Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Pamoja na JK kupiga safari 427 za nje ya nchi katika utawala wake ambapo gharama yake ni kubwa mno.

Kulikuwa na wafanyakazi hewa.
Walimu waliajiriwa kila mwaka na watumishi kupandishwa madaraja.
Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu ilikuwa sio haba ukilinganisha sasa.
Wizi mkubwa wa mali za umma ulitokea ikiwemo ESCROW.

Hela alizitoa wapi???

Mbona hali ni tofauti na sasa awamu hii ya Jiwe????
 
Ni heri chakula halali kidogo kinachokuja mezani, kuliko chakula kinono kilichojaa dhuluma
 
Yaan nikisoma michango ya wadau kwenye uzi huu nabaki nacheka..
Kweli watanzania tuna tatzo vichwan mwetu na hatujui tunachokihitaji
 
Mimi namkubari jk
Katika safari hizo zote Mimi sijaona tatizo , huyu ndio rais aliyeenjoy zaidi urais wake !

Hawa wengine wataishi maisha magumu tu maaana kama husafiri unakuwa mshamba tu
 
Pamoja na JK kupiga safari 427 za nje ya nchi katika utawala wake ambapo gharama yake ni kubwa mno.

Kulikuwa na wafanyakazi hewa.
Walimu waliajiriwa kila mwaka na watumishi kupandishwa madaraja.
Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu ilikuwa sio haba ukilinganisha sasa.
Wizi mkubwa wa mali za umma ulitokea ikiwemo ESCROW.

Hela alizitoa wapi???

Mbona hali ni tofauti na sasa awamu hii ya Jiwe????
Hivi unafikiri ile project ya SGR trillion 7 ni ndogo? bado hapo tunaenda Rufiji
 
Pamoja na JK kupiga safari 427 za nje ya nchi katika utawala wake ambapo gharama yake ni kubwa mno.

Kulikuwa na wafanyakazi hewa.
Walimu waliajiriwa kila mwaka na watumishi kupandishwa madaraja.
Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu ilikuwa sio haba ukilinganisha sasa.
Wizi mkubwa wa mali za umma ulitokea ikiwemo ESCROW.

Hela alizitoa wapi???

Mbona hali ni tofauti na sasa awamu hii ya Jiwe????
Ndo maana bajeti za JK miradi ya maendeleo ilikuwa ni shida. Yeye ni mishahara na bata. JK ametuachia nini cha kujivunia? Sema mambo matano ya kujivunia aliyoyaacha JK
 
Back
Top Bottom