Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Huyu jamaa kaifilisi nchi kabisa. Kwenye uzinduzi wa kampeni nilitegemea angetuambia nini amefanya miaka kumi kumbe kaja na vijembe na mipasho akimsaidia mzee ben wa mitusi
 

Huu Ni Uzalendo Sio Wewe Mwoga, Sasa Baba Kama Amekunya Kitandani Tusiseme?
 
Ata ukimsaidia hat a on a wala nawe hautafaidi tusitetee uovu kwa sababu ya cheo tuache siasa za kale na ukungu wa akili na matusi sio jibu ulichoandika jigeuzie na utafakar kije kwako
 
Huu uzi ufanyiwe update na tutanye hesabu za ujumuishi October ili Magufuli akianza tufungue mwingine
 
safari 5000 toka 2005 hadi 2015 tunaimani lowassa hatakuwa anasafiri hovyo kama kikwete
 
Hivi kuna nchi hajawahi kufika!!? Kama ipo itakuwa iko kwenye sayari nyingine.......Mars!!!!!
 
Matokeo ya kula miguu ya kuku hayo,huyu jamaa hata peponi atapiga misele
 
Duh.JK kweli Raisi wa kihistoria.

Safari za nje 409 toka 2005,siku 2045 nje ya Nchi sawa na Miaka zaidi ya Mitano.Rejea Gazeti la Nipashe 17/9/2015 toleo ISSN 0856-Na.0578609

Yataka moyo kuunga mkono CCM ya JK-labda kama mhusika hajitambui-Yaani Chama Cha Mapinduzi ilishindwa hapa kumnong'oneza tu kuwa Mwenyekiti Safari zako zimezidi mno?

Si Mbunge,si Wajumbe wa NEC au Mwanachama yeyote wa CCM aliyepata kukemea hizi safari zilizotafuna mapesa mengi na kwa mujibu wa Mbatia 4.5 trilioni zitumika.

Hakuna namna unaweza kueleza matumizi haya mabovu ukiangalia hali yetu ya Uchumi.
 
Kati ya maraisi ambao siku wai kuwa penda hata chembe na sito kaa niwa pende... haku wai kuni vutia katika kipindi chake, binafsi sipendi raisi ambae hana mamuuzi magumu kwenye nyakati ngumu hususani zinazo watokea wana nchi... kwa hali hii inanifanya niseme kua kura yangu atakula EDWARD LOWASSA...
 

Aisee aiiii
 
Naomba mwenye data za idadi ya mahudhurio msibani kwa muda wa miaka yake 10 atupie hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…