SAKATA LA LUGUMI: Tamko la Ofisi ya Bunge kuhusu mkataba wa LUGUMI

Gooooooo ni goli safi la Tik Tak hilo wasikilizaji na mpira ume kwisha.
 
Kila kitu chenga lakin magori hatuoni yakifungwaa mwishowe waishie kufagia hospital miezi miwili zote kamba tuu
 
tunapulizwa na kuumwa tuu .... System ni ile ile ... Mark my words
 
Wacha warudi majimboni tuwaulize kama ndio tuliwatuma watuletee unafiki. Hivi naomba kuuliza, kama wapiga kura wanaweza kumwondoa mbunge kama hawana Imani naye!!?
katiba ya warioba
 
Wewe unataka Mkataba utolewe lakini bunge katika tamko lake rasmi limesema halikuomba mkataba utolewe bali liliomba maelezo ya kina. Kumbuka pia maelezo ya kina yanaweza kuambatana na Mkataba

Tatizo linaloliona hutaki kuangalia kwa upana suala hili, kwa sababu nilikuuliza una uhakika gani kama Aeshi alichokuwa anakisema kilikuwa na maana ya kutaka Mkataba au kutaka maelezo ya kina kuhusu Mkataba. Kumbuka wabunge wengi wa CCM hawafahamu hata taratibu na kanuni za bunge pamoja na kuwa ni wabunge kwa zaidi ya bunge moja.

Tulishawahi kushuhudia maofisa wa serikali wakiamuliwa na wajumbe wa PAC kuwekwa ndani bila ya ruhusa ya Spika na baadaye ikajakugundulika kilichofanyika ni makosa kinanuni.

Kwa sasa tunaambiwa na Ofisi ya bunge huwezi kuomba documents za serikali kwa mdomo bali kwa kutumia official document kutoka ofisi ya Katibu wa Bunge kupitia kwa Katibu wa Bunge.

Yes, maelezo ya kina ndani ya official document yanaweza kupelekea kuomba Mkataba kwa sababu serikali na bunge hazitumii mdomo katika official query lakini pia Kimantiki huwezi kuomba kwanza Mkataba bila kupata maelezo yatayopelekea kuomba Mkataba.

Mimi najaribu kulingalia hili suala kwa upana zaidi bila msukumo wa kisiasa au kufunga goli la kisiasa.
 
Usikie UFISADI kwa jirani ombea usiingie kwenye nchi yako kwani ni kama kansa hauna dawa
 
Kuna vitu Mungu anavifanya kwa makusudi take acha tuone makusudi ya Mungu
 
Bunge lenye meno kibogoyo tumemsikia Aishi siku tatu mfululizo akitolea maelezo mkataba upelekwe ha ha magufuli chali hawezi kutumbua jipu la katikati ya matako

Nimecheka nusura niwaamshe majirani
 
hii habari na ya uongo,kwenye tovuti ya bunge amna hii habari sasa sijui uyu kaitoa wapi.Mods naombeni mchukue hatua.

Imeandikwa imetoka hapa;

Ime t o l ewa na : K i t engo c ha Haba r i , E l i mu na Mawas i l i ano O f i s i y a Bunge DAR ES SALAAM 15 Ap r i l i , 2016.
 
Mwenyekiti wa PAC Aishi anautaka huo mkataba kama nani..Mbona wabunge mishahara yao wanafanya siri..Mkataba ni wa siri
Hahahaaa huku sawaaa kule si sawa eeeh? Ndo mtainyoosha Tanzania kwa mtindo huu?
 
Hapa ndo nchi yangu naishangaa.kama bunge linaisimamia serikali halafu inapewa mipaka hatufiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…