Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,717
- 13,443
Wanaoongozwa na Director wao tu, na wanaripoti kwa Director wao tu.Hizo nchi zingine ulizotaja huwa wanaongozwa na nani na wanaripoti kwa nani ?
Hizo sababu ulizotaja kwao ni kuhatarisha usalama wa nchi.Kennedy aliuawa kwa Mambo mengi na Wala si usalama wa nchi,alitaka kuiondoa nchi Vietnam wakati wahuni walikua wakipiga mamilioni kwa siku kwa kuliuzia jeshi silaha na vifaa vingine,alitaka kuibadili CIA aliona ipo kiwaky, Yitzhak Rabin aliuawa si kwa kuhatarisha usalama wa Israel Bali kupendelea zaidi amani na Palestine
Kwani unafikiri mission za TISS zote rais anajua!?Wanaoongozwa na Director wao tu, na wanaripoti kwa Director wao tu.
Kuna misheni zinafanyika hata raisi hajui. Kipindi cha Obama mkurugenzi wa NSA aliitwa kuhojiwa bungeni,
akaeleza jinsi walivyomdukua Angela Mikel aliyekuwa Chancelor wa Ujerumani tangu akiwa binti wa miaka 20. Obama akawa ameduwaa kashika tama tu, hakuna raisi aliyekuwa anajua.
Hakuna hatari ya usalama wa nchi hapo,ni maslahi ya mabepari..Kama Vita vya Iraq tu na hata AfghanistanHizo sababu ulizotaja kwao ni kuhatarisha usalama wa nchi.
Wanaweza wakaanzisha mishe ama uchunguzi fulani pasipo raisi kujua, lakini kwenye kusolve ama kuchukua hatua, kama ishu ni kubwa, ni lazima wapate go ahead. Wakifanya bila idhini yake anawafuta kazi.Kwani unafikiri mission za TISS zote rais anajua!?
Akijibu nitagHuwa nafurahi sana kuona michango yako hapa jukwaani ndugu Pohamba .
Tatizo lako kubwa ni "udini" kaka yangu.
Sasa hivi hatuoni michango yako ya maana na ya kujenga kama ilivyokuwa kipindi cha awamu ya 5.
Kwa nini!!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
CIA ni waongo sasa 😁Wanaoongozwa na Director wao tu, na wanaripoti kwa Director wao tu.
Kuna misheni zinafanyika hata raisi hajui. Kipindi cha Obama mkurugenzi wa NSA aliitwa kuhojiwa bungeni,
akaeleza jinsi walivyomdukua Angela Mikel aliyekuwa Chancelor wa Ujerumani tangu akiwa binti wa miaka 20. Obama akawa ameduwaa kashika tama tu, hakuna raisi aliyekuwa anajua.
Mimi na wewe hatuwezi kujua usalama wa Marekani ni nini, wanaojua ni hao ma NSA na ma CIA.Hakuna hatari ya usalama wa nchi hapo,ni maslahi ya mabepari..Kama Vita vya Iraq tu na hata Afghanistan
Uwongo wa kufanyaje?CIA ni waongo sasa 😁
Serikali ya marekani inaongozwa na corporates,hii ndiyo maana halisi ya ubepari,hizo CIA, NSA and the like ni vyombo tu...google 'when Texas execs courted the taliban'..uone usanii wa 9/11,baada ya kunyimwa Dili la mafuta wakaeatangazia Vita talibanMimi na wewe hatuwezi kujua usalama wa Marekani ni nini, wanaojua ni hao ma NSA na ma CIA.
Na huyu muislamu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kitu kama hicho, rais ndiye kila kitu, hiyo kusema rais hajui kitaalamu wanaita 'deniability'.Wanaoongozwa na Director wao tu, na wanaripoti kwa Director wao tu.
Kuna misheni zinafanyika hata raisi hajui. Kipindi cha Obama mkurugenzi wa NSA aliitwa kuhojiwa bungeni,
akaeleza jinsi walivyomdukua Angela Mikel aliyekuwa Chancelor wa Ujerumani tangu akiwa binti wa miaka 20. Obama akawa ameduwaa kashika tama tu, hakuna raisi aliyekuwa anajua.
Yericko jizi tu
Duh!CIA walimuua Kennedy..ni ujinga kuwa na nchi ya aina ya USA ambapo magenge ya wabeba silaha(jeshi/intelligence agencies) Yana nguvu kuliko rais
Hapana.Ni watanzania hao, hakuna shida.
Tunarud pale pale.. Je hawa Maafisa wa chini wana Elimu na weledi wa kutosha?
Ataachaje kujua wakati yeye ndiye sponsor mkuu kama anavyojulikana katika intelligence community? Acha kusikiliza story za vijiweniKwani unafikiri mission za TISS zote rais anajua!?