Nilifikiri Mh. Mbatia anaota kumbe wapo wengine wanazifuatilia safari hizi. Ninachosikitika ni kwamba, hana huruma hata kwa watoto wanaokaa kwenye vumbi na kuandika kwenye vumbi?? Angenunua madesk mangapi kama ange amua. Angejenga vyumba vingapi vya madara kama angeli amua. Kweli mimeamini, Tanzania iko pesa dah! Hata hatufilisiki ka Uturuki. I love my rich country Tanzania.
Wanapora fedha za walipa kodi
wanaiibia Tanesco
wanauziana viwanda
wanauza twiga zetu zikiwa hai ka mayai ya kenge
wanauza simba hai
wameuza dhahabu mpaka udongo wa dhahabu
wanauza gesi isiyo chakatwa
siamini kama kutakucha kabla sijauzwa
Watz lazima mwaka huu tufanye maamuzi magumu. CCM must go. Bulembo ukubali au ukatae, ccm must goooo. Acha tuongozwe na huyo anayengojea kujifia, lakini nyiye tena mwaka huu. Aksante Mungunkwa kutufikisha tena siku ya uchaguzi mwingine. Hii ni fursa ya dhahabu kabisa, tusiichezeee. CCM iondokeeeeeeeeeee