Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,818
- 8,451
Hata mimi mkuu nilikuwa nawaza hivyo kuna meeting ya Nguli muwekezaji wa Tz anaitwa Mwl busara alifanya meeting na broker anaitwa vertex topic ilikuwa anazungumzia NMB share split.Elezea inakuaje mkuu..Maana wengine tunajua kama split ni 1:10 it means siku ikifika mamlaka za usimamizi zikaruhusu na ikawa labda NMB imefika 20K kwa wakati huo basi thamani ya hisa itabadilika na kua 20K÷10 =2K automatically na kuanza ama kupanda au kushuka kwa benchmark hiyo ya 2K.
Eleza inavyoenda ili tuelewa
Mkosoe na weka iliyosahihi tuelimike sote🙏
Haipo hivo mkuu jaribu kusikiliza hiyo meeting kuna data alipresent za makampun ya DSE na NSE yaliyofanya stock split na bei after split nazani CRDB ndo ilingia mara 1 kwa formular.Upo sahihi
Imefunga 16450Leo bei 16350……Tunaendelea na safari ya bank yetu bora Tz
Inaweza tokea hivyo au isitokee mkuuUpo sahihi
Unaitafuta B mkuu
KCB unampango nayo?
KCB unampango nayo?
KCB?Twende kazi. Nilianza kuinunua May nikalamba kagawio. Inchallah ngoja niendelee kuikusanya...
Pw nimechek number hiko vzrNitakuja kuinunua mbele ya safari
Nimeona inashambuliwa. Ina liquidity ndogo DSE ila ni kubwa NSE...KCB?
Itakuwa vizuri ili usipishane na soko husika ilipoorodheshwaNimeona inashambuliwa. Ina liquidity ndogo DSE ila ni kubwa NSE...
Bei ya sasa ya DSE ni kubwa kuliko hisa hiyo hiyo ukinunua NSE....
Mimi nimeamua kuisoma kwanza hii wave ipite. Nitanunua ikifika 1400-1600