Mbona Augustine Maiga naye alikaa muda mfupi nazani 3 yrsHuyo Kipilimba uliyemtaja na mwenzake huyu Bwana Diwani Msuya, ndio wanaingia record ya kuwa Wakurugenzi waliokaa muda mfupi zaidi kwa miaka ya hivi karibuni.
Nadhani point ni kuwa hata kama mtu ni wa idarani, kama amekuwa akifanya kazi nje ya idara muda mrefu, inakuwa ngumu kufanikiwa. Samia kateua insider
Ni mtanzania mzalendo aliyeaminiwa na Rais kuongoza idara ya usalama. Ukipata CV yake unataka umuite kwa usaili? Relax, drink water and mind your business.Masoro Said, Boss mpya TISS, ni nani haswa?
Mwenye CV yake tunaiomba!
CIA walimuua Kennedy..ni ujinga kuwa na nchi ya aina ya USA ambapo magenge ya wabeba silaha(jeshi/intelligence agencies) Yana nguvu kuliko rais
Ni mtanzania mzalendo aliyeaminiwa na Rais kuongoza idara ya usalama. Ukipata CV yake unataka umuite kwa usaili? Relax, drink water and mind your business.
It was an inside job assisted by the CIA.
For more information [emoji116]
JFK Assassination Records - 2022 Additional Documents Release
2022 Additional Documents Release The National Archives and Records Administration (NARA) is processing previously withheld John F. Kennedy assassination-related records to comply with the Memorandum for the Heads of Executive Departments and Agencies on the Temporary Certification Regarding...www.archives.gov
Hivi unajua vizuri wewe Tanganyika!Ili waijue vizuri mifumo siku kikinuka tusiwe na pakujishika
Kwahiyo mamlaka ya uteuzi haijui ila wewe ndo unajua zaidi?Tutajuaje ni mzalende bila CV yake? Tunajuaje ni Mtanzania na ni mzalendo bila hata kujua kijiji alichozaliwa kwanza?!
Ni Msukuma kutokea Maswa mkoa wa SimiyuTutajuaje ni mzalende bila CV yake? Tunajuaje ni Mtanzania na ni mzalendo bila hata kujua kijiji alichozaliwa kwanza?!
Kwahiyo mamlaka ya uteuzi haijui ila wewe ndo unajua zaidi?
Smart wa kitu gani?Katika watu ambao walikuwa smart ni Diwani Athuman, Fuatilia rekodi zake kuanzia ukuu wa mikoa, u RPC hadi TAKUKURU, Lakini Mkurugenzi wa TISS Tanzania hata awe smart vipi kama raisi ni mbovu hawezi kufanya majukumu yake vizuri.
Tofauti na nchi kama USA, TISS iko chini ya raisi, wanafanya mambo kwa kuongozwa na raisi na wanaripoti kwa raisi.
Sasa ujinga uko wapi? Unajua ni kwa nini walimuua?CIA walimuua Kennedy..ni ujinga kuwa na nchi ya aina ya USA ambapo magenge ya wabeba silaha(jeshi/intelligence agencies) Yana nguvu kuliko rais
Wa kuongoza.Smart wa kitu gani?
Kennedy aliuawa kwa Mambo mengi na Wala si usalama wa nchi,alitaka kuiondoa nchi Vietnam wakati wahuni walikua wakipiga mamilioni kwa siku kwa kuliuzia jeshi silaha na vifaa vingine,alitaka kuibadili CIA aliona ipo kiwaky, Yitzhak Rabin aliuawa si kwa kuhatarisha usalama wa Israel Bali kupendelea zaidi amani na PalestineSasa ujinga uko wapi? Unajua ni kwa nini walimuua?
MOSSAD pia walimuua kiongozi wa Israel kipindi hicho Yatch Rabin.
Iko hivi, taasisi za wenzetu zipo kwa ajili ya usalama wa taifa, sio usalama wa viongozi kama ilivyo kwetu, Kipaumbele chao ni taifa lao, kiongozi yeyote ambaye anataka kuhatarisha usalama wa taifa wanamuondoa, hata kama ni mkuu wa nchi.
Nchi zetu za kiafrika mkipata kiongozi kichaa anaweza kuwapeleka shimoni huku mausalama yanaangalia tu.