Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

Hakuna mwanaume rijali anaweza andika maneno kama haya. Huyu ni shoga anataka kuja tangaza biashara yake na kuchafua uzi wa wanaume. Hawa watu siku hizi kila sehemu wanajitokeza na kuanza kutangaza biashara zao.

Kaa mbali sisi hapa tunapata stories za ki hustler siyo hizo zako za kutaka uchanjwe njia ya haja kubwa. Tunaelewa unaposema uchanjwe.... Humu tunapambana halafu tunaenda kula mademu wakali siyo mashoga wachafu nyie. Faggots.stay away from this thread.
dah
 
Very interesting story..... Bila ya mwendelezo.
Nina mpango wa kuitembelea Congo hasa Yale maeneo ya Kivu kusini au Goma kwa ujumla, mpaka sasa naendelea kukusanya taharifa za kiintelejensia kuhusu ayo maeneo, ingawa naambiwa kuna watu makatili sana lkn Mimi uwa napenda sana awo watu makatili kwa maana ndiyo watu ambao ukiibahatika kuzoeana nao wakakubali basi utakuwa unaweza kutimiza lengo lako kiuraisi sana,Congo ni taiga ambalo limejaa rasilimali kibao unaambiwa kuna maeneo nyumba zimekandikiwa udongo wa dhaabu ukiweka Mashine kwenye kuta zao ngoma inasoma PPM za kutosha, na kwa wale wazee wa Carbon uko ndo balaa unaambiwa mkamuo moja tu wa tani moja ya Carbon unaweza toka na 1.5 kg ya gold...unaambiwa mzigo upo wa kutosha.
Vijana tupunguze uoga, twende tukapambane....
Usifikiri huwa wanataka mazoea kirahisi rahisi ukikutana nao kuna mawili au manne utoke salama, utoke na ulemavu, wakuunganishe uwe Askari wao au wakuue mambo siyo rahisi kama kwenye movie
 
Back
Top Bottom