Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

huu ni umbea, em muacheni afanye kazi bana, leo hii hata awe nani akiingia madarakani atakuja na management style anayoijua yeye na isikubalike na watu wengi vile vile.......kwa hili, big up to mr president and the first lady for the good job done inayoonwa na wacheche wenye big vision na big picture......bravo!
 
short sightedness with an imbecile thinking! Idiotic vision
 
Ukweli siku zote unauma....!!! Inamaana safari zote hivi hakuna zuri hata moja ameleta? au kwani alitakiwa asafiri mara ngapi ndio iwe sawa, give the number..! .....Nonentity, insensitivity , inconsequential a.k.a pumba..!
 
Sawa Wakuu, Tazameni pia FAIDA ngapi kaleta na Mazuri na masilahi ya maana kaleta nchini... Go president go !!
Chapa kazi UmaArufu wake JK unamwezesha kuleta NewYork,berlin,london,Dubai na Hongkong hapa.
good job tumeiona JK. Na wachukie watakao chukia na wapasuke watakaonuna!!
 
Okay, kwakuwa wewe ni mke wake wa pili na pia huwa mnakuwa wote katika safari zake basi nadhani ungeonekana una busara kama ungetumwagia hapa mazuri aliyoleta huyo KIWETE wenu wa akili badala ya kumwaga matusi na mipasho kama vile Mashauzi Classic!
 
Huyu nae katokea wapi??? hahaahaha , zero brain...go mr president go, ...sasa basi ----- wako ulouliza mh rais JK alishakujibu kitambo hapa http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/16415-kikwete-outlines-crucial-state-achievements

Haya hawara wa m.k.w.e.r.e, kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa katika safari zako za nje ya nchi na huyo mumeo ambazo ni zaidi ya 400 mafanikio mliyoyapata ni kujenga hiyo barabara ya Somanga - Nyamwage, Kibiti - Lindi na Tanga - Horohoro tu? Hivi mlishawahi kufikiria gharama pekee za hizo safari zenu zingetosha kujenga kilomita ngapi za barabara kwa kiwango cha lami? Au akili zenu zinawatuma kutumia Shs. 900m/= kwenye safari ya kwenda kuomba msaada wa vyandarua? Kweli serikali ya KIKWET.E inaongozwa na KIWETE!
 
Sawa Wakuu, Tazameni pia FAIDA ngapi kaleta na Mazuri na masilahi ya maana kaleta nchini... Go president go !!
Chapa kazi UmaArufu wake JK unamwezesha kuleta NewYork,berlin,london,Dubai na Hongkong hapa.
good job tumeiona JK. Na wachukie watakao chukia na wapasuke watakaonuna!!
Faida gani mkuu zaidi ya kutembeza kapu,nipe muwekezaji ambae wananchi wananufaika nae,hadhari za hao wawekezaji baadae ndio tutaziju kama mwinyi kule ngorongoro waarabu wanapeperusha bendera ndani Nchi,safari nyingine hapo hazina maana kabisa..
 
Okay, kwakuwa wewe ni mke wake wa pili na pia huwa mnakuwa wote katika safari zake basi nadhani ungeonekana una busara kama ungetumwagia hapa mazuri aliyoleta huyo KIWETE wenu wa akili badala ya kumwaga matusi na mipasho kama vile Mashauzi Classic!
Mkuu Vipi tena,Mchana mwema wapi nimemwaga matusi? La ajabu kuwa mnapotaka kutazama mtatazama yote na kushrehekea, Na msipotaka kutazama mnageuka vipofu na viziwi:- kwanza mie nikijaaliwa kuwa mke wapili wa JK kwangu itakuwa ufahari na heshima..."kama ulivyoninasibu wewe"
Pili Kusafiri na rais ni Taadhima kwakuwa uwezo na taaluma inatambulika. "kwahiyo mimi ni mbora kuliko wewe,kama ulivyo andika wewe"
Kamwe miye sikurupuki kukutukana kwani sintofaidi raha zangu.!! Ok rais M Jkikwete atabakia na heshima juu forever. japo kuwa hamutaki kufungua kurasa na kusoma chini ya mistari.(read under the lines) kukumwagia si kazi yangu.!!
Kama utapenda kupayuka machafu na kutusi hayo yanathibitisha shule ulohitimu na kitabu ulichosoma nk.......
Tujenge Taifa pamoja tutafika (tusingoje Rais atufanyie).
 
Ukweli siku zote unauma....!!! Inamaana safari zote hivi hakuna zuri hata moja ameleta? au kwani alitakiwa asafiri mara ngapi ndio iwe sawa, give the number..! .....Nonentity, insensitivity , inconsequential a.k.a pumba..!

Ameleta vyandarua na wanyonyaji na kuwauzia taifa wachina na wamerekani.
 
Mkuu Vipi tena,Mchana mwema wapi nimemwaga matusi? La ajabu kuwa mnapotaka kutazama mtatazama yote na kushrehekea, Na msipotaka kutazama mnageuka vipofu na viziwi:- kwanza mie nikijaaliwa kuwa mke wapili wa JK kwangu itakuwa ufahari na heshima..."kama ulivyoninasibu wewe"
Pili Kusafiri na rais ni Taadhima kwakuwa uwezo na taaluma inatambulika. "kwahiyo mimi ni mbora kuliko wewe,kama ulivyo andika wewe"
Kamwe miye sikurupuki kukutukana kwani sintofaidi raha zangu.!! Ok rais M Jkikwete atabakia na heshima juu forever. japo kuwa hamutaki kufungua kurasa na kusoma chini ya mistari.(read under the lines) kukumwagia si kazi yangu.!!
Kama utapenda kupayuka machafu na kutusi hayo yanathibitisha shule ulohitimu na kitabu ulichosoma nk.......
Tujenge Taifa pamoja tutafika (tusingoje Rais atufanyie).
Sasa nimeelewa kwanini una ID kama hiyo! Ila ibadilishe isomeke "Mind is short" maana kama mpaka sasa huoni wajibu wa Rais kwa wananchi wake na badala yake unadai (wananchi) tusingoje Rais atufanyie basi sioni ajabu kwa watu kama wewe kushabikia kuwa na Rais mzururaji kama huyu! Kama huoni haja ya Rais kufanya jambo kwa wananchi wake, kwa akili yako, Shule/Chuo ulichosoma na Kitabu ulichotumia unadhani ni kwanini Rais huchaguliwa? Au ni kwaajili ya kuzurura ughaibuni? AIBU hata kwa wazazi waliokuzaa!
 
Back
Top Bottom