Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Shukrani sana mtoa uzi katika nyuzi zake nyingi anaona ana absolute truth, facts, Huwa anaumia sana akipata challenges zenye reference.Kuna kesi za udukuzi wa taarifa za faragha zimetokea na wahusika wamekumbana na mkono wa sheria hadi kuhukumiwa na wala hapakuhitaji official communication kati ya wapanga njama za udukuzi.
Kinachotakiwa ni upande wa mlalamikaji kuithibitishia mahakama kwamba palikuwa na nia ovu ya kutenda jinai kati ya pande zinazolalamikiwa.
Ningekuwa na muda wa kutosha ningekuwekea hapa reference ya precedent uone namna kesi za aina hii zinavyoendeshwa na watuhumiwa kupatikana na hatia.
Kuvujisha taarifa za mteja ni kosa sio lawamaHata tiGO under new supervision hawana kesi hapo!
-Utanunua kampuni na madeni kama yapo lakini siyo lawama, lawama ni poor service kwa kampuni kwa wakati wa usimamizi / lawama za management kwa wakati husika!
Mwasiliwa ameongea mbele za watu kuwa anawajua waliomshuti tigo awakumshuti wala serikali awana sheria ya kushuti watu ivyo pesa azina ya watanzania aifai kubebeswa zigo la watu wengine si anawajua kasema awashtaki wabaya wake.na awadai wao sio serikali pesa zetu tunataka zisaidia kuongeza madaktari walimu kujenga zahanati barabara maji, pesa yetu no kaka lisu tunakupenda tumeuzunishwa na yaliokutokea lkn watanzania usitubebeshe ili deni,, si unawajua wabayawako fungua kesi kuwashtaki wao. Ukiishtaki serikali utakuwa utapeli wa pesa za umma kupitia mahakama. nasema uwongo nduguzangu.
Mkuu unadhani kwa utawala usiofuata sheria, kwa kufanya uhalifu unaweza kukubali kufanya hivyo ikiwa wana nia ovu?.Kwema Wakuu!
Serikali haitahusika Kwa namna yoyote Ile Ikiwa haikuandika barua Wala Kûtuma email kwenda Kampuni ya Tigo kutaka kuingilia faragha na tàarifa za LISU.
Mambo ya serikali Kwenda Kwa makampuni au mashirika hufanywa kiofisi na barua lazima ihusike.
Mawasiliano yoyote àmbayo hayatahusisha njia rasmi huweza kuleta mkingamo wq kisheria.
Hivyo itasemwa kwamba kulikuwa na genge la Watu weñye Maslahi binafsi nje ya serikali àmbalo ñdilo liliwasiliana na Kampuni ya Tigo kutaka tàarifa za LISU.
Hii inatoa Somo Kwa wafanyakazi na Wamiliki WA makampuni kuwa Makini Wakati wanapata oda au maigizo Kutoka kwèñye mamlaka za kiserikali. Kwamba maagizo hayo yawe Kwa njia Rasmi ikiwemo kuandikwa Kwa barua kama ushahidi.
Haya
Bilioneaaa mtarqjiwaKwema Wakuu!

Mgema na Tembo wana story nzuri ssna kwenye eneo la sifaKwema Wakuu!

Robert Heriel Mtibeli kumbuka hili...Kwema Wakuu!

Mm natetea tu rasilimali za watanzania masikini apa tulipo masikini dawa zatabu kwaiyo nikiona kuna dalili ya kuchotwa pesa moyo unauma sana pesa zetu sio za mama Abdur kama Lisu anataka tuamini kuishtaki serikali ni kuishtaki azina yetu mana serikali ikishindwa akamatwi mtu ni fidia kutoka azina. Apana awashtaki kimataifa wabaya wake kisha serikali ipewe maelekezo na mahakama wadaiwa wakamatwe wawakabidhi uko wanakotakiwa wafilisiwe pesa apewe Lisu. Azina asiguse chama kitaingia lawama kubwa itakuwa fursa kwa CCM kuwashtaki kwa wananchi embu waza Lisu amekamata ndege ya watanzania afu anakuja Tanzania!!!
Kwema Wakuu!
Serikali haitahusika Kwa namna yoyote Ile Ikiwa haikuandika barua Wala Kûtuma email kwenda Kampuni ya Tigo kutaka kuingilia faragha na tàarifa za LISU.
Mambo ya serikali Kwenda Kwa makampuni au mashirika hufanywa kiofisi na barua lazima ihusike.
Mawasiliano yoyote àmbayo hayatahusisha njia rasmi huweza kuleta mkingamo wq kisheria.
Hivyo itasemwa kwamba kulikuwa na genge la Watu weñye Maslahi binafsi nje ya serikali àmbalo ñdilo liliwasiliana na Kampuni ya Tigo kutaka tàarifa za LISU.
Hii inatoa Somo Kwa wafanyakazi na Wamiliki WA makampuni kuwa Makini Wakati wanapata oda au maigizo Kutoka kwèñye mamlaka za kiserikali. Kwamba maagizo hayo yawe Kwa njia Rasmi ikiwemo kuandikwa Kwa barua kama ushahidi.
Haya
1. Kwasababu alikuwa Mpiga kelele/msaliti kwa mujibu wa mtoa order.1. Ni kwanini walitaka kumuua mtu huyu...?
2. Nani alitoa amri ya kuuwawa mtu huyu..?
3. Kina nani walihusika kupanga na kutekeleza shambulio hilo...?
Huyu Mkolomije hivi ni kwanini anaogopega hivi?1. Kwasababu alikuwa Mpiga kelele kwa mujibu wa mtoa order.
2.Nzirankende aka Jikono Jandama
3.Mkolomije.
Huyu Mkolomije hivi ni kwanini anaogopega hivi?
Polisi, TISS, DCI, PCCB, na hata Rais mwenyewe aliyemteua eti anamuogopa. Why..?
Huyu jamaa bila shaka mizimu na miungu yake iko very powerful and manipulative kwa kiasi cha kutisha sana...!