Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

Very interesting story..... Bila ya mwendelezo.
Nina mpango wa kuitembelea Congo hasa Yale maeneo ya Kivu kusini au Goma kwa ujumla, mpaka sasa naendelea kukusanya taharifa za kiintelejensia kuhusu ayo maeneo, ingawa naambiwa kuna watu makatili sana lkn Mimi uwa napenda sana awo watu makatili kwa maana ndiyo watu ambao ukiibahatika kuzoeana nao wakakubali basi utakuwa unaweza kutimiza lengo lako kiuraisi sana,Congo ni taiga ambalo limejaa rasilimali kibao unaambiwa kuna maeneo nyumba zimekandikiwa udongo wa dhaabu ukiweka Mashine kwenye kuta zao ngoma inasoma PPM za kutosha, na kwa wale wazee wa Carbon uko ndo balaa unaambiwa mkamuo moja tu wa tani moja ya Carbon unaweza toka na 1.5 kg ya gold...unaambiwa mzigo upo wa kutosha.
Vijana tupunguze uoga, twende tukapambane....
Tuondoke wote mkuu bongo nyoso, nilipofikia hapa inatosha nikipata kampani nasepa aisee, get rich or die trying..
 
... marehemu (mola amrehemu) Magu wanampenda sana tena mno kule.
Kumbe huyu mzee ni tatizo kwetu kwa kumuangalia kama mtu flani mbadi sana!.

Although inafahamika nabii huwa hakubariki eneo analotoka!.
 
Kumbe huyu mzee ni tatizo kwetu kwa kumuangalia kama mtu flani mbadi sana!.

Although inafahamika nabii huwa hakubariki eneo analotoka!.
HIyo spirit tayari magu keshatuambukiza nchi nzima sina Shaka na tawala zijazo naamini zitafanya zaidi ya Mzee, rip magufuli.
 
Hivi ni kweli jamaa ameingia mitini mpaka sasa...
 
Chizi Maarifa ataaibika sana maana alimsifia sana huyu jamaa na jamaa ndo kawa hvyo tena

Kuandika sio mchezo,unazan ni kama kumeza mate,nazan sasa mnaelewa anachokipitia Umughaka
Mimi nimeandika sana. Nlishaenda Congo kutafuta pesa za kiganga. Ila jamaa amepitia hard time sana. Mimi nliondokea Kigoma. Ni masuala tu ya kuamua mtu unaandika unamaliza. So naelewa na nimeishi kwenye kuandika. Kama naandika reports za pages 300 mpaka 400 itakuwa hapa JF?
 
Jina Kigoma ndio limetokana na jina Goma, zamani katika miaka ya 1600 pamoja na makabila mengi ya kimanyema kuna kabila moja la wamanyema Walitokea huko Goma na kuhamia Lwama/Bugoi (majina ya zamani ya mkoa wa kigoma) walipofika ujiji na kuishi hapo ndipo jina la Ki-Goma likapatikana kutokana na hilo kabila la Wagoma kutoka Goma.
Very intersting
 
Mimi nimeandika sana. Nlishaenda Congo kutafuta pesa za kiganga. Ila jamaa amepitia hard time sana. Mimi nliondokea Kigoma. Ni masuala tu ya kuamua mtu unaandika unamaliza. So naelewa na nimeishi kwenye kuandika. Kama naandika reports za pages 300 mpaka 400 itakuwa hapa JF?
Nimekumbuka kumbe wewe ndo uliandika ile ya kuzama chini ya ziwa tanganyika!?
 
Sawa vizur,ulikuwa unatiririka vizur ila nahis mwshon ulitupeleka telegram afu simu yangu ikanizingua nkashindwa kufika huko telegram
Sijawahi mpeleka mtu telegram huwa sina biashara hizo za kipuuzi. Mimi nina pesa za kunitosha siwezi watoza watu tushilling twao. Nioneshe tu sehemu ambayo nlisema mtu anifuate telegram. Niombe ban ya mwezi mzima.
 
Back
Top Bottom