Said Hussein Masoro Mkurugenzi mpya Usalama wa Taifa (TISS) ni Nani haswa?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njoo upongeze tena
 

Lakini kama nchi hatujawahi kuwa na changamoto hatari za usalama wa nchi.

Ila elewa haina maana kitengo ni kibovu.
 
Kabadilisha tena huo umakini uko wapi?
 
Vigezo na sifa za kuwa mkuu wa TISS ni zip hzo, maana suala la usalama wa Taifa km Taifa sio la kulichukulia kwa udogo

Pamoja na hizo sifa utakazomwagiwa ambazo kila mmoja anazo kikubwa zaidi kinachoangaliwa ni ccm card.
 
Hata Marekani CIA iko chini ya Rais kwa kiwango kikubwa japo huripoti na katika kamati za bunge.
CIA ni Semi autonomous, nusu inajiendesha yenyewe,

Raisi Kennedy aliwahi kusema kuwa CIA ni nchi ndani ya nchi, State within a state, na alidhamiria kuibadilishia mfumo.
 
CIA walimuua Kennedy..ni ujinga kuwa na nchi ya aina ya USA ambapo magenge ya wabeba silaha(jeshi/intelligence agencies) Yana nguvu kuliko Rais
Hata MOSAD pia walimuua waziri wao mkuu Yatch Rabin kwa madai kuwa alitaka kuhatarisha usalama wa taifa.
 
Endelea kusoma zaidi. Kennedy aliuawa na Mossad pale alipoanza kuuliza kwa nini Israel inaiingiza Marekani katika matatizo na actually akaanza kupunguza uhusiano.
Yumkini makundi mengine pia yalijiingiza katika plot hiyo.
Nipe link ya habari hii
 
huyo karopoka baada ya kuvimbiwa viazi.
 
Mtu alikuwa DCI kwa miaka kadhaa bado unasema hakuwa na uzoefu?

mtu alikuwa RPC, RAS na kote huko akiwa Kipenyo Senior ambae hata IGP hakuwa anamjua bado unasema hakuwa senior?
huu ujinga wa kusema IGP hakuwa anamjua muachane nao.
Othman Rashid alitokea Ubalozi, Kapilimba akatokea Mamlaka ya Vitambulisho ndio walikuwa zaid yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…