigan (Jimbo hilo Ndilo lenye waislamu wengi kule Amerika) na kusema ukweli. Anasema kama mngekuwa mliishi kule Kibutzi Israel ambako kwa kulinganisha maeneo mengi ya Israel, Watu wa Kibutzi ndiyo ambao huunga Mkono kuundwa kwa Taifa la Wapalestina linalojitawala, Halafu hiyo October 7 hao hao wapalestina mnaowapigania ndiyo wanakuja kuwachinja kinyama na kuwa choma moto na kuwabaka wanawake wenu, ni lazima ushangazwe sana na Afya ya akili ya hawa watu. Anasema Yassier Arafat alitudanganya. Alijifanya kukubali makubaliano ya Oslo ambayo yangewapa 96% ya west bank Pamoja na East Jerusalem wakiwaachia Israel only 4%. Mwenzetu akaenda kukaa na wenzie na kukataa makubaliano hayo. Sababu kubwa ni Agenda yao ya kuhakikisha Taifa la israel na Wayahudi wanafutiliwa Mbali. Clinton halafu anawambia kuwa Mjue kuwa WAYAHUDI WALIKUWEPO KATIKA HIYO ARDHI MIAKA MINGI KABLA YA NYINYI NA DINI YENU KUVAMIA HAPO.
View attachment 3142051
Big up sana mkuu, umeitririsha vizuri sana.
Watu wanapotosha sana mambo. Palestine ndiyo ambao siku zote wamekuwa kikwazo cha makubaliano .
Israel pasipo kushinikizwa wala pasipo na demands kutoka Egypt , walipofikiana makualiano aliamua kumpatia Egypt maeneo yote ya Sinai peninsula ingawa Egypt hakuwahi kuidai, pia akampatia Gaza lakini Egypt akakubali kuichukua Sinai lakini akaikataa Gaza, hawakutaka kuwachukua na kuchangamana na Wapalestina.
 
Uzushi tu huu, wakatae mapatano ya camp david wakati yalikuwa ni mapatano ya nchi tatu?

Yasser arafat ni wa wapi kwenye mapatano ya camp david?
Kulikuwa na mazungumzo mwanzoni kabisa ya miaka ya 2000 huko Camp David (Clinton akiwa Rais wa Marekani) kati ya Arafat na Ehud Barak( waziri mkuu wa Israel wakati huo).

mazungumzo yalikwama na baadae Wapalestina walianzisha Intifada ya 2 baada ya ziara ya Ariel Sharon kule Al Aqsa..
 
Kwani Sanamu si kazi ya mikono ya mwanadamu kama ilivyo Al-kaba, na kama ilivyo sakafu ya msikiti mnayoinama kuisujudia?
Upo sawa sasa inakuaje muna abudia mlivyovijenga wenyewe we kwa mikono yenu kusujudu na kuzuru kaba ni ibada sivyo tunavyoviabudu sio kama nyie mrengo wa kushoto
 
Wapalestina walishachagua kufa na watakufa kweli kwakuwa wamechagua njia hiyo wanaamini wanaweza wakaifuta Israel kwa makombora na mitutu ya bunduki kwa kudaganywa na kuaminishwa na uwezo wa baba yao Iran.

Hawajui kuwa mwenye mamlaka ya kuifuta Israel ni Mungu mwenyewe na hata fanya hivyo, na siyo makombora makali wala silaha yoyote kali.
 
Ukitaka kuwa na amani unatakiwa usiishi na mazayuni kuishi na zayuni bora uishi na mamba au simba chumba kimoja
Wazayuni wapo everywhere Ulaya, same as Waislamu. Tutajie matukio 2 tu ya uvunjifu wa amani uliofanywa na Wayahudi anywhere in the world halafu na sisi tuanze kukutajia matukio hata 1000 ukitaka ambayo yamesababishwa na Waislamu including Tanzania. Twende kazi, acha DATA ziongee
 
Back
Top Bottom